khamis kilo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 1,137
- 1,380
Nani amekwambia wahindi karibia wote hawana nyumba?, Au wahindi unaowaona wewe pale lumumba na kitumbini?Huo ni mtazamo wako, wahindi karibu wote mjini hawana nyumba ila wana biashara. Nyumba siyo asset bali liability. Ukikua utakuja kujua
Miaka yangu 26 ( me)..
1. Kiwanja ninacho 1
2. Bank nina mil 3
3. Tayari nimeshatoka nyumbani kitambo (najitemegea)
3. Nimeajiriwa kwenye N.G.O ( afya) kwa mkataba wa miaka 3.
Je naweza kuchokoza ujenzi kwa sasa kwenye hicho kiwanja changu au niwaze biashara kwanza na vitega uchumi vingine?
Majukumu
1. Sina mke
2. Sina mtoto
3. Nawaboost wazazi kusomesha mdogo wangu ndio ameanza mwaka wa 1..
4. Kuhonga kwa akili
5. Kuwaboost wana & ndugu pale ninapohitajika
Hongera sanaNjia nzuri ya kuweka pesa za kujengea nyumba ni kuanza kuijengea hiyo kama utakuwa na flow ya income unaweza kumaliza boma na usijiue hata limeishaje.
Mwaka jana nilianza ujenzi nyumba kubwa tu lakini nilikuja kumaliza boma kimasihara sana.
Una maanisha ajenge chumba kimoja?1. Jenga 'kipolisi post' uhamie wakati unasuribi kujijengea uwezo wa nyumba kubwa.
2. Sababu kazi yako ni ya mkataba, anza kufanya biashara ili usiadhirike mkataba ukiisha
Wewe unafanya biashara gani?Wengi wenu hamna experience ya ujenzi, mnafikiri ujenzi ni rahisi, kama hauna usimamizi ni kama unagawa hela zako kwa mafundi. Utaibiwa mpaka mchanga na kokoto site.
The good idea, aanzishe biashara ata mkataba utakapoisha aikute biashara imesimama aendelee nayo. Ukijenga ukiwa hauna source nyingine ya income, ultimately utaiuza hiyo nyumba.
Nilianza ujenzi nikiwa na mil 1.4 iliyopatikana baada ya kuuza kigari changu.Miaka yangu 26 ( me)..
1. Kiwanja ninacho 1
2. Bank nina mil 3
3. Tayari nimeshatoka nyumbani kitambo (najitemegea)
3. Nimeajiriwa kwenye N.G.O ( afya) kwa mkataba wa miaka 3.
Je naweza kuchokoza ujenzi kwa sasa kwenye hicho kiwanja changu au niwaze biashara kwanza na vitega uchumi vingine?
Majukumu
1. Sina mke
2. Sina mtoto
3. Nawaboost wazazi kusomesha mdogo wangu ndio ameanza mwaka wa 1..
4. Kuhonga kwa akili
5. Kuwaboost wana & ndugu pale ninapohitajika
Je naweza kuchokoza ujenzi kwa sasa kwenye hicho kiwanja changu au niwaze biashara kwanza na vitega uchumi vingine?
Majukumu
1. Sina mke
2. Sina mtoto
ShukranNilianza ujenzi nikiwa na mil 1.4 iliyopatikana baada ya kuuza kigari changu.
Anza na hii ramani. Mambo yakiwa mazuri, utajenga kubwa kwa mbele.View attachment 2477505
Yah mkuu upo sahihmawazo yangu binafsi juu
kwa fact.. tutasema ufanyebiashara kwanza ukuze kipato ndio uanze ujenzi.. nakukumbusha tu kuwa makini na biashara unayotaka kufanya maana biashara ni zaidi ya kuajiriwa pia ni zaidi ya maono (imaginations) uliyonayo. Unaweza waza juu ya biashara fulani ukaona kabisa na mahali utakapopigia mpunga lakini ukaingia field ikaja na mambo mengi mnoo mpaka ukahisi kuchanganyikiwa. Kama utaamua kuanza na biashara nakushauri kwepa biashara za kuuza kwa mtumiaji wa mwisho,,, huwa ni ngumu mno kuliko biashara inayokukutanisha na mafundi au wanunuaji wanaoenda kuuza na wao(jitahidi uwe na uelewa wa kutosha kabisa juu ya biashara yako)
Tukija kwenye suala la ujenzi,hapa ndio kwenye uhalisia wenyewe, kulingana na fedha ulizonazo jenga nyumba isiyo na mambo mengi ili uweze kuimaliza kwa wakati yaani ndogo tu, usitake mambo mengi.Mfano unajenga kama vyumba ukiwa na malengo baadae utakapo jenga nyumba yako ya familia basi hapo utaweka wapangaji. Hii itakusaidia ujenzi usikufilisi sana
Jambo ambalo nimeliona kwako ni unatamani kufanya biashara ila unauoga wa kuumizwa na biashara na hutaki kupoteza kitu, so nakushauri jenga room hata mbili ili zikupe confidence ya kuingia kwenye biashara kwamba mambo yakiwa magumu una pa kuanzia.. maana kodi utakua hudaiwi
Huu ndio ukweli Anza kujenga then ufungue biashara baadae utakuja kunishukuru,,
Ila ukianza biashara kabla hujajenga ,,utajikutq unamaliza nyumba za kupanga TU,,...
Mfanyabiashara hapendi kutoa hela kwenye biashara na kupeleka kwenye mambo km hayo...
Shukran mkuu..Anza kujenga mdogo mdogo
Achana na biashara
Asilimia 95 ya biashara mpya hufa kibudu, mind you not to fool yourself that you will be smarter than those 95% who are failing
Kama Una mshahara ambao Unaweza kutoa walau laki 4 Kila mwezi na tayari Una 3M, Anza kujenga mkuu, mambo mengine yatajiseti taratibu mbeleni
Shukran mkuuUshauri wangu ni uanze na ujenzi
1. Tafuta ramani simple pref 3 bedrooms with 1 master only
2. Fikia mpaka hatua ya kuezeka..
3. Weka Grill zote na mlango wa mbele na nyuma.
4. Izibe upande mmoja na fanya finishing upande utakaoweza kuanza kutumia pref master or 1 bedroom and toilet, dining, and kitchen.
5. Ukijipanga utamalizia kulikobakia