Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Kwani watu wote wanaojiriwa kama wanajeshi ni kwa ajili ya kupigana vita vya ardhini kwa miguu??
Hakuna marubani wa ndege, madaktari, wapishi, mabaharia, IT, mafundi n.k?
Huwez kufika hatua hizo ulizo taja pasipo kupitia msingi wa awali foot drill hapo kwenye physical fitness mzee wetu, pengine nikupe mfano Kuna kijana frani tulikuwa tunaishi nae mtaani alipata nafasi hiyo akiwa na changamoto hiyo ya miguu wakati wa mazoez ya kuruka ukuta alivunjika uti WA mgongo hiyo ni miaka ya 2012.
 

Wanajuaje mtu anakojoa kitandani kwenye usaili? πŸ˜‚

Kumbe wenye HIV hawaingii jeshini πŸ™Œ
 
Na lile zoez la kuchunguliwa mik..ndu huwa Kwa ajili ya nini??
 
Underweight ?? Hii iko vipau ndio inapigwa BMI
 
Umeamua kubisha tu si ndio...
Jina na mtu anatoka grup ya unfit anarudi safe One..
Narudia Ngwengwe tu ndio Haijadiliki
Narudia tena
Hata uwe na mbanga upi
Ukiwa na ngwengwe/homa ya ini +abnormalities zozote huwezi kuingia
Mbanga utaulizwa kama una mtu mwingine umlete chapu ili replacement ifanyike
Wakifunika meanz wameyatoa sadaka maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…