Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Oh!! Kasoro ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapungufu ni kutokukamilika kwa jambo,kua na kasoro,Kwani mapungufu ni nini?
Tuanze na definition ya kasoro. Ili tuweze kujibu swali vizuriVinazeeka na kushindwa kazi.
Vinahitaji viagra na mkongo.
Vinapata magonjwa.
Sex inashindwa kuchuja maharamia wote wanaozaliwa wasizaliwe.
Sawa kabisa kukamilika kwa jambo huwa kuna kipimo chake?Mapungufu ni kutokukamilika kwa jambo,kua na kasoro,
Ni kama wewe una mapungufu ya kutokujua maana ya mapungufu.
You are very wrong rafiki.Huyu mtu hua amejikoki kubishana tu,
ana fixed mind mentality ya kubishana tu.
Kasoro ni kutokuwa na 100% efficiency katika kazi kusudiwa.Tuanze na definition ya kasoro. Ili tuweze kujibu swali vizuri
100% Efficiency hupimwa au haipimwi?Kasoro ni kutokuwa na 100% efficiency katika kazi kusudiwa.
Inategemea na jambo hilo,mfano ukijenga Nyumba na ikawa haina Milango,ina maana Nyumba ina mapungufu,haikukamilika,ina kasoro.Sawa kabisa kukamilika kwa jambo huwa kuna kipimo chake?
Kwanini kuwe kuna kutegemea jambo na jambo? Kwahiyo nani anayesema hii ni kasoro?Inategemea na jambo hilo,mfano ukijenga Nyumba na ikawa haina Milango,ina maana Nyumba ina mapungufu,haikukamilika,ina kasoro.
Wewe utakua humjui vizuri huyo punguani,hua anajifanya much know sana,na hata akielekezwa jambo hua hakubali coz amejiaminisha kua yeye humu jf ndio genius au anajua kila kitu kuliko wengine,acha kumuabudu huyu mtu,ni wakawaida sana,ubishi wake wa kitoto ndio maana watu hua wanamuignore kisha yeye hua anatafsiri kua ameshinda,You are very wrong rafiki.
Kumuelewa Kiranga inabidi na wewe upstairs pawe vizuri kidogo ila ukiwa empty set kama mimi hutamuelewa.
Kiranga sio wa kawaida sema tu namna anavyoongelea Mungu imefanya baadhi ya watu wachukulie negative kwa kila anachochangia.
Pia kinachofanya aonekane mbishi ni kwa sababu ya uelewe wake mkubwa katika mambo mengi ambayo wengi wetu tunafikiri tunayajua ila hatuyajui.
Trust me hii JF nzima watu wanaoweza kum challenge Kiranga sidhani kama wanafika 10.
Najifunza mengi kupitia Kiranga
Inapimwa.100% Efficiency hupimwa au haipimwi?
Oh kipimo cha kupima efficiency ya kitu kuwa ni 100% je na chenyewe kinapimwa au hakipimwi?Inapimwa.
Unaweza kuweka mafuta katika gari.
Ukajua mafuta yana energy ya kiasi gani, yanatakiwa kukusafirisha kwa umbali gani.
Lakini kwa kuwa gari halina 100% efficiency kutumia mafuta (mengine yanamwagika, mengine yanakuwa waste energy kama joto etc) unaweza kuona kuwa mafuta yaliyotakiwa kukufikisha km 100 yamekufikisha km 85 tu.
Hapo unaona gari lina 85% efficiency katika kutumia mafuta.
Na mimi ndiyo hapo huwa inanishangaza angeelewa mantiki ya swali hayo yote hayakuwa na haja ila ndiyo hivyo tena, Afrika.Ukiingiza dini kwenye mada za kisayansi utatupoteza
Mkuu SI unakunya tayari ni kasorompwayungu village hana mapungufu.
Kasoro zipo kwenye hicho kitabu kwasababu hakijaandika kila kituHiki ni kitabu kisicho na shaka ndani yake na ni muongozo kwa wamchao Allah sw