Je ni sahihi kiusalama Kiongozi Mkuu wa Nchi (Rais) kuombewa akiwa kashikwa mabega

Imani ni zaidi ya vyote
 
Nkuhungu sitokuja kwa sasa na hata sitokutaarifu ila tambua baada ya siku kuu hizi za sabasaba utaonesha kitengo cha kukata viuno
Kamtishe Bibi yako kule Kijijini kwenu sio mimi, halafu nakupa tag kinoma kukujibu unaandika mashudu umesema nipo Nkuhungu njoo Nkuhungu wewe si wa kitengo na huyo mwenzio mnaogopa nini? Msijipe mamlaka yasiyowahusu mnafanya impersonation hamjui kua ni kosa kisheria? Utafungwa pimbi wewe
 
Acha chuki,unaweza kusikia mama naye kaokoka,sasa hapo napo utalaumu....
 
Umekosa kazi ya kufanya au? Nenda kaendelee kupiga marimba halafu ungenijua vizuri nadhani ungeishia hapohapo wala usingeendeleea kujibizana na mimi, huna kazi ya kufanya?
Sio mda utajuta hiki unachoandika...
 
Umekosa kazi ya kufanya au? Nenda kaendelee kupiga marimba halafu ungenijua vizuri nadhani ungeishia hapohapo wala usingeendeleea kujibizana na mimi, huna kazi ya kufanya?
Kazi yangu utaijua soon as possible mkuu...
Kingine tuu hapa kila nikifatilia naona kabisa ujaanza leo kumbe
 
Exellent point! Kiongozi wetu aombewe na watu wote wenye mapenzi mema kwa kuwa ana majukumu mazito na muhimu ya kuongoza nchi (hii sio kazi rahisi in Jakaya Kikwete's voice) ila uombeaji usiwe wa kuonesha kumzoea
 
Mi bibi yangu hayupo kijijini mkuu
 
Kumamammako njoo leo km wewe unajiamini njoo wewe na kumayako
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usipaniki mkuu zamu yako itafika..
Kila mmoja ana zamu yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
hapo tahadhari zote zilikuwa zishachukuliwa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Usipaniki mkuu zamu yako itafika..
Kila mmoja ana zamu yake πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ntakuweka ignore sasa hivi wewe jipendekeze tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…