Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Wanawake hawajua hili. Wanasema jamaa anakimbia majuku. Nimejikuta nacheka pekeangu.
 
Mazungumzo na huyo wanamke hayatamsaidia, labda atafte mtu wanae aminiana na kama hakuna inabidi aisake fire ndani yake iliyo zimwa na dunia
Nilisha mwambie kwenye comments kandaa nyuma, atafute wanaume wenzie awaambie ukweli wote kuhusu jamaa na kuhusu yeye mwanamke, then awaache wanaume wamnoe mwenzao maana ninauhakika wanaijua hii hatua.
 
Wanawake hawajua hili. Wanasema jamaa anakimbia majuku. Nimejikuta nacheka pekeangu.
Mkuu hilo swala ni gumu sana wao kulielewa. Wao wanajua mwanaume ni kiumbe strong na hakuna cha kumyumbisha, na hata yeye. Hawezi kupitia depression kama wao, wanahisi hana hisia, hana mental breakdown, hana emotional demage. Wao wanajua mwanaume akifanya hivyo jua hakupendi au anakutumia
 
Hujui mana ya uanaume ww uchague kazi na hujui unakula nn bado hujapatwa na shida ukipatwa na shida hata legend utabeba
Bado sioni kama ni sahihi kwa mwanamke kunambia mimi sijui maana ya unaume ingawa nimepita majukumu na kuna wengine kama yeye wanafika climax kila siku. Sawa unapitia kwenye nyakati ngumu lakini matusi hayajengi.

Na kama unatumia kauli hizo hadi kwa bwana ako, no wonder anaona bora akale bata za 2M na rafiki zake wanaompa faraja kuliko wewe unae mpa stress.

Maneno ya busara ni fimbo nzuri sana kwa mwanamke kumchunga mumewe, hatupendi dharau.
 
Kwa kifupi wanadhani "mwanaume hapaumi". Ndo maana ukitoa milio wanakushusha vyeo, wanataka wakuache pekeako.
 
Kwa kifupi wanadhani "mwanaume hapaumi". Ndo maana ukitoa milio wanakushusha vyeo, wanataka wakuache pekeako.
That's why nasema kila siku kuishi nao unahitaji, kuwa selfless kabisa... Yaani ujivue utu wako, uwe kama mtumwa for the sake of making your family happy. Lasivyo hautadumu kwenye mahusiano.
Unapaswa ukubali ya kuwa your dad was right..
 
Bado huna point
 
Kuna kosa la msingi hapa kwenye hii mada, Daudi huko juu ameliadress na mleta mada amelikubali. Na ndio maana probably anataka kurekebisha (kuondoka) Tukifikiria positive side ya hili, Huyu mjamaa amelazimishwa kukua, amebandikwa majukumu ambayo pengine hakuwa tayari nayo.

Majukumu ni imani kama zilivyo imani zingine, lazima mtu ayakubali ili ayafanye vizuri, you can’t shame someone into excellence. Msiwe kama mama Samia alitegemea watu waache uzembe na ufisadi kwa kuwaambia shame on you 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…