Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Je, ni kitu gani ambacho hakina kasoro kabisa duniani?

Huyu mtu hua amejikoki kubishana tu,
ana fixed mind mentality ya kubishana tu.
You are very wrong rafiki.
Kumuelewa Kiranga inabidi na wewe upstairs pawe vizuri kidogo ila ukiwa empty set kama mimi hutamuelewa.

Kiranga sio wa kawaida sema tu namna anavyoongelea Mungu imefanya baadhi ya watu wachukulie negative kwa kila anachochangia.

Pia kinachofanya aonekane mbishi ni kwa sababu ya uelewe wake mkubwa katika mambo mengi ambayo wengi wetu tunafikiri tunayajua ila hatuyajui.

Trust me hii JF nzima watu wanaoweza kum challenge Kiranga sidhani kama wanafika 10.

Najifunza mengi kupitia Kiranga
 
Wewe utakua humjui vizuri huyo punguani,hua anajifanya much know sana,na hata akielekezwa jambo hua hakubali coz amejiaminisha kua yeye humu jf ndio genius au anajua kila kitu kuliko wengine,acha kumuabudu huyu mtu,ni wakawaida sana,ubishi wake wa kitoto ndio maana watu hua wanamuignore kisha yeye hua anatafsiri kua ameshinda,

Au unambabaikia kisa hua anachanganya na lugha ya mkoloni? maana kuna watu mmekariri kua mtu akiandika kingereza basi ndio ana akili,huyo jamaa yako ukimchallenge anaishia kukuweka kwenye ignore list tu,anapenda watu kama wewe wanaomuabudu tu.
 
100% Efficiency hupimwa au haipimwi?
Inapimwa.

Unaweza kuweka mafuta katika gari.

Ukajua mafuta yana energy ya kiasi gani, yanatakiwa kukusafirisha kwa umbali gani.

Lakini kwa kuwa gari halina 100% efficiency kutumia mafuta (mengine yanamwagika, mengine yanakuwa waste energy kama joto etc) unaweza kuona kuwa mafuta yaliyotakiwa kukufikisha km 100 yamekufikisha km 85 tu.

Hapo unaona gari lina 85% efficiency katika kutumia mafuta.

Gari lina kasoro katika utumiaji mafuta.

Tunaweza kusema lina kasoro ya 15% katika ufanisi wa utumiaji mafuta.
 
Inapimwa.

Unaweza kuweka mafuta katika gari.

Ukajua mafuta yana energy ya kiasi gani, yanatakiwa kukusafirisha kwa umbali gani.

Lakini kwa kuwa gari halina 100% efficiency kutumia mafuta (mengine yanamwagika, mengine yanakuwa waste energy kama joto etc) unaweza kuona kuwa mafuta yaliyotakiwa kukufikisha km 100 yamekufikisha km 85 tu.

Hapo unaona gari lina 85% efficiency katika kutumia mafuta.
Oh kipimo cha kupima efficiency ya kitu kuwa ni 100% je na chenyewe kinapimwa au hakipimwi?
Yaani kinapimwa efficiency yake ya kupima kama ni 100%?
 
Huenda watu hawajui maana ya kasoro, Au huenda kasoro haipo
Au huenda perception ndio kasoro yenyewe. Yaani maswali ni mengi majibu machache.
 
Back
Top Bottom