Je, Mapambano ya Wanaharakati na Diamond yana faida kwa nchi?

Shabiki kitambo 😁
Mi bado ni shabiki wake, ila anayopitia anastahili.
Mimi hadi leo ni shabiki yake, na nina appreciate sana alipofikia, lakini kikombe anachokinywea anastahili! Nchi kuna watu wanapaswa kutusemea ila kwa makusudi kabisa wanaamua kukaa kimya au kuungana na wanyanyasaji.

Hatukatai yeye kuwa mwana CCM, lakini kwani ukiwa mwanaCCM ndio huruhusiwi kutetea maslahi ya wananchi?
 
Akagongelea msumari na lile songi lake "ngoja nikae kimya"
 
Siyo kweli ulichoandika watu weusi wengi wameacha kumsupport kwenye products zake nyingi yeye Lill Wayne.
Sio kweli, kama wameacha kusupport Product zake Mr. KANYE Asingekua kwenye list ya wanamuziki walioingiza pesa.

Kuhusu huyo Lil Wayne kilichompoteza ni mvutano wa kimaslahi na Boss wake Baba mlezi wake Birdman aka Stunnaman
 
Kwanini tusianze na viongozi waliokuwa katika serikali husika kuwalaumu na kutoshirikiana nao kama mawaziri, makatibu na wanaharakati wengine kabla hatujafika kwa Diamond? Wote hatukuwa wawajibikaji kwa yote yaliyotokea lakini kutomuunga mkono Diamond sio sawa kabisa.
 
Huyo alitoa hoja akili Hana hizi ni tuzo za burudani si za siasa
Wewe uliemuona mwenzio hana akili nafikiri wewe ndio mjinga namba moja

Umeshindwa kuona kuwa kijana alikosea kabisa kuihusisha BURUDANI na SIASA ili kuwezesha na kuhalalisha uporaji wa haki za binaadamu na demokrasia ya kweli

BET sio mapopoma hapo ndio kwenye shida !!!
 
Si hao racists wanaofurahia upuuzi wake wananunua hizo products zake?
Kanye West does not get a pass for disrespecting black life

MARK CAMPBELL
CONTRIBUTED TO THE GLOBE AND MAIL
PUBLISHED MAY 3, 2018
Kanye West arrives at the 2016 MTV Video Music Awards in New York on August 28, 2016.

EDUARDO MUNOZ/REUTERS
Mark V. Campbell, adjunct professor at the RTA School of Media, teaches in the communication and culture program at Ryerson University and is founder at Northside Hip Hop Archive.

β€œKanye doesn’t care about Black People” reads a T-shirt of ethe deeply respected and respectable Questlove, drummer of the Philadelphia-based band the Roots.


It is a demoralizing, sad state of affairs when Kanye West, the once-outspoken hip-hop superstar, has his own pro-black activist words – in which he called out George W. Bush in 2005 for not caring about black Americans – used against him by one of hip hop’s greatest minds, Questlove.


Sio kweli, kama wameacha kusupport Product zake Mr. KANYE Asingekua kwenye list ya wanamuziki walioingiza pesa.


Kuhusu huyo Lil Wayne kilichompoteza ni mvutano wa kimaslahi na Boss wake Baba mlezi wake Birdman aka Stunnaman
 
Wacha Avune Alichopanda...
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ndio hapo sasa,angedili na burudani au kuwa kwenye kundi la Wananchi asingepatwa na madhira hayo.Msanii mkubwa kama yeye hatakiwi kuwa na sides.
Huyo alitoa hoja akili Hana hizi ni tuzo za burudani si za siasa
Tatizo mtoa burudani kajihusisha na siasa chafu...angebaki tu na burudani yake aliyojaaliwa na mwenyezi Mungu siasa is the game of mazafaka...
 
Maelezo umeyaelewa? Kuwa karibu na dikteta, hakuna utetezi, kama unaambatana nao kwa lengo la pesa basi huna sifa kwa jambo linalo husu heshima na utu!
 
Watu wa LGBTI wanaotajwa kudhulumiwa na Makonda ndio watu wa kundi gani katika jamii ya watanzania? Naomba kuelimishwa

Sent from my SM-A908N using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…