Je, Mbowe kufutiwa kesi kabla ya mkutano wa wadau wa demokrasia na vyama vya siasa?

Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.

CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
Ukweli unaujua Chadema ni maarufu na muhimu kukiko hizo takataka zingine.
 
Hahaaaa!!!kwel ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu,pole kijana
Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.

CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
 
Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.

CHADEMA msijipe umaarufu msio nao

Kama sera ndio zinapeleka chama ikulu, basi ccm hata isingekuwa hai leo hii, achia kuweko tu ikulu. Labda hizi porojo zako za sera, ni hizi za siasa furahisha genge hapa jf.
 
Hakuna Serikali duniani itavumilia michezo ya hovyo kama ambavyo walikuwa wameanzisha

Ww lazima utakuwa ni mzee, nyie ndio wale enzi za mfumo wa vyama vingi vinaingia hapa nchini, mlikuwa mnatembea kuonyesha sinema ya mauaji ya Rwanda kuwa vyama vingi vitaleta vita. Hizo mbinu outdated za karne iliyopita ndio bado mnatumia karne hii ya digital, mkiamini bado kuna wajinga wa hivyo.
 
Kama sera ndio zinapeleka chama ikulu, basi ccm hata isingekuwa hai leo hii, achia kuweko tu ikulu. Labda hizi porojo zako za sera, ni hizi za siasa furahisha genge hapa jf.
mara ya mwisho CCM kushinda uchaguzi mkuu ilikuwa ni 2005.
 
vyama vitajaa hata kama hivi vikubwa havitaalikwa, vitasifu na kuabudu na kuitangazia dunia kwamba Tanzania ina demokrasia ya kweli regardless hao wanaoitangaza vibaya .

Kiwango cha unafiki kati yetu kimeshamiri mno, na hii ni mbaya sana kwa ustawi wa Taifa huru.
 
Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.

CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
Kawaulize kwanza Viongozi wa chama chako kwa nini wanategemea sana mbeleko.
 
Kingai hawezi kukubali.Aliitunga kesi kwa muda mrefu
ametumia muda mrefu afu kina Kibatala wanaifumua kama imesukwa siku mbili...... Kweli kazi ya Polisi haihitaji watu wenye ufaulu kama alivyosema Waziri Simbachawene!!
 
Tutamfutia kesi ila with condition aache kabisa kuwasumbua wananchi kuhusu katiba mpya, wananchi wanachotaka ni maendeleo.
 
vyama vitajaa hata kama hivi vikubwa havitaalikwa, vitasifu na kuabudu na kuitangazia dunia kwamba Tanzania ina demokrasia ya kweli regardless hao wanaoitangaza vibaya .

Kiwango cha unafiki kati yetu kimeshamiri mno, na hii ni mbaya sana kwa ustawi wa Taifa huru.
Kabisa Na hapo ndipo tunaposhindwa Kama nchi.Vyama kama TADEA,TLP,CHAUMA,UPDP lazima washiriki .Na Dunia itaamini Tanzania Kuna demokrasia .

Unafiki Tanzania ni mwingi mno
 
Tutamfutia kesi ila with condition aache kabisa kuwasumbua wananchi kuhusu katiba mpya, wananchi wanachotaka ni maendeleo.
Wananchi wanataka maji, umeme uku vyote hivyo vimewashinda[emoji1]
 
Back
Top Bottom