Point yako nivumilie ikawa haamkii kutafuta kaziNo, siamini kwenye hayo mambo ya nuksi na mikosi. Lakini wanawake mna influence kubwa sana kwenye saikolojia ya mwanaume. The na hua inakua vibaya sana kama jambo jema lika turn out kua painful. Sijamaanisha liwe baya, bado ni jema lakini ni painful.
Jifunze namna nzuri ya ku connect nae, then talk to him. Muokoe wakiti bado mambo hayajawa mabaya zaidi. Huo mpito wanaume wengi tunapitia, tofauti ni intensity tu, wengine wanazidi(kama huyo).
Thought hujatuambia ukweli wote(from your side), i think he worth fighting for. USIMKATIE TAMAA MWANAUME AKIWA BADO ANAPUMUA.
Yani wewe umegoma kuamini kabisa mtu anaweza kuwa mjiga mwenyewe mpaka asingizie na kulaumu watu wengine? muda mwingine mjifunze ku collect ur messy na muanze upya! ukiwa na tabia ya kulaumu watu kwa upumbavu wako itafika mahala mambo yatakuvurugikia unaanza kutafuta nani kakuroga au nani kasababisha!No, siamini kwenye hayo mambo ya nuksi na mikosi. Lakini wanawake mna influence kubwa sana kwenye saikolojia ya mwanaume. The na hua inakua vibaya sana kama jambo jema lika turn out kua painful. Sijamaanisha liwe baya, bado ni jema lakini ni painful.
Jifunze namna nzuri ya ku connect nae, then talk to him. Muokoe wakiti bado mambo hayajawa mabaya zaidi. Huo mpito wanaume wengi tunapitia, tofauti ni intensity tu, wengine wanazidi(kama huyo).
Thought hujatuambia ukweli wote(from your side), i think he worth fighting for. USIMKATIE TAMAA MWANAUME AKIWA BADO ANAPUMUA.
Tutaota watu wachawi kumbe yeye hajaamua kubadilikaSiyo akili yake,kashikiwa akili.
Kama mpaka kazi ulimtafutia na hataki kufanya hapo huna baya dada yangu.Ni mengi ila nilimshika mkono na kumtafutia kazi sehemu nyengine lakini hashikiki
InawezekanaHuyo msukuma jina tu, ila ni kijana wa Dar.
Mungu ni mwema anajua jitihada zanguKama mpaka kazi ulimtafutia na hataki kufanya hapo huna baya dada yangu.
Ningeshangaa aisee kanda ya ziwa hakuna huo upumbavu! heri akale kwa washakaji ila sio ukweni, hatusogeleani na wake huku!Ndio kakulia daa
Kabisa!Huyo msukuma jina tu, ila ni kijana wa Dar.
Alie toa kikubwa sie ndo alotoa kingingi. Naonga simu ya 4M na nina 700m its nothing. Lakini kutoa 1 ya 3 ya ulichonacho its bold.Ni kweli tunapitia magumu lakini sio kulala ndanii na kuona mke na mtoto wanastrugle.. tunapitia magumu lakini sio kwenda kula ukweni mzee alafu million kitu gani mzee sasa mbona mtu unampa mtu simu ya 4M na unatoa kwa sababu ya upendo yani kampa mkewe 1M yeye kala bata na masela mavi 2M alafu leo aseme hataki kazi basi mpe mwenzio plan B kwamba nina mchoro flani nauweka ..
Na mpaka huyo mkewe kaja hapa ujue ni issue ya muda mrefu sio mwezi au miezi 3 ishakua uraibu
Sure kweli ni jangaMimi aliposema tu anamtafutia kazi halafu hataki au anachagua..vingine vyote vinamtokea yoyote ila huu upumbavu huu!
Mimi ni muhusika aliacha kazi kiwandani kwa kigezo cha kupata mafao nsssf afungue biashara ela akatumia ovyo kula bata nikamtafutia kazi kiwandani kakataa kazi tena kiwandani akafanya akaacha anasema ni ngumu kazi tena kiwandani akafanya akaacha kwa kigezo cha mshahara mdogo nikamtafutia kazi ya ulinzi kakataa now haangaiki niambie uyo mwanaume yukojeAlie toa kikubwa sie ndo alotoa kingingi. Naonga simu ya 4M na nina 700m its nothing. Lakini kutoa 1 ya 3 ya ulichonacho its bold.
Sisaport mwanaume alale ndani ni MARUFU, Sisaport mwanaume kula ukweni, hii ni aibu kubwa mno, kwa mtu kama mimi bora nife njaa.
Alaf tumuulize dada eti atuambie jamaa alikua anafanya kazi gani, alivoacha kazi now dada anamtafutia jamaa kazi gani ambazo hazitaki.
Pia jambo linaweza likawa la muda mrefu ndio hatukatai, katumia namna gani ya usaidizi wa kisaikolojia kwa huyo jamaa.. Ni jambo gumu sana kwa mtu anayehisi anaonewa kuongea upande wake anaokosea, lazima ataongelea upande anaokosewa ili athibitishe ameonewa.
Nimepitia hizi nyakati, na nnakumbuka vizuri like it was yesterday. That niggro needs help. He is a good man, he just forgot how to live
Kuna tofauti kati ya kuvumilia na kusubiri. Namaanisha usimuache, jaribu kumsogeza karibu na wanaume wenye umri mkubwa kwake, hakikisha umewapa ukweli wote kuhusu yeye na wewe. Wamkalishe chini huyo mtu, anafufuka soon.Point yako nivumilie ikawa haamkii kutafuta kazi
Usichangie mada kwa kulinganisha na past life yako, we all gone through hell, ila sio sababu ya kulazimisa points zako ziwe kama mume wa mleta mada! Mfano we ni mediator unasuluhisha ndoa za watu tofauti tofauti utakuwa kila siku unatumia same case law uliyopitia kwasababu tu unaamini mwanaume mwenzio anapitia ulopitia wewe? hujakutana na vijana washenzi bado! shauri kulingana na mada not basing in whatever case u went through!Alie toa kikubwa sie ndo alotoa kingingi. Naonga simu ya 4M na nina 700m its nothing. Lakini kutoa 1 ya 3 ya ulichonacho its bold.
Sisaport mwanaume alale ndani ni MARUFU, Sisaport mwanaume kula ukweni, hii ni aibu kubwa mno, kwa mtu kama mimi bora nife njaa.
Alaf tumuulize dada eti atuambie jamaa alikua anafanya kazi gani, alivoacha kazi now dada anamtafutia jamaa kazi gani ambazo hazitaki.
Pia jambo linaweza likawa la muda mrefu ndio hatukatai, katumia namna gani ya usaidizi wa kisaikolojia kwa huyo jamaa.. Ni jambo gumu sana kwa mtu anayehisi anaonewa kuongea upande wake anaokosea, lazima ataongelea upande anaokosewa ili athibitishe ameonewa.
Nimepitia hizi nyakati, na nnakumbuka vizuri like it was yesterday. That niggro needs help. He is a good man, he just forgot how to live
Soma tena nilicho kiandika, huenda hujaelewa.Yani wewe umegoma kuamini kabisa mtu anaweza kuwa mjiga mwenyewe mpaka asingizie na kulaumu watu wengine? muda mwingine mjifunze ku collect ur messy na muanze upya! ukiwa na tabia ya kulaumu watu kwa upumbavu wako itafika mahala mambo yatakuvurugikia unaanza kutafuta nani kakuroga au nani kasababisha!
Si kasema jamaa hana mishe, na yeye ampe milioni afanye jambo.Amrudishie milioni waliyokula pamoja?
Nimekusoma tangu mwanzo unatumia hisia sana kwa ku refer past issues zako!Soma tena nilicho kiandika, huenda hujaelewa.
Ha ha ha mjukuu wangu, angekuwa mbaya hata hiyo moja,usingeambulia,hapo wewe ndiyo unageuka mama yake sasa!,mtoto kachenji ghafla?πππTutaota watu wachawi kumbe yeye hajaamua kubadilika
Aiseee. Hapa najikuta nakosa namna nzuri ya kuliweka hili, ila wanaume tunakuaga selective sana kwenye kazi. Hata mimi siwezi kua mlinzi, bora niwe tapeli.Mimi ni muhusika aliacha kazi kiwandani kwa kigezo cha kupata mafao nsssf afungue biashara ela akatumia ovyo kula bata nikamtafutia kazi kiwandani kakataa kazi tena kiwandani akafanya akaacha anasema ni ngumu kazi tena kiwandani akafanya akaacha kwa kigezo cha mshahara mdogo nikamtafutia kazi ya ulinzi kakataa now haangaiki niambie uyo mwanaume yukoje