Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

❤️❤️❤️❤️Hapo ni suala la uvumilivu tu
 
Reactions: Sax

Kidini ni Kosa. Mama Mkwe ni Kama mama Yako, kwani amemzaa mwenza wako.

Kisheria pia ni kosa.
Huruhusiwi kumpiga yeyote hasa Mtu mzima.

Ningekuwa Mimi ningefukuza Mke Kwa kushindwa kuwa mvumilivu na kuvuka mipaka yake.
Hilo ni kosa ambalo halina mjadala, ninakufukuza tena ukicheza na kipigo
 
🤣🤣🤣🤣Na kipigo Tena😳 Si umesema ni kosa kumpiga mtu mzima?
 
Aisee
 
Katika vitu nimeapa kuvalia njuga na sitaki masihara ni mzazi wangu au wa upande mwingine kuingilia mahusiano yangu,hili ni pepo baya sana linaloteketeza ndoa nyingi
Sana mkuu sasa kama hapo anadai mtoto,, kwani wenyewe ni Mungu kwamba wanapanga atoke lini?
 
Reactions: Sax
aisee....yani huyo sio mke kabisa. kumpiga makofi mama wa mume wako!!! huyo kama mwanaume atamruhusu kukanyaga tena hapo nyumbani basi atakuwa bonge la fala.
mama mzazi pia kama mtoto wake ataendelea kuwa na huyo mwanamke, basi mama amkane kabisa kuwa huyo sio mwanae tena
 
🤣HII imekugusa aisee🤸
 
Pande zote mbili zina makosa, mama ana makosa, na huyu mwanamke ana makosa. Isipokuwa hakupaswa kumpiga mama mkwe, hilo ni kosa na dhambi mbele za Mungu.
Hatujui hawa watu walishapima akabainika nani ana shida ya kiafya? Kama halikuwepo basi lilikuwa jambo la kiroho. Walihitaji kumwomba Mungu awasaidie.
Kuhusu kusimangwa au kusemwa vibaya kwa kutopata mtoto hilo halijaanza kwake.
Wapo wanawake katika Biblia walikutana na changamoto hii ya kusemwa vibaya. Waliumia na kuwa watu wa kulia, lakini ilifika muda Mungu akawapa watoto.
Huyu kumpiga mama mkwe, Mungu amsaidie isitokee kugawanyika kwa ndoa yake.
 
Amina,usiache kuwa mpole ivoivo tafadhali❤️
 
Ndo unavuna Hilo sasa

Hiyo ni Ajali kazini.
Unafikiri Hilo litamsumbua Mama mzazi Kama Hilo la kukosa Mjukuu😀😀.

Tena hapo alivyopigwa ndio atachukulia point ya kuivunja hiyo ndoa.
Wanawake linapokuja suala la mtoto hasa wa kiume wala hawajali chochote.

Tena mtoto awe na uwezo kidogo😂.

Mimi sio shida Kwa huyo Mama wala sioni shida ya mama yeyote kuiingilia ndoa ya Kijana wake.
Hapo akili na hekima ya Mwanaume ndio inapaswa kufanya kazi.

Mama mtamu! Mke mtamu.
Na wote ni muhimu na nyeti.
Lazima uwadhibiti wote.

Mama asimuonee Mke, na Mke asimuonee Mama.
Ukiona mambo hayaendi, Kaa mbali na Mama awe anakuja mara moja moja.
Hataki basi aishi kwako lakini MKEO mpe kazi muwe mnarudi jioni.
 
ah mie sina utani aisee nilimwambia mke wangu toka mwanzo kuwa fanya yote mabaya lakini mama usimguse. atakae ondoka ni wewe na sio huyu mama maana bila yeye wewe usingenitaka. so respect her.
mke naweza badilisha anytime, ila mama siwezi.
That's the truth....kilakitu kiwe na mipaka
 
Sheria za nchi haziruhusu kupiga mtu(kushambulia)
Umekua neutral sana, ni sheria za nchi na sio mama au mkwe..

Kosa ni hilo mkuu, ila sio kupigwa mama mkwe, anyooshwe tu kama anazingua..kwani mtoto ndio kila kitu kwenye dunia, pia tu hajielewi.
 
Kuishi na mama mkwehome yataka moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…