Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

Nimekuja fasta kwenye uzi nikitegemea kukutana na neno hili "KOBAZI" ili nicheke then niendelee na mambo yangu; hadi naandika hapa, sijalikuta and hence nime ๐Ÿ˜‰ cause sijakutana nalo
 
Nacheka, yaani dini zinatufanya tugombane hovyo namna hii. Hii ni namna gani tulivyo na shida. Hii ngozi hii mmh.
Huyu jamaa ana shida sana ,anaishi na kinyongi๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃbora atulie afanye mema na dini yake .

Nyuzi kama hizi anajua reactions zake ila anajitoa akili.
 
UMKEMKAMATA VIZURI ,DAH

YAANI UISLAMU BILA UONGO NA PROPAGANDA HAUENDI

NDIO MAANA WANADANGANYA MANABII AMBAO NI WAYAHUDI WAKUZALIWA NA WAYAHUDI KAMA DINI ETI WALIKUWA WAISLAMU

HUO NDIO UISLAMU BILA UONGO NA PROPAGANDA UNGEKUWA KAMA RASTAFARIAN TU
 
UMKEMKAMATA VIZURI ,DAH

YAANI UISLAMU BILA UONGO NA PROPAGANDA HAUENDI

NDIO MAANA WANADANGANYA MANABII AMBAO NI WAYAHUDI WAKUZALIWA NA WAYAHUDI KAMA DINI ETI WALIKUWA WAISLAMU

HUO NDIO UISLAMU BILA UONGO NA PROPAGANDA UNGEKUWA KAMA RASTAFARIAN TU
Jamaa roho yako inakuwa na jazba unaishi kwa kinyongo ,hilo suala ni kweli hata huko kuna page wanalalamika uislamu unaingia kweny nchi yao kwa kasi sana ..

Tatizo ni hapa kama wewe ni mkristo basi fuata ,unapoanza kupiga vita ndo yale yale ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…ya wenzio ....Baadae wakilipiza utaita watu majina ya hovyo.
 
Ahahah au siyo.

Dini ya amani na haki si ndiyo?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nimekuja fasta kwenye uzi nikitegemea kukutana na neno hili "KOBAZI" ili nicheke then niendelee na mambo yangu; hadi naandika hapa, sijalikuta and hence nime ๐Ÿ˜‰ cause sijakutana nalo
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Moja kati ya upungufu mkubwa wa kifikra ni kuamini mtu aliekibaka kisichana cha miaka 8 kuwa ni mtume wa mwenyezi mungu.

Waislamu muondoeni mudi kwenye utume na hakika dini yenu inaweza kuwa ya haki.
Wewe hiyo kubaka unaiona wewe wao wanakwambia enzi za mtume msichana miaka sita/tisa alikuwa anafanana kiumbo na eg sa100 sasa sijui wa miaka 30 walikuwa wanafananaje?....dinosaur???
 
Naona umepaniki,kwenu hakuna kunguni anayenifikia kielimu hata akili, maana ungekua na akili usingeabudu mtu aliyekatwa govi na ngariba
UNAPANIKI HUKU unalia ,kwanini Sasa Mtu akisema anahama Uislamu mnamtishia kufa?

MTU ALIYEACHA UISLAM ANAITWA JINA LA MURTADI USHAHIDI HUU HAPA NA HUYU MURTADI ANAPEWA SIKU TATU ARUDI KWA UISLAM KWENYE NCHI ZINAZOONGOZWA NA DOLA YA KIISLAM ASIPORUDI ANAKATWA KICHWA NA HAZIKWI WALA HAFANYIWI IBADA WALA HATARITHIWA NA YEYOTE KATIKA FAMILIA YAKE UKRASA 893 MIN HAJIR MUSLIM

Murtadi ni Mtu aliyeiacha dini ya Uislam na kwenda Dini zingine kama Vile Ukristo,Uyahudi au hakujiunga na dini yoyote kama Vile Upagani, Mkomunisti akiwa na akili timamu Kwa hiyari yake

Hukumu yake

Hukumu ya murtadi atatakiwa arudi kwenye dini ya Uislam Kwa siku tatu, asiporudi atauliwa Kwa upanga,hii ni adhabu Kwa kauli ya Mtume

" Mwenye kuacha dini yake Muueni"Bukhar

Si halali kumwaga damu ya Mtu mwislam ispokuwa Kwa sababu ya moja ya matatu mzinifu muhsani ,Nafsi Kwa kuuawa Kwa mwenye kuhama dini yake ya Uislam,na kufarakiana na Umoja waislam. Imepokewa na Sanai, Ibn Majah na Abu Dawud

ุนูŽู†ู’ ุงุจู’ู†ู ู…ูŽุณู’ุนููˆุฏู ุฑูŽุถููŠูŽ ุงู„ู„ู‡ู ุนูŽู†ู’ู‡ู ู‚ูŽุงู„ูŽ: ู‚ูŽุงู„ูŽ ุฑูŽุณููˆู„ู ุงู„ู„ูŽู‘ู‡ู ุตู„ู‰ ุงู„ู„ู‡ ุนู„ูŠู‡ ูˆ ุณู„ู… "ู„ูŽุง ูŠูŽุญูู„ูู‘ ุฏูŽู…ู ุงู…ู’ุฑูุฆู ู…ูุณู’ู„ูู…ู [ ูŠุดู‡ุฏ ุฃู† ู„ุง ุฅู„ู‡ ุฅู„ุง ุงู„ู„ู‡ุŒ ูˆุฃู†ูŠ ุฑุณูˆู„ ุงู„ู„ู‡] ุฅู„ูŽู‘ุง ุจูุฅูุญู’ุฏูŽู‰ ุซูŽู„ูŽุงุซู: ุงู„ุซูŽู‘ูŠูู‘ุจู ุงู„ุฒูŽู‘ุงู†ููŠุŒ ูˆูŽุงู„ู†ูŽู‘ูู’ุณู ุจูุงู„ู†ูŽู‘ูู’ุณูุŒ ูˆูŽุงู„ุชูŽู‘ุงุฑููƒู ู„ูุฏููŠู†ูู‡ู ุงู„ู’ู…ูููŽุงุฑูู‚ู ู„ูู„ู’ุฌูŽู…ูŽุงุนูŽุฉู".
[ุฑูŽูˆูŽุงู‡ู ุงู„ู’ุจูุฎูŽุงุฑููŠูู‘] ุŒ [ูˆูŽู…ูุณู’ู„ูู…ูŒ]

Kwa mapokezi ya Ibn Masood (Mwenyezi Mungu apendezwe naye) ambaye alisema

Mjumbe wa Mwenyezi Mungu (amani na baraka za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake) alisema, "Hairuhusiwi kumwaga damu ya Mwislamu isipokuwa katika [visa] vitatu: mtu aliyeoa ambaye anafanya uzinzi, aliyepoteza maisha ya mwingine (kuua), na anayeacha dini yake na kujitenga na jamaa. "[Al-Bukhari] [Muslim]
 
Sema ukitishiwa majini inatia kauoga flan
Majini yakisikia jina la Yesu yanaogopa sana ,juzi hapa Kuna bint wa kazi wa jirani yetu ,ni mwislamu ,sasa si wakampeleka kanisani

Wamerudi home ,kumbe bint ni ana Jini, bint alikotoka ni muislamu ,alikuwaga safi kabisa ,alipofikishwa kanisan tu ,ndio likafumuka

Sasa hilo Jini linaongea kiarabu, ukiliuliza jina linasema Rahma ,huyo Binti yeye anaitwa Mariamu

Kosa ilikuwa kusikia jina la Yesu, linasema kabisa bint awe anaenda misikitini
 
Yule ni Mganga kuweni makini.
Dokta aliomba samahan lakini wapi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Unalala una scan Kama CCTV camera.
Dokta wangu alitishika kumbe ? Amenitia aibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ