Je ni sahihi kumuacha huyu mwanaume, au ni mvumilie huku naumia ?

Duuh, pole yake!
Kizazi cha sasa hivi, wanamke wa gen z wazito kufanya maamuzi mazito, ila vijana wa kiume ni fumba na kufumbua ana muacha mtu kwenye mataa ndio tofauti ya hawa watu wa siku hizi. ( mwanamke anakuwa mzito kuchukua uamuzi na mwanaume anachukua uamuzi kama upepo ) na hapa ndio napo panakuja pa kuwasaidia hawa watotot
 

Ushauri wako nimeuzingatia na nimejalibu mbinu zote hizo mpaka nafika hapa jua moyo umechoka nimetumia mbinu zote za kuongea kwa upole na utulivu na muda matokeo yake najibuwa ovyo imagine naamka asubuhi namuacha kalala ndani naludi kazini namkuta kalala ndani mtoti njaa inaumwa anajibu sina ela aiseii uvumilivu wangu naona hauna faida
 
So tuendeelee kuwalisha ikiwa huna kilema ,wala ulemavu ulale ndani tu mwanaume mzima
Pesa inayotafutwa na wanandoa nikwajili ya familia. Mtoa mada pesa yake inaitumikia familia yake, shida iko wapi?
 
Usijinyonge.
Ondoka nenda mbali nae kapumzike.
Yani ujinyonge kisa mtu we dada
 
Mkuu hebu tu jaribu kugeuza mada iwe mwanaume kwa mke wake itakuwaje?. Wanawake waache ubinafsi kudadeki.
 
Pesa inayotafutwa na wanandoa nikwajili ya familia. Mtoa mada pesa yake inaitumikia familia yake, shida iko wapi?
Shida sio kutumika familia shida tuna tumikiaje familia why nitumikie pekee yangu wanaume nyie too selfish
 
Hivi why ipo hivyo ni huruma zetu au
 
Kaeni Chini Ongeeni Kuhusu Uwajibikaji Kulea Family
Usiwaze Haraka Kumwacha Utaambulia Majuto Zaidi
Tatua Lililokusibu
 
Kaeni chini zungumzeni. Ikiwezekana muwashirikishe na wazazi wenu au hata viongozi wenu wa dini. Siyo vizuri kujichukulia maamuzi nyinyi wenyewe pasipo kuwashirikisha watu wazima.
Amtunze mume wake kama alivyomtunza tena usikute hata hao watoto si wa manaume huyo.
 
Kaeni Chini Ongeeni Kuhusu Uwajibikaji Kulea Family
Usiwaze Haraka Kumwacha Utaambulia Majuto Zaidi
Tatua Lililokusibu
Majuto kivipi nyinyi mbona suala la kumuacha mwanamke mko fasta na hamuangalii majuto wala nini
 
Amtunze mume wake kama alivyomtunza tena usikute hata hao watoto si wa manaume huyo.
Nimezaa nae mtoto mmoja copy ya baba ake bila kuuliza wanaume tafute ela muhudumie familia
 
Vipi awe anakupima uvumilivu wako alafu ukisha muacha Mambo yanamnyookea utarudi?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…