Mkuu,Ndio maana mfumo wa asili wa familia umeweka majukumu wazi—mwanaume ndiye mtoa huduma mkuu, na mwanamke ana hiari ya kusaidia kulingana na uwezo wake. Tatizo linakuja pale watu wanapolazimisha usawa wa majukumu ya kifedha lakini siyo usawa wa majukumu mengine ya kifamilia.
Huwa napinga sana huo mtazamo wa sisi tunachukuliwa kama watoaji wao wapokeaji tu, sawa kipato unaweza kuwa nacho kikubwa Mali nyingi haimaanishi mke akiwa na kazi asichangie kwenye maendeleo ya familia hata kama akiwa hana kazi awe karibu kwa kujitoa kuongeza kipato zaidi.Kutoa si jukumu la asili. Haya majukumu yana maana, maana ya kutoa inatokana na physical advantages ambazo Mwanamume aliumbwa nazo zikawa favoured na mazingira, ila haikumaanisha kuwa Wanawake hawawezi. Ujio wa mashine na Maendeleo ya Teknolojia yamefanya zoezi la utafutaji na uzalishaji liwe rahisi kwa jinsia zote. So mantiki ya kutoa haipo kwa Mwanamume pekee tena kama ilivyo awali. Na kutoa kunatokana na kupata, nowadays wote tunapata. So, kutoa kwako sio hiari; usisingizie asili, kutoa ni social construct. Majukumu ya asili ni pamoja na kutia na kubeba mimba. Sio kutafuta pesa.
Imagine mtoto wako analelewa na beki 3, wote mnatoka halafu eti unasema ni jukumu la Mwanamume kutoa eti wewe unalea, unalea kitu gani? Wewe umetoka nje kufanya nini? Fikiria hilo zaidi ya hapo utanielewa
Bro you have such a big brain which is filled with deep sophistication of life, your redpill understanding is top notch. Hongera sana.Wanawake na logic ni vitu viwili tofauti kabisa. Mtu anataka usawa lakini hataki wajibu unaikuja na huo usawa. Mimi ndio maana hata wadogo zangu naenda nao kwa logic, sio huu ujinga wa usawa wa kijinsia.
Kuna madogo wawili wanasoma chuo, mwaka mmoja na umri wao sawa, mmoja wa kiume na mwingine wa kike. Ninapowatumia hela za matumizi yule wa kiume namtumia kiasi kikubwa zaidi, kwa sababu najua yule wa kike pesa ypte anaweza kuibana na kumbebesha mzigo boyfriend wake privilege ambayo yule wa kiume hana. Na yule wa kiume nae atabebeshwa bill na girlfriend wake cost ambayo yule kike hawezi kuingia. Kwa logic kama iyo hata siku moja siwezi kutumia kanuni ya usawa ninapowapa hela. Ni lazima dogo wa kiume nimpe kiasi kikubwa zaidi
Hili jibu linakuonesha wewe ni miongoni mwa wanaume makondoo ambao mnaona ni sawa tu kuendelea kuishi kwenye huu mfumo kandamizi na wa kinyonyaji kwa mwanaume.ishi mwenyewe mkuu🤣
Hili jibu lako linatia hasira sana, na ungekuwa karibu ningekutemea makohozi usoni au kukuwasha vibao..!!Ukifa au ukipotelea kwa mchepuko faida ya hiyo hela itaonekana
Ovyo sana wewe haujui hata hiyo sheria ya ndoa unayoiongelea hapa.Sheria ya ndoa inaweka misingi ya haki na wajibu kwa wote, lakini haibadilishi ukweli kwamba mwanaume ndiye mtoa huduma mkuu katika familia. K
Mimi siungi mkono hiari kwa Mwanamke mfanya kazi, hizo ni mentality za KimasikiniHuwa napinga sana huo mtazamo wa sisi tunachukuliwa kama watoaji wao wapokeaji tu, sawa kipato unaweza kuwa nacho kikubwa Mali nyingi haimaanishi mke akiwa na kazi asichangie kwenye maendeleo ya familia hata kama akiwa hana kazi awe karibu kwa kujitoa kuongeza kipato zaidi.
Siyo wote ila wengi wako hivyoKama kuna tatizo la uwazi wa kifedha kwenye ndoa, linapaswa kushughulikiwa kwa mazungumzo, si kwa ku-generalize kuwa wanawake wote ni wabinafsi.
Mfumo upi wa asili??? Huu utaratibu sio wa asili kwa hapa Tanzania.Ndio maana mfumo wa asili wa familia umeweka majukumu wazi—mwanaume ndiye mtoa huduma mkuu, na mwanamke ana hiari ya kusaidia kulingana na uwezo wake. Tatizo linakuja pale watu wanapolazimisha usawa wa majukumu ya kifedha lakini siyo usawa wa majukumu mengine ya kifamilia.
Duhhhh Chujio kweliSio wajibu wa mwanamke kuhudumia familia kifedha. Mke anamsaidia mume wake namna ya kupangilia na kutumia fedha zake kuhudumia hapo nyumbani
Ukisema bora dada wa kazi, wataleta manenoSasa mtoke wote asubuhi muende kazini na mrudi wote jioni huku kazi za nyumbani pamoja na kuangalia watoto zinafanywa na dada wa kazi. Wewe mwanamke unakua na mchango gani kwenye iyo ndoa? Kipato chako unapeleka wapi?
Hiyo ni mbayaHakuna namna, kwani yeye akitangulia wewe huwezi kuoa?
Unajua mke akiwahi kuolewa tambua alikosa Upendo Kwa mmewe hivyo anaona kapata nafasi nyingine 😂😂😂
Alright 👍Umemaliza mkuu.....
😂😀Sikitika basi
I thought it was you. My bad!Dude you're way fvckin' better than this
Ukifa au ukipotelea kwa mchepuko faida ya hiyo hela itaonekana