Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

Nafikiri kama kuna jambo ambalo nchi za kislam wanatakiwa waogope na wazinduke mapema ni kuona uislam unakuwa implemented ktk nchi za ulaya na USA...
Mpango wa wazungu ni kuuweka uislam ktk sura tofaut, hivi karibuni utasikia kuna uislam wa Europe na USA, ambao utakuwa na sura chafu duniani...
Twende mbele turudi nyuma mzungu si mpuuzi kama sisi waafrika, wapo mbele ya muda sana. Kwa akili za kiafrika unaweza kuona wanafanya jambo kukusaidia ila ndio wanakuzika...
NB: Nilipo andika nchi za kislam ni nchi za kiarabu, sisi waafrika weusi uislam tunaulazimisha tu we know nothing... Ndiyo maana waarabu hadi kesho hawaamini kama uislam upo kwa ngozi nyeusi...
 
Una maanisha hakuna waarabu wakristo na wala hakuna wazungu waislam..na hakuna wazungu wanaosilimu?
 
Hoja ya msingi ishashindikana sasa, umeelewa maana yake,any way,murtad ni lugha ya kiarabu, Quran imeteremka kwa kiarabu burbur,na Quran haikusema mtu akiacha uislam auawe, imesema wazi hakuna kulazimishana katika dini, kwani ukweli umejitenga na uwongo,hayo uliyoweka hapo ni vurugu tu zisizo kichwa wala miguu
 
Mosi,kama nilivyokuambia,uwezo wa kuchanganua mambo mdogo,piganeni na wapigeni ni maneno mawili tofauti, piganeni maana yake anakupiga unampiga,sasa wanakupiga vita halafu wamegoma kulipa kodi serikalini,watazamwe tu!?..huo ni uhaini,mtapigwa mchakae,jizya ni kodi,washirikina,wayahudi na wakristu hapo wamedinda kulipa kodi,sharti wapigwe
 
hakuna chuki, acheni kudanganya uislam unakua ulaya na amerika wakati ndio kwanza unakufa duniani. Angalia saudi arabia ulikoanzia uislam nchi imeanza kuachana na uislam na kukumbatia umagharibi
 

Unakana hadithi na Quran?
Kwahiyo unadhani hivi vitabu na hizo Hadith tumeandika Wakristo?

Hukumu ya Murtadi ni kifo ,

Wewe Bado uislamu huujui

 
hakuna chuki, acheni kudanganya uislam unakua ulaya na amerika wakati ndio kwanza unakufa duniani. Angalia saudi arabia ulikoanzia uislam nchi imeanza kuachana na uislam na kukumbatia umagharibi
Hawa wanadanganyana sana , Uislamu huko Saudia na nchi za kiarabu ,Unaenda kufanywa uwe kama geresha tu

Papa na viongozi wa juu wa uislamu wanafanya vikao ,wanagonga glass za wine ,
 
Katika reversible/irreversible reactions lazima kwenye input kuwe na enzymes inayospeed up rate of chemicals reactions..Kwa hio duniani sio makazi.,..unatakiwa ujue waislam wanatakiwa kuongezeka ulaya ili kupatikane jamii kubwa ya watu wanaoichukia Israel ili vita ya Gogu na Harmagedon zipate wapiganaji...
 
Kuwepo na kuongezeka waislam Hilo unatakiwa umwachie MUNGU Tumewakuta na tutawaacha Ila wewe kama kijana unatakiwa ujue ni nini hatma yako..What if Jesus akarudi Leo...Utakuwa kondoo au mbuzi??? Utakuwa Ngano au magugu??? Utachaguliwa au utaachwa???Same applied na what if Mimi au wewe tukafa Leo tutakwenda wapi???? Tutakwenda Kwa tajiri au Kwa Lazaro??
 
Kijana hebu nipe kazi achana na mambo ya dini maake naona haisaidii kitu
 
Sitaki kusikia kemia 😂😂

Na mparasinge upo kigambn hii hii majirani kabisa 🤔
 
Kukua wakati wanaacha kukimbilia nchi zao za kiislamu wanakimbilia marekani na Uingereza na kurundikana huko
Shangaa hata wewe, sahizi walitakiwa wawe wamejaza Gaza huko ! Lakini wanaupiga mwingi Kwa makafiri😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…