Prof Phraoh AI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 1,269
- 2,311
kasomeni historia nyie mjue mambo yalivyoInabidi mkubali kutokubaliana, kila mtu anatetea lake na kwa jinsi yeye alivyoamini na alivyotafsiri kilichoandikwa.
Setfree umepewa andiko ambalo wao wanalisimamia bado hutaki, na wewe una tafsiri yako, hapo ndipo mnapopishana.
Wao wanaamini kwenye historia na mapokeo wajuaayo wao, wewe unaamini biblia pekee, tofauti nyingine hiyo.
Mtaishia kunyukana tu, acha mwanahistoria DR Mambo Jambo aje ahitimishe huu mjadala kwa ajuavyo yeye. Karibu mheshimiwa.
Naomba tafsiri yako ya kauli hiiili kujua kanisa lako kuwa linafuata biblia au alifuati soma biblia nzima kwanza, pili angalia na ufuatili chanzo cha taratibu zote za ibada kama kuna sehemu kwenye biblia imeagizwa kama hakuna ujue kanisa alifuati biblia bali mapokeo na maagizo ya mtu binafsi.
Sawa huenda ni kweli sijakuelewa.Hujanielewa vizuri. Mzizi wa hoja yangu uko kwenye cheo cha Papa. Viongozi wengine kama Maaskofu, na Wachungaji, wametajwa kwenye Biblia. Lakini Papa simuoni kwenye Maandiko.
Papa ni Askofu anaeteuliwa kuongoza kanisa Katoliki Dunia nzimaHujanielewa vizuri. Mzizi wa hoja yangu uko kwenye cheo cha Papa. Viongozi wengine kama Maaskofu, na Wachungaji, wametajwa kwenye Biblia. Lakini Papa simuoni kwenye Maandiko.
Habari Mkuu! Vishu MtataInabidi mkubali kutokubaliana, kila mtu anatetea lake na kwa jinsi yeye alivyoamini na alivyotafsiri kilichoandikwa.
Setfree umepewa andiko ambalo wao wanalisimamia bado hutaki, na wewe una tafsiri yako, hapo ndipo mnapopishana.
Wao wanaamini kwenye historia na mapokeo wajuaayo wao, wewe unaamini biblia pekee, tofauti nyingine hiyo.
Mtaishia kunyukana tu, acha mwanahistoria DR Mambo Jambo aje ahitimishe huu mjadala kwa ajuavyo yeye. Karibu mheshimiwa.
Mtakatifu wa kwanza ni baba na mama yako nyambaff weNdugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.
Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?
Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?
Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).
Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.
Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hoja hizo mnazijibuje?
Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Kwani maana ya "WaprotestantNdugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.
Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?
Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?
Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).
Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.
Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hoja hizo mnazijibuje?
Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Nikuulize hivi: "Nini maana ya 'Waprotestant' na walianza lini, na Kanisa Katoliki lilianza lini?" Kwa kukusaidia walianza katika Karne ya 16 (mwaka takriban 1517). Kanisa Katoliki lilianza Karne ya 1. Hebu sasa uliza tena swali lako ukiwa na hiyo background.Ndugu zangu wa Kanisa kubwa duniani, Kanisa Katoliki - poleni sana kwa msiba mzito. Wakati maombolezo yakiendelea, naomba tuongee kiutu uzima; kwa heshima na upendo.
Kwanza ninawapongeza: mkiwa Kanisani, mnaonyesha heshima kubwa kwa Mungu. Sasa naomba mnijibu swali hilo: Je, ni kweli kwamba Mtume Petro ndiye Papa Mtakatifu wa Kwanza?
Nimesikia mnafundisha kwamba Mtume Petro ndiye aliyeteuliwa na Yesu kuwa msingi wa Kanisa au Papa wa kwanza. Mnanukuu Mathayo 16:18 na kusema kwamba katika Andiko hilo Yesu alimwambia Petro, “Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga Kanisa langu.” Kwa tafsiri yenu, “mwamba” huo ni Petro mwenyewe, na hivyo mnamuona kama Papa wa kwanza. Mnaamini kwamba, mamlaka ya Petro kama kiongozi wa mitume yaliendelezwa na Mapapa waliomfuata, wakiwa viongozi wa juu wa Kanisa la Kristo duniani. Ni kweli?
Kama ni kweli, mbona mtazamo wa Kiprostestanti unatofautiana na mafundisho yenu. Waprotestanti wanasisitiza kuwa msingi wa Kanisa sio mtu binafsi, bali ni Yesu Kristo mwenyewe (1 Wakorintho 3:11), na kwamba “mwamba” aliouzungumzia Yesu ni Yeye mwenyewe(Yesu) kama Petro alivyokiri: “Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.” (Mathayo 16:16).
Kwa mtazamo wa Kiprostestanti, Petro hakuwa Papa, kwa sababu hakuna ushahidi wa kibiblia unaoonyesha kuwa alipewa mamlaka ya kipekee juu ya mitume wengine. Na wakati wa Kanisa la kwanza mfumo uliopo leo wa kipapa, haukuwepo.
Waprotestanti wanaeleza tena kwamba Viongozi wa kwanza wa Kanisa walifanya maamuzi yao kwa ushirikiano (Mdo 15), sio kwa mamlaka ya mtu mmoja(Papa). Wanasimama na Andiko la Waefeso 5:23 linalosema kwamba Yesu ndiye Kichwa cha Kanisa. Wanaamini pia kwamba Roho Mtakatifu ndiye anayeliongoza Kanisa lote sasa, na sio kiongozi mmoja wa kimwili. Wananukuu Yohana 16:13
"Lakini yeye atakapokuja, huyo Roho wa kweli, atawaongoza awatie kwenye kweli yote."
Hoja hizo mnazijibuje?
Ntashukuru sana nikipata majibu ya swali langu na majibu kuhusu hoja hizo za Kiprotestanti. Majibu yajengwe kwenye Maandiko Matakatifu(Biblia). Tumsifu Yesu Kristo.
Hapa uko off-point! Huwezi kusoma biblia kama kitabu cha historia sawa na kusema "Mkutano wa Berlin wa kuligawa Bara la Afrika ulifanyika mwaka 1884." Lugha ya Biblia ni kama ilivyo lugha ya sheria, lazima ufanye "interpretation". Ni aina tofauti ya 'literature'. Kwa hiyo, huwezi kusoma tu mstari ukajifanya kwamba huo mstari una maana hiyo uliyoisema. Lazima ufanye kitu kinachoitwa "exegesis au hermeneutics" vinginevyo, unachofanya ni "eisegesis" (kukipa kifungu/mstari wa Biblia maana yako, na si maana iliyo kwenye hicho kifungu au mstari). Hata sheria ziko hivyo. Huwezi kusoma kifungu cha sheria na kukipa maana unayopenda, lazima ufuate kanuni za tafsiri ya sheria, na kanuni mojawapo ni ya "reasonable person" - yaani sheria yoyote ikitungwa, inatungwa na "reasonable person", lakini kama ikitungwa kwa kukiuka hii kanuni au context yake imebadilika/au haikidhi tena mahitaji ya jamii unakuta ama Bunge linaibadilisha au kuifuta au mahakama inayasema ni "null and void". Sasa kanuni mojawapo ya tafsiri ya Biblia ni kujua "context". Je, maneno uliyoya'quote' yalizungumuzwa katika context au mkutadha gani? "Bila kujua context ya text hakuna tafsiri sahihibya hiyo text" - hii inafanana na kusema 'no reform no election' in terms of internal logic: yaani, 'no knowledge of context, no right interpretation' hata kama unajua kushusha vifungu vya Biblia kiasi gani.Habari Mkuu! Vishu Mtata
Mjadala Mzito sana Huu!
Na Cha kushangaza kabisa Kuna baadhi ya Hoja Nitakubaliana na Setfree japo sio Zote na Kuna baadhi ya Hoja Nitapingana naye kabisa..
Nitakubalina na Setfree kwa Hoja kadhaa hapa chini pia nitapingana naye kwa baadhi ya mambo nisikilize..
Kwanza kabisa Mamlaka Ya papa Si mamlaka ya Kimungu (Nisamehewe Kusema hivyo)..
Mamlaka ya Papa (Papacy) haitokani na maagizo ya Mungu..
Ukisoma Kwenye Mathayo 23:9
inazuia Kumpa Mtu title ya Baba Mtakatifu (papacy)
"Wala msimwite mtu baba duniani; maana Baba yenu ni mmoja, aliye wa mbinguni.
SAsa Nirudi kwenye Swali je Petro alikuwa Papa wa Kwanza.?
Katika nyakati za Mitume, makanisa yalikuwa yanaongozwa na wazee (presbyters) na mashemasi (deacons).
Hakukuwa na Kiongozi mmoja mwenye authority ya Kuongoza Kuliko wenzake..
Na Mfumo wa Uongozi wa Kanisa Ulifuata Tamaduni za Kiyahudi kwa Mfumo wa Mabaraza Hasa baraza la Senhedrin..
Na Mabaraza Hayo yaliundwa kwa Wazee 70..
Mabaraza Hayo yaliundwa na wazee(elders),Waandishi wa sheria (scribes) na Makuhani wakuu (high priests) Wasomi/Waalimu wa Sheria..mwenyekiti wa Senhedrin huitwa nasi (kiongozi)
Kama Unakumbuka hata Kipindi yesu anasulubiwa
Kiongozi wa Senhedrin Kipindi cha Yesu alikuwa akiitwa Kayafa (Caiaphas) kama Unakumbuka hata Mtafaruku wa Gentiles kuhusu Kutokutahuriwa kwenye Matendo 15 Kikao cha Yerusalem ndo kiliamua na Hitilafu zote ziliwasilishwa Senhedrin kuhojiwa na maamuzi yakatoka Ya Baraza
So Hiyo ndo ilikuwa Aina ya Uongozi ya Kanisa na wala hakukuwa na uongozi wa Jumla..
Hata hivyo Paulo ametumia Muda Mwingi sana Roma na hakuna Mahali amewahi kuandika Kuwa Petro aliwahi kuwa Kiongozi wa kanisa..
Sasa Hiyo Kitu Ilianza Lini (Papacy)..
Ukisoma Kwenye Kitabu cha "Ἔλεγχος καὶ ἀνατροπὴ τῆς ψευδωνύμου γνώσεως" yaani Elenchos kai anatropē tēs pseudōnymou gnōseōs Au kwa Summary ya Kilatin "Adversus Haereses" au Kwa Kingereza "Against Heresies" Kiliachoandikwa na churches Father Irenaeus of Lyon mwishoni mwa Miaka ya 180 A.D yaani Karne ya Pili
Pamoja na Kitabu cha Eusebius wa Caesarea kilichoandikwa karne ya 4 A.D "Ecclesiastical History" au Churches History ..
Ndo wanaweza Mapokeo ya Kutaja kuwa Yesu alimuachia Petro Uongozi wa Kabisa na Petro naye Alimuachia Clement ambaye na Yeye aliwahi kuandika Barua kwa Wakorinto (1 clement) karne ya Kwanza Mwishoni na Clement unaweza kumsoma kwenye wafilipi 4:3..
Baadaye Akaja ignatius wa antiokia karne Ya Pili mwanzoni kwenye Miaka ya 110..
Sasa Huyu ndo ambaye UAskofu ulianza Kushamiri japo..Sasa maaskofu wote Walikuwa Wakiitwa Papa Dunia Nzima Kwa Maana Ya Baba (Kwa Heshima)..
Mpaka karne ya 6, chini ya Papa Gregori Mkuu (590–604 BK), ambapo jina hilo likawa maalum kwa Askofu wa Roma tu, Na akapiga Marufuku matumizi ya Jina la Papa nje ya Askofu mkuu wa Roma..
Na Huo ndo ulikuwa Mwanzo wa Papa (Askofu Mkuu kutoka Rumi)..
Kuna Vitu Vingi vya Kuelezea Ila Kwa Ufupi ni Hivyo..
Nataka Kutofautiana na @serfree Sehemu moja tu Kuwa Petro Sio Mwamba na Mwamba ni Yesu peke yake..
Kwanza Petro Sio mwamba tu wa Kuambiwa na Yesu bali hata Jina lake lilibadilishwa na Kuwa Mwamba..
Jina Halisi la Petro Lilikuwa Simoni Yohana...
Ila Yesu alimbadilisha Jina Na Kuwa Kefa/Petro neno lenye maan ya Mwamba..
Sasa Unapokataa Kuwa Jiwe Sio Jiwe Itabdii nishangae unatumia nini Kufikiri..
Ukitamka Jina Petro au Kefa maana Yake ni Mwamba au Jabali sasa Unaposema Mwamba Sio mwamba Unakosa Credible logic kabisa..
Yohana 1:42
" Akampeleka kwa Yesu. Naye Yesu akamtazama, akasema, Wewe u Simoni, mwana wa Yohana; nawe utaitwa Kefa (tafsiri yake Petro, au Jiwe)."
Nina Usingizi Ila Nikipata Muda Nitaendelea Ila kwa Kumalizia ni kwamba ni kweli Simoni Ni Mwamba yaani Ni kweli Simoni Ni petro na Alipewa Kuongoza vingi ikiwemo kanisa la Mungu ila kwa bahati mbaya alipokonywa Injili na Paulo (Sitaki kuendelea zaidi)😀😀
sasa hapo sijui unaongea nini mkuu hili fungu halina uhusiano wowote na katoriki japo nasikiaga wakilitumia ila halina uhusiano wowote unaweza kuthibitisha japo najua imani ya katoliki ipo kwenye kuamini tu bila uthibitisho wowote ule wa vituNaomba tafsiri yako ya kauli hii
linalokubalika duniani basi hata Mbinguni hukubalika.
Ungeacha tu kwa kuwa huna jibu.Haaaaahaaaa..kwani Yesu alinena kwa lugha za vinywa? Na ni lugha gani hizo?
Kiufupi, muundo wa kanisa katoliki uwaachie wakatoliki. Kama kweli una uchanga huo, sala nyingine unsazosali unatumia vifungu gani?
Kama wengine wanasali wanachosali, katoliki kusali rozari kunawatatiza nini?
MKuu Magobe T Habari?Hapa uko off-point! Huwezi kusoma biblia kama kitabu cha historia sawa na kusema "Mkutano wa Berlin wa kuligawa Bara la Afrika ulifanyika mwaka 1884." Lugha ya Biblia ni kama ilivyo lugha ya sheria, lazima ufanye "interpretation". Ni aina tofauti ya 'literature'. Kwa hiyo, huwezi kusoma tu mstari ukajifanya kwamba huo mstari una maana hiyo uliyoisema. Lazima ufanye kitu kinachoitwa "exegesis au hermeneutics" vinginevyo, unachofanya ni "eisegesis" (kukipa kifungu/mstari wa Biblia maana yako, na si maana iliyo kwenye hicho kifungu au mstari). Hata sheria ziko hivyo. Huwezi kusoma kifungu cha sheria na kukipa maana unayopenda, lazima ufuate kanuni za tafsiri ya sheria, na kanuni mojawapo ni ya "reasonable person" - yaani sheria yoyote ikitungwa, inatungwa na "reasonable person", lakini kama ikitungwa kwa kukiuka hii kanuni au context yake imebadilika/au haikidhi tena mahitaji ya jamii unakuta ama Bunge linaibadilisha au kuifuta au mahakama inayasema ni "null and void". Sasa kanuni mojawapo ya tafsiri ya Biblia ni kujua "context". Je, maneno uliyoya'quote' yalizungumuzwa katika context au mkutadha gani? "Bila kujua context ya text hakuna tafsiri sahihibya hiyo text" - hii inafanana na kusema 'no reform no election' in terms of internal logic: yaani, 'no knowledge of context, no right interpretation' hata kama unajua kushusha vifungu vya Biblia kiasi gani.
Nashangaa!sasa hapo sijui unaongea nini mkuu hili fungu halina uhusiano wowote na katoriki japo nasikiaga wakilitumia ila halina uhusiano wowote unaweza kuthibitisha japo najua imani ya katoliki ipo kwenye kuamini tu bila uthibitisho wowote ule wa vitu
Si kweli, mtume Petro hauwa mkatoliki. Leta andiko kama unaushahidi kuwa alikuwa mkatoliki, acha porojo, toa andiko.Petro ni kiongozi mkuu wa kanisa la mwanzo aliachiwa mamlaka na Yesu Kristo kanisa hilo la mwanzo limekuannw viongozi wengine wengi wapatao 260 waliofuata baada ya Petro ambao ndo viongozi wakuu wa kanisa na baada ya miaka mingi kiti hicho hicho ndo alicho nacho papa ikiwa papa francis ni kiongozi mkuu wa kanisa wa takriban 260 tangu Petro. Petro akiwa wa kwanza na aliteuliwa na Yesu Kriso
ukristo umeanza rasmi mwaka 33
( ukristo ndo ukatoliki wenyewe kama unabisha au hujaelewa hapo nitakujuza kwaiyo kwa mantiki hiyo ukatoliki umeanza mwaka 33 )
Luka 1:41-49,55Kanisa linalozungumziwa kuwa la kwanza halikuwaabudu ama kuwaomba wafu.
Maria ni mfu
Petro ni mfu
Paulo na wengineo ni wafu.
Catholic ni Jina. Identity..ambalo ni universe.walikua hawasali kanisa kolote ila ndo ukristo ulivyoanza kama early comunity
baada ya miaka mingi kupita ndo wakaaza kusali
hata hivyo ndo maana katoliki haina jina hadi leo
Katoliki imetokana na Catholic maana yake ni kotu kilichoenea ulimwengu mzima
ukristo ulikua unaenea kwa kasi, wakristo wa kwanza wakaitwa wa catholic kwakua uliendea kwa kasi ya ajabu
na kilichowashangaza wengi ukristo ukaanza kuenea hadi roma, roma ndo ilikua dola yenye nguvu duniani zaidi ya ilivyo marekani kwa sasa yaani ilikua ni empire
viongozi wa roma wakaanza kuingia kwenye ukristo ukristo ukazidi kuimarika kwasababu unasapotiwa na empire yenye nguvu zaidi duniani na hapo ukiongelea ukristo maana yake ni ukatoliki kwasababu hakukua na usabato wala u anglican wala u Lutheran hivyo vyote vilikuja baadae sana
kwaiyo ni kweli wakati wanaanza hawakua na kanisa walitembea kusambaza ukristo na kanisa katoliki halijawai kua na jina hadi sasa linajulikana tu kama Catholic ila Catholic ni kitu kilichoenea dunia nzima
Catholic ni Jina. Identity..ambalo ni universe.
Kanisa lilipofika Roman likaitwa Roman Catholic n likamezwa na mira za kirumi likaacha mambo ya Mungu.
Kanisa likaanza kufanya biashara badala ya ukombozi wa waliopotea. Kanisa likabadili majira, saa, siku n.k.
Kanisa likatengeneza mfumo ambao watu badala ya kumfuata Yesu na kumabudu Mungu likaanza kumabudu sanamu na binadamu.
Wengi sana salikimbia toka Rumi na kwenda sehemu nyingine. Soma kitabu cha Ufunuo 12 na Danie 9.
Mambo mengi yaliyofanywa na Roma yamefanya hadi leo kunamkanganyiko kwenye maandishi na namna ya kumabudu Mungu.
Romba imegeuka babeli. Soma Ufunuo 14.
Acha uwongo, pili ujifunze kuandika, tatu hakuna Kanisa linaloitwa Roman Catholic, bali neno Roman lilianzishwa na waprotestant karne ya 16.Catholic ni Jina. Identity..ambalo ni universe.