Je ni kweli watu wenye miguu isiyo na uvungu wanakataliwa jeshini? Kama ni kweli zipi sababu?

Ufafanuzi mzuri sana shukrani
 
Kazi ya uvungu ni kushika ardhi utembeapo, bila uvungu utateleza. Kama unao uvungu tembea kwenye mchanga utaona kila hatua unateneneza fungu la mchanga, hii haina tofauti na tairi ya gari au baisikeli isiyokuwa na kashata, huteleza izungurukapo.
 
US, nchi yenye the world’s most advanced and sophisticated military force in the world, Haina masharti ya kijinga kujiunga na jeshi lao. Bongo nchi isiyoweza hata kuunda drone; kazi kuu ya wajeda ni kufuatilia nani kavaa gwanda zao tu wampe adhabu eti kigezo cha kujiunga jeshi ni nyayo za miguu, urefu, na vinyweleo makalioni. Ujinga bado ni janga namba moja la taifa toka juu hadi chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…