Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete aya ya Quran inayosema hukumu ya murtad kifo,nje ya Quran ni hadith za alfu lela ulelaUnakana hadithi na Quran?
Kwahiyo unadhani hivi vitabu na hizo Hadith tumeandika Wakristo?
Hukumu ya Murtadi ni kifo ,
Wewe Bado uislamu huujui
View attachment 3233772
Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu
Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi
Wakristo wana hofu wakisikia hivyo
Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani kuutumia uongo kwa maslahi ya dini au kunusuru jambo. Wapo tayari kuhonga hata waandishi wa habari kueneza propoganda zao, hata kweye kombe la dunia la Qatar walijipanga kueneza propoganda ya kuonesha ubora wa Uislam na kusilimisha watu public na kurusha kwenye media kwamba Uislam ni dini ya haki na amani na kwamba watu wanauingia kwa wingi. Target yao kubwa ni wazungu, wanafikiri wazungu wakiwa Waislam basi uislam utatukuka. Na ndio maana mzungu akisilimu wanafurahi sana na kurusha hizo habari kwenye media. Na kweli wamewapata baadhi ya wazungu wajinga na kuwasilimisha hasa kwa ndoa.
Sikia sasa uongo wao
Bilashaka ulishawahi sikia kwenye vyombo vya habari kwamba Uislam utatawala ulaya ifikapo 2050, eti kwamba kila siku wazungu wanaugeikia Uislamu na kufanya idadi kubwa ya Waislam Ulaya na Marekani. Huu ni Uzushi Mtakatifu.
Waislam wengi kwa upande wa Ulaya na Marekani ni wahamiaji na vizalia. Wanaosilimu ni idadi ndogo tu. Moja ya program yao ni kuoa wazungu ili wapate uzao wa kislamu, kwa njia hii wamefanikiwa kuliko ya kusilimisha.
Idadi ya Waislam katika Uingereza na Marekani
Uingereza
Kwa mujibu wa sensa ya 2021 ambayo idadi yake ya watu ni milioni 67.5, Waislam ni milioni 3.6 na hapo umejumlisha hadi nchi ya Wales. Hivyo Waislam wanaunda jumla ya 6.4% katika idadi hiyo ya Waingereza na Wales. Hii ni kwa mujibu wa gazeti la The Guardian hapo chini.
![]()
Census says 39% of Muslims live in most deprived areas of England and Wales
Campaigners urge policymakers to act on ‘cycle of poverty’ entrapping generations of British muslimswww.theguardian.com
Marekani
Marekani ina Waislam milioni 3.45 kati ya Wamarekani milioni 331. Hivyo Waislam wanaunda 1.1% ya idadi ya Wamarekani wote. Na idadi hii ya Waislamu wengi ni ya wahamiaji [migrants]. Angalia ushahidi chini
![]()
Census says 39% of Muslims live in most deprived areas of England and Wales
Campaigners urge policymakers to act on ‘cycle of poverty’ entrapping generations of British muslimswww.theguardian.com
Sasa huo ukuaji wa Waislamu ndani ya Marekani na Ulaya ndio uje ubadilishe nchi hizo kwa miaka 25 ijayo yaani 2050?
Hivyo dini ya kislamu imejaa propoganda, na tambua propoganda ni mbinu ya kijasusi ya kumfanya adui yako akuogope au akuhofie. Hivyo kwa njia ya propoganda hii wengi wameogopa.
Hivyo hata idadi kubwa ya Waislam ina hesabiwa hadi watoto wadogo wanaozaliwa kwahiyo wanaonekana kama ni wengi. Wakristo kuondoa Waroma na waprotestant wachache hawahesabu watoto kwenye idadi ya Wakristo bali waliobatizwa tu. Sahivi wakristo ni zaidi ya bilioni 2, je wakihesabu watoto itakuaje?
Itoshe tu kusema Uislam ni dini ya Taqiya na hauwezi simama bila propoganda na nguvu. Siku wakiachia uhuru wa dini katika nchi zao, wategemee idadi kubwa kubatizwa na kuacha Uislam. Na hilo hawataki. Hivyo sharti uhuru wa dini uminywe. Na Agizo la mtume wao ni hili,
Mwenye kubadili dini yake ya kiislamu, MUUENI". Angalia - (A) Bhukari 6922, Abu Dawuwd 4329, At - Tirmidhiy 1483
hii sio propaganda,kila nikienda kusali makanisani huko ulaya nakuta wazee 3 au 5 hawazidi 10,makanisa yanafungwa na kugeuzwa kuwa maeneo ya biashara,kwa upande wa waislamu,misikiti yao hujaa waumini na sasa wazungu wengi wanaenda kusali na ipo misikiti inasalishwa na ma imamu wazungu ambao ni waislamu.Huo ndio ukweli wala hakuna cha ushabiki hapoKwa data zipi au kwa propaganda?
Kwahiyo Leo hutaki Hadithi? Mambo yakiwa tofauti mnazikataa hadharani hizi hadithi ....🤣Lete aya ya Quran inayosema hukumu ya murtad kifo,nje ya Quran ni hadith za alfu lela ulela
Hii ndiyo shida ya Wafuga Midevu na Majini ukiwakosoa tu wanasema au wanakuambia Una chuki na dini yao!!Ila wewe mleta uzi utakuwa na ugonjwa wa akili nakushauri nenda hospitali mapema kabla hujaanza kuokota makopo.
Hiyo chuki yako dhidi ya uislamu haisaidii chochote uislamu ulikuwepo, na utaendelea kuwepo wewe utake usitake. Nakuona ulivyo na sura ngumu kama nguruwe pori
Nikikuonesha swala tano kwenye Quran utakuja kuninyonya dhakari?Kwahiyo Leo hutaki Hadithi? Mambo yakiwa tofauti mnazikataa hadharani hizi hadithi ....🤣
Kwahiyo zile Swala 5 unazipata wapi kwenye Quran?
Wafuga Midevu na Majini akili mliwekeza kwenye matusi? Au ndiyo moja wapo ya Taqiya??Nikikuonesha swala tano kwenye Quran utakuja kuninyonya dhakari?
Hapo tusi liko wapi!?..yesu alikua na midevuWafuga Midevu na Majini akili mliwekeza kwenye matusi? Au ndiyo moja wapo ya Taqiya??
Ulimuona?Hapo tusi liko wapi!?..yesu alikua na midevu
Alikua na midevu balaa,na kanzu yake na kobazi,hana habari mwenyewe ala tendeUlimuona?
Kijana matusi hayatakusaidia kula kipigoWafuga Midevu na Majini akili mliwekeza kwenye matusi? Au ndiyo moja wapo ya Taqiya??
Umeongeza mengine siyo swala tano tu!?..swali langu liko palepale,nikikuonesha utaninyonya dhakari?....Kijana matusi hayatakusaidia kula kipigo
Naomba haya mambo ndani ya Quran,maana umezikana Hadith
1. Idadi ya Swala Tano na Namna ya Kuzitekeleza
2. Sheria za Zaka (Makato ya Mali)
3. Maelezo ya Kina Kuhusu Hija
4. Adhabu za Vilevi na Makosa Mengine ya Jinai
5. Maelezo ya Mahitaji ya Ndoa
na Talaka
Jibu maswali niliyokuuliza,Umeongeza mengine siyo swala tano tu!?..swali langu liko palepale,nikikuonesha utaninyonya dhakari?....
Hayo yote kukueleza si ni kitabu kizima!!..
Kama Quran haikusema adhabu ya mlevi basi hiyo adhabu haipo,kusengenya ni dhambi,kuna adhabu gani kwa mujibu wa hadithi kwa msengenyaji?..kusema uwongo?..
Mahitaji ya ndoa na talaka ni vitu gani?
Vipindi vya swalaJibu maswali niliyokuuliza,
Kutukana ,kukebehi hakukusaidii kujibu Bali ,ndio utafanya niendelee kukubana Hadi ukane na Quran,
Maana Hadith umeshazikana