Ndio maana Akina Kibatala walikazania kwenye technicalities. Mtu aliyetunga kesi stage ya kwanza ana kwama kwenye PGO.Vitabu vya kuchonga uingiaji wa mahabusu Tazara naushahidi wa Komandoo wa Tabora vinaenda kuondoa uhalali wa kesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana Akina Kibatala walikazania kwenye technicalities. Mtu aliyetunga kesi stage ya kwanza ana kwama kwenye PGO.Vitabu vya kuchonga uingiaji wa mahabusu Tazara naushahidi wa Komandoo wa Tabora vinaenda kuondoa uhalali wa kesi
Ukweli unaujua Chadema ni maarufu na muhimu kukiko hizo takataka zingine.Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.
CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
May be serikali za madikitetaHakuna Serikali duniani itavumilia michezo ya hovyo kama ambavyo walikuwa wameanzisha
Kingai hawezi kukubali.Aliitunga kesi kwa muda mrefu
Tundu Lisu ni kama Yohana Mbatizaji anatengeneza njia!
Ina mkono mrefu halafu imeshindwa kumkamata aliyejiunga ishia bomba la mafuta hapa mjini.
Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.
CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
Hakuna Serikali duniani itavumilia michezo ya hovyo kama ambavyo walikuwa wameanzisha
Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.
CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
Hakuna Serikali duniani itavumilia michezo ya hovyo kama ambavyo walikuwa wameanzisha
Hizo ni akili zilizochanganyika na haja kubwaEndelea kutumikia chama cha familia ya Mtei
mara ya mwisho CCM kushinda uchaguzi mkuu ilikuwa ni 2005.Kama sera ndio zinapeleka chama ikulu, basi ccm hata isingekuwa hai leo hii, achia kuweko tu ikulu. Labda hizi porojo zako za sera, ni hizi za siasa furahisha genge hapa jf.
Kwa hulka yake, HAWEZI kukubali kirahisi rahisi kuacha tumaini lake OVU la kupata u IGP lijifie hivihivi.Kingai hawezi kukubali.Aliitunga kesi kwa muda mrefu
Sasa mbona wamekalia vya kubumba tu mpaka wanapata aibu?Mbowe apambane na tuhuma zake,serikali ina mkono mrefu ,kajaa
Kawaulize kwanza Viongozi wa chama chako kwa nini wanategemea sana mbeleko.Vyama vyote vimesajiliwa kwa Msajili wa Vyama Siasa kwa mujibu ya sheriabya vyama vya Siasa ya mwaka 1992. Vyama vyote viko sawa mbele ya sheria. Kitachokupa uhalali wa kwenda Ikulu siyo idadi ya wanachama wako bali sera zako utakavyoshawishi wapiga kura.
CHADEMA msijipe umaarufu msio nao
ametumia muda mrefu afu kina Kibatala wanaifumua kama imesukwa siku mbili...... Kweli kazi ya Polisi haihitaji watu wenye ufaulu kama alivyosema Waziri Simbachawene!!Kingai hawezi kukubali.Aliitunga kesi kwa muda mrefu
Kabisa Na hapo ndipo tunaposhindwa Kama nchi.Vyama kama TADEA,TLP,CHAUMA,UPDP lazima washiriki .Na Dunia itaamini Tanzania Kuna demokrasia .vyama vitajaa hata kama hivi vikubwa havitaalikwa, vitasifu na kuabudu na kuitangazia dunia kwamba Tanzania ina demokrasia ya kweli regardless hao wanaoitangaza vibaya .
Kiwango cha unafiki kati yetu kimeshamiri mno, na hii ni mbaya sana kwa ustawi wa Taifa huru.
Wananchi wanataka maji, umeme uku vyote hivyo vimewashinda[emoji1]Tutamfutia kesi ila with condition aache kabisa kuwasumbua wananchi kuhusu katiba mpya, wananchi wanachotaka ni maendeleo.