Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Siwezi kuwa mdogo wako, haitokaa ikatokea! nilijua unaenda forever! hii ni maajabu!
Kwanini hujui naelekea 40s. Kwani huku soma uzi wangu? Nilimaanisha detox ya week moja tuu. Ambayo hata sijamaliza now niko sawa
 
Usiogope kuitwa single mother, eti kwasababu ya ndoa ukizizima ndoto zako,
Eti ukimuacha huto olewa tena,

Kuendelea kubaki na huyo mwanaume ni umekubali kuteseka maisha yako yote, kama anashindwa kuamka asubuh akatoka kwenda kutafuta hata kazi ya saidia fundi eti hawezi oooooh muda haukusubiri wew

Utakuja kuujutia huu muda unao upoteza aisee,

Kwasbabu uonekane umeolewa ndo ukae na li mwanaume livivu halina future oooh pole
 
Ndo najipanga mwezi ujao naondok
 
Ndo ninapoelekea hivyo
Usijinyonge kisa upumbavu la mama, si una kwenu? haya rudisha majeshi mumeo akijitafakari upya na kutambua nafasi yake atarudi, huwezi kupambana kama we ndio umeoa! atleast angekuwa mlemavu au mgonjwa! kwenye kipindi kigumu ka hicho mwanaume anajilaza geto ka msenge, kwanini asijishushe akafanya hata vibarua mpaka kazi ya maana itakapopatikana! ana raise standards anachagua kazi wakati anaona kabisa hali imeshakaza! mwanaume mwenye utimamu wa akili anawezaje kuwa na ujasiri wa kula ugali wa ukweni? kuna species zina roho ngumu hatari! We mama hebu changamsha kichwa, rudi home weka mtoto hapo tafuta mishe kwanza achana na michango ya kishamba ya humu! Yani nijinyonge kisa limbwa tu?labda sio mimi aisee..!
 
Asilimia 99 ya wanawake ni malaya, tofauti ni namna ya kujiuza tu. Ulivooewa milioni moja ambayo yeye aliitafuta kabla hamjakutana uliomba ushauri wapi? Ulikaa kimya ukajiskia raha tu, si ndio??

Acha mawazo ya kijinga, kaa na basha ako muulize anachangamoto gani. Wanaume tunapitia nyakati ngumu sana na hatunaga sehem ya kusema cos no body cares for a man's piece of mind, NO BODY. Wanaume tunakufa bila tarehe, jamaako kashaanza kufa ndani.

Wakati anao kuhitaji zaidi wewe ndo unataka kumkimbia!!!! Pumbavu sana
 
Mleta mada anahangaika kujibu vijana wavivu wanaotaka mwanamke mwenye mtoto mdogo awalishe! ila kizazi cha sasa ni mtihani mzito! Hili ni pigo aisee!
Vijana wameharibika, yani ambao wanaamika kuwa vichwa vya familia wame haribika kwa kiwango kikubwa, na ndio maana wana waza uharibifu kila mahala ( hata wakapewa kitu cha thamani wanawaza uharibifu tu ) utaona mahusiano hawawezi ndoa hawawezi kwasababu wao wenyewe wameharibika na wanapeleka huo uharibifu kwa watoto wa kike. Mwisho wa siku tunalalama kwa habari ya uharibifu wa wanawake pasipo kuona waliosanabisha uharibifu wenyewe
 
Mawazo yako tayari nayafanyia kazi na soon naludi nyumbani
 
Unajua what lacks there ni mawasiliano. Huyo mwanamke anaumia ndani because hajui mumewe anapitia nini. Hajui yeye a nadhani ni rahisi. Hapo angeongea nae akajua nini kinamfanya akate tamaa ingemsaidia kujua wanaanza wapi
Mimi aliposema tu anamtafutia kazi halafu hataki au anachagua..vingine vyote vinamtokea yoyote ila huu upumbavu huu!
 
Ndo najipanga mwezi ujao naondok
Humu kuna wanaume wengi kuliko wanawake, hivyo lazima wamtetee huyo mwanaume mwenzao mjinga mjinga

Hawo wote wanao mtetea ni wanaume wenzie,

Angekua na moyo wa kupambana angeamka kwenda kutafuta hata kazi ya kubeba mizigo hata jion akirud na 2000 angalau

Lakini huyo moyo hana na hana future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…