Brian Spilner
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,246
- 6,499
Kinachofanya uione taarifa hiyo iwe bias, au ina mapungufu ni mkao wako na udhaifu wako katika kuelewa tafsiri. Huwa haiji nusunusu.Kama energy yako inatoka kwenye ulimwengu wa Infinite knowledge, kwa nini taarifa inayoingia kwenye mwili huu wenye mapungufu mara nyingi inakuja ikiwa imepotoshwa au imechanganyikana na bias za akili yako?
Kama chanzo ni infinite taarifa inapaswa kuwa kamili lakini unavyosema maono yanakuja kwa metaphor ina maana hiyo nishati inakutana na kikwazo, sasa hauoni kwamba tunapopokea hizi taarifa tunachokiona siyo ukweli wa ulimwengu wa nishati bali ni tafsiri ya akili zetu tu?
Ungesoma vizuri nilichokiandika ungenielewaNashukuru sana umenielewa ila kuhusu mambo ya nabii sijui kuhusu hayo
Ila ni kweli mara nyingi hua naona baadhi ya mambo kabla hayajatokea ila kwa kua mtu hukumwambia kabla haamini anaona unajikweza
Nb siwezi kusema kila kitu ila swali langu lilikua nini hua kinatokea mpka unapata ndoto halisi
Nani alithibitisha huyo dada aliota kweli hiyo ndoto?Kwenye kumbukumbu ya MV Bukoba mwaka huu kuna member alisema dada yake aliota kuhusu ajali ile kabla na akaandika kwenye diary. Ile diary baba yake alivyoenda kwenye graduation yake Rugambwa Girls alirudi nayo pamoja na mizigo iliyotangulia. Bahati mbaya yule dada alifariki kwenye ile ajali,baadae kuangalia kwenye vitu vyake ndo wanakutana na ile diary inaelezea ajali. Kama hapo chanzo cha huyo dada kuota kuhusu ajali ni nini ndo swali gumu.
Nimesoma na nitasoma tena asante mkuu🙏Ungesoma vizuri nilichokiandika ungenielewa
Nimekuuliza ili nijue nakujibu kama muumini ( njia rahisi kwako kuelewa) au nikujibu kwa science ya akili, ambayo inakutaka uwe unaelewa nini ni UNIVERSE.Nijibu nitakujibu, suala hapa siyo kujua mimi ni muumini au siyo.
Nitakavyo wasilisha hoja yangu itakuwa jibu tosha kwako kuhusu imani yangu.
Fatilia kama mimi huenda tutaongezea kwa pale tunapopafahamuHaya maswala bwana kuna muda yanahitaji uelewa, uelewa unapofikia mwisho wake, ni kuamini tu tutapata fahamu mbele kwa mbele.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo.Haya maswala bwana kuna muda yanahitaji uelewa, uelewa unapofikia mwisho wake, ni kuamini tu tutapata fahamu mbele kwa mbele.
Katika information theory taarifa yoyote inayotoka kwenye source kuelekea kwa receiver inapaswa kuwa na mfumo wa error correction.Kinachofanya uione taarifa hiyo iwe bias, au ina mapungufu ni mkao wako na udhaifu wako katika kuelewa tafsiri. Huwa haiji nusunusu.
Nijibu kivyovyote vile nitakujibu inavyo stahili.Nimekuuliza ili nijue nakujibu kama muumini ( njia rahisi kwako kuelewa) au nikujibu kwa science ya akili, ambayo inakutaka uwe unaelewa nini ni UNIVERSE.
Mkuu, dada aliandika kwenye diary huo ndo uthibitisho, kama aliyesema hayo maneno alitudanganya mimi siwezi kusema kama alitudanganya au lah, labda kama wewe unaweza kuthibitisha utusaidie.Nani alithibitisha huyo dada aliota kweli hiyo ndoto?
Kuna mtu alikuwa ndotoni pamoja na huyo dada akahakikisha kweli meli inayootwa ni meli ya MV BUKOBA?
Duh haya sawaBrain is a tool of mind
Mind can direct your soul to enter into spiritual realm.
Elimu ya ubongo ni pana sana Mkuu.Hapa naweza kukuelewa umeongea kitu kinafafana sana au kinaendana na tukio husika Shukran
Aiseee natamani kujua zaidi ila naona ni kasheshe
You can enter by commanding ur mind before you sleep.Duh haya sawa
Ndiyo maana imani hufika tamati tu pale linapotukia jambo, pia kujulikana kuwa ni uongo ni muda wa jambo hilo lisipotokea, lakini maswala ya imani ni magumu kidogoKuamini unaweza kuamini hata uongo.
Sasa utahakikisha vipi unachokiamini ni ukweli na si uongo?
Hapo ndipo kazi inapoanzia.
Yaan haya mambo ya kushughulisha ubongo sana najiona nikizeeka mapema aisee🙌Elimu ya ubongo ni pana sana Mkuu.
Kama huwezi kusema ulidanganywa au lah, Sasa ulihakikisha vipi kwamba ni ukweli?Mkuu, dada aliandika kwenye diary huo ndo uthibitisho, kama aliyesema hayo maneno alitudanganya mimi siwezi kusema kama alitudanganya au lah, labda kama wewe unaweza kuthibitisha utusaidie.