Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?


View: https://youtu.be/3_8_fbJcKug?si=O_-KOcucEfwsUGxp
 
Kwa data zipi au kwa propaganda?
hii sio propaganda,kila nikienda kusali makanisani huko ulaya nakuta wazee 3 au 5 hawazidi 10,makanisa yanafungwa na kugeuzwa kuwa maeneo ya biashara,kwa upande wa waislamu,misikiti yao hujaa waumini na sasa wazungu wengi wanaenda kusali na ipo misikiti inasalishwa na ma imamu wazungu ambao ni waislamu.Huo ndio ukweli wala hakuna cha ushabiki hapo
 
Lete aya ya Quran inayosema hukumu ya murtad kifo,nje ya Quran ni hadith za alfu lela ulela
Kwahiyo Leo hutaki Hadithi? Mambo yakiwa tofauti mnazikataa hadharani hizi hadithi ....🤣

Kwahiyo zile Swala 5 unazipata wapi kwenye Quran?
 
Hii ndiyo shida ya Wafuga Midevu na Majini ukiwakosoa tu wanasema au wanakuambia Una chuki na dini yao!!
 
Kwahiyo Leo hutaki Hadithi? Mambo yakiwa tofauti mnazikataa hadharani hizi hadithi ....🤣

Kwahiyo zile Swala 5 unazipata wapi kwenye Quran?
Nikikuonesha swala tano kwenye Quran utakuja kuninyonya dhakari?
 
Wafuga Midevu na Majini akili mliwekeza kwenye matusi? Au ndiyo moja wapo ya Taqiya??
Kijana matusi hayatakusaidia kula kipigo

Naomba haya mambo ndani ya Quran,maana umezikana Hadith

1. Idadi ya Swala Tano na Namna ya Kuzitekeleza
2. Sheria za Zaka (Makato ya Mali)
3. Maelezo ya Kina Kuhusu Hija
4. Adhabu za Vilevi na Makosa Mengine ya Jinai
5. Maelezo ya Mahitaji ya Ndoa
na Talaka
 
Kwa kufuata ile slogan yetu ya oa acha, zalisha tembea, kuzaliana ovyo watoto from 4 hadi mwanamke aondoke mwenyewe lazima Islam ukue.

Mwanamke kukosa haki ya kuhoji hususani kwenye maisha ya ndoa, kunyimwa elimu dunia kwa watoto wa kiislam, hayo yote yanafanya uislam kukua kwa speed ya 6G.

Wazungu ni mafilauni, hawana dini, wote ni motoni ila huko ndiko kimbilio la waislam wengi duniani.

So wakifika huko hawaachi ile slogan ya kuzaliana kwa wingi ili kuishika dunia kidini.
 
Umeongeza mengine siyo swala tano tu!?..swali langu liko palepale,nikikuonesha utaninyonya dhakari?....

Hayo yote kukueleza si ni kitabu kizima!!..
Kama Quran haikusema adhabu ya mlevi basi hiyo adhabu haipo,kusengenya ni dhambi,kuna adhabu gani kwa mujibu wa hadithi kwa msengenyaji?..kusema uwongo?..

Mahitaji ya ndoa na talaka ni vitu gani?
 
Jibu maswali niliyokuuliza,

Kutukana ,kukebehi hakukusaidii kujibu Bali ,ndio utafanya niendelee kukubana Hadi ukane na Quran,

Maana Hadith umeshazikana
 
Unamlaumu mtu kwa kuuchukia uislam pia na wewe unaonyesha chuki yako dhahiri dhidi yake kwa kuuchukia uislam,hii haitafutachuki yake dhidi ya kile anachokichukia bali itamuongezea chuki.
 
Jibu maswali niliyokuuliza,

Kutukana ,kukebehi hakukusaidii kujibu Bali ,ndio utafanya niendelee kukubana Hadi ukane na Quran,

Maana Hadith umeshazikana
Vipindi vya swala
Quran 73:20,11:114,20:130,17:78-79,30:17-18,24:58
Udhu
2:222,5:6,4:43
Kuelekea kibla 2:144
Ndoa
2:221,4:22-32
Mahari 4:24
Talaka
65:1-6,12
2:231,2:226-237
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…