Kusalimiana kwa kushikana mikono ni salama ila kuligusa bega si salama!Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
MaviIkumbukwe huyu bwana kuna watu akiwaombea wakati yanawatoka mambo mabaya wanarukaruka na kugalagala kwa hiyo ilibidi aregulate kiasi cha maombi yake ili scenario kama hizo zisitokee.
Nimecheka sana kwa hio huyu Bishoo Tapeli ndie anaewapigisha kwata sasa hivi na mfumo umempa Go Ahead,
Na kama hajayapandisha nina wasiwasi na huo "upako" wa mwamposa maana tunafahamu waislamu ubatizo wao ni kumilikishwa Jini. Hivyo Jini haliwezi kutulia mahali Yesu anatajwa kiuhalali.SIONI SHIDA YOYOTE MKUU RAIS NAE NI BINADAMU ANAWEZA KUPANDISHA HATA MAPEPO MKUU
Kiuno wapi?Ilitakiwa amshike kiuno kabisa
Hakuna Yesu pale Siri za pale zikimwagwa hutoamini unachoambiwaNa kama hajayapandisha nina wasiwasi na huo "upako" wa mwamposa maana tunafahamu waislamu ubatizo wao ni kumilikishwa Jini. Hivyo Jini haliwezi kutulia mahali Yesu anatajwa kiuhalali.
Je mwamposa sio fake pastor?tena kakosea kumshika begani alitakiwa amshike kichwani kabisa..
mbele za Mungu sisi sote ni kitu kimoja..
Watu kama nyie tunawahitaji sana mtusaidie kazi..kiongozi, Kuna watu wamefikiria zaidi ya mara 100 wakaamua wafanye vile.
na ndo maana umeona zoezi limeisha bila shida.
ukiona jambo linafanyika kama Hilo Kwa rais basi ujue hamna kilichoachwa ili kumuweka salama.
uliona ile siku ya yule mchekeshaji saidi. alipotaka kumpa rais zawadi ya mkufu nahisi, uliona kilitokea Nini??
Kwa mawazo yako lazima ulaum Kwa kuwa uko nje ya mfumo ila ungekuwa ndani ya mfumo hakuna kipindi ambacho ungeona raisi Yuko salama zaidi kama kipindi hicho unachosemea wewe Kwa ile siku
Ni Tapeli anatumia jina la Yesu kuwatapeli wajinga kwa kuwaambia uongo na kuwatisha isivyo kweliJe mwamposa sio fake pastor?
Ndo risk yenyewe hii! Vipi hili lingetokea mbele ya umati wote ule hali ingethibitiwa vipi. Ila yawezekana Mtume ana namna ya kucontrol power yake kwa pale isingefika hatua hiiSIONI SHIDA YOYOTE MKUU RAIS NAE NI BINADAMU ANAWEZA KUPANDISHA HATA MAPEPO MKUU
Kitengo gani cha kucheza ngoma na kukata mauno Ikulu au?Watu kama nyie tunawahitaji sana mtusaidie kazi..
Kiufupi mkuu umeongea fact sna naweza sema we jamaa ni mtu wa kitengo au kama sio wa kitengo basi ni mstaafu..
Naomba leo ukutane na huyu jama ditective j kwa muongozo zaidi mkuu
Acheni kutapeliwa kijinga mbwa nyinyi power ku-control nini? Stupid kabisaNdo risk yenyewe hii! Vipi hili lingetokea mbele ya umati wote ule hali ingethibitiwa vipi. Ila yawezekana Mtume ana namna ya kucontrol power yake kwa pale isingefika hatua hii
Kuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
Dah yn mtoa mada alivyoandika cjui nikawaza vp kuhusu kushikwa bega, Mbona hapo kawaida tuu au mtoa mada alitakaje 😂
Taasisi ya urais imenajisiwa na rais mwenyewe kwa kumbabika Tundu Lissu kesi ya uhaini. Mwacheni ashikwe mabega kuna kitu anakitafuta kutoka kwa tapeli MwamposaKuna clip inasambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha Mtumishi wa Mungu Mwamposa akiwa anamuombea Mhe. Rais kwa ukaribu akiwa amemshika mabegani.
Binafsi nadhani kiusalama si sahihi kwa kiongozi mkuu namba moja wa nchi kuombewa kwenye mazingira yale na kwa namna ile. Watu wa usalama wangeweza kutoa mwongozo mzuri, angeweza kumuombea akiwa hukohuko madhabahuni kwake au hata akimsogelea basi aka keep distance ndogo akaendelea na maombi.
Hata kama Mwamposa ni kiongozi wa kiimani na system inamwamini lakini mfumo unatakiwa uweke mipaka kwenye baadhi ya mambo.
Nakumbuka kuna picha iliwahi kutrend ya lile lijamaa linalosemekana ni lifanya biashara la Zimbabwe limekaa Ikulu na Kiongozi wa Nchi limejiachia kama liko sebleni kwake, kimsingi ile picha haikutakiwa kuwa released.
Tubrand na kuipa heshima zaidi Taasisi ya Rais
duh jamani!Huwa anashikwa hata hayo Manyonyo sembuse bega
Ni sahihi .pia yey siyo wa kwanza ata kwa trump imesha tokea pia
Bahati nzuri location yako hapa nishaiona.Kitengo gani cha kucheza ngoma na kukata mauno Ikulu au?