Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Aisee!!!Dah yani namuonea huruma kweli jamaa hizi ndoa ni changamoto kweli
Juzi juzi tena kuna video imevuja mdada anagongwa dukani huko k/koo kidume kinaenda mida ya jioni kumgonga jamaa yake akatonywa na jamaa wa pale kuwa kuna kijeba huwa kinakuja jioni jioni jamaa si akatega kamera lijamaa kama kawa likaenda likanaswa na camera yani hivi viumbe ni shida sana hata jalalani wanagongwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke ni muongo tena mnafiki mkubwa!
Halafu yeye mkao wake ndo unaopelekea kutongozwa hovyo huko kazini kwake!
Atakuwa anawachekeachekea au anaji expose kwa wanaume!
Wakati mwingine huwa siyo rahisi mwanaume kumtongoza mwanamke, vinginevyo mwanamke mwenyewe awe amejirahishisha kutongozwa!
Huyo hajatulia anakutahadharisha siku ukija kuambiwa uchukulie kuwa alishakwambia Ila aliwakataa!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ninavyo mfahamu mkewangu yupo na standard sana kuhusu kutongozwa sisi wanaume huwa hatuogopi hata mwanamke awaje..
Mbona tunawapa mimba hawa wanawake vichaa wasiojielewa kwamba hawa vichaa wanajitongozesha kwetu?
Kwa lugha nyepesi hapa inatakiwa nimuachishe kazi mke wangu atulie nyumbani,ni bora nimfungulie ofisi yeye awe boss kuliko kuwa chini ya watu.. Mfano pale kazini kwao wafanya kazi wenzake anawamudu vizuri sana,
Utata unakuja kwa huyu boss ambae amefikia hatua ya kutaka kutumia cheo chake
Kitu kingine inategemea na ofisi anayofanya kazi iko na hadhi gani!
Kuna ofisi kama sekta binafsi mfano kampuni za ulinzi binafsi wana hiyo michezo sana!
Na akiwakatalia watamuachisha kazi ndivyo walivyo!
Yeye yuko sekta gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tupia kiwili wili cha mkeo ili tujue tabu unazopata afu nikushauriNimevurugwa sana..
Boss wa mke wangu anamtongoza mke wangu kwa uchu sana kiasi kwamba hadi nimeanza kupoteza matumanini.
Mke wangu hana raha kabisa wafanyakazi wenzake wanammendea na boss wake naye humohumo yani wapo msululu.
Imefika hatua boss wake ameanza kutafuta safari za kikazi ili asafiri na mke wangu lengo lake ni kumbandua mke wangu na wote tunafahamu kwasababu mke wangu ananiambia kila kitu, kila ujumbe anaotumiwa na kila mazingira magumu anayokutana nayo(wanaume mnanielewa hapa)
Nifanyaje wandugu nataka kumsaidia mke wangu asinase kwenye mtego wa huyu simba.
Je nimkataze asiwe ananiambia habari za kutongozwa na wanume?
Wanaume wenzangu mnaishije na wake zenu walio ajiriwa sehemu mbalimbali,mnakutana na changamoto zipi kwenye ndoa
Lugha ya mwili ya mkeo inasababisha atongozeke kiurahisi, na hii ni hatari sana mzee baba, kwa kifupi mkeo yupo hivyo( anaingilika), sio kosa lake anapaswa kusaidiwa ni sababu ya mazingira , makuzi na malezi yake aliyopitia
Mfundishe na msaidie abadili lugha ya mwili wake inayojumuisha jinsi anavyofikiri, mawazo, hisia, muonekano, mwendo wake na hata mavazi pamoja na anavyowasiliana na wenzake( mawasiliano ya mwili wake kwa wenzake) na zaidi lazima aishi na kuwajibika kama mke wa mtu anayejiheshimu, akiwa ana msimamo hatasumbuliwa.
Pia kwepa na epuka kuingilia mawasiliano na bosi wake itakuletea stress sana hatimaye utakufa kwa presha bure ila umwambie yeye ndiye anapaswa kuwajibika kwa kuwa na udhaifu wa kuingilika kiurahisi na sio wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee si umeowa ili msaidiane maisha?!subiri hivyo hivyo atasaidia sana hata ile nyumba yenu iliyoishia kwenye linter mwaka huu mwezi wa sita hauishi mtakuwa mmeshahamia.
Mnashindana na nature,Mungu alikupa wewe mwanaume mamlaka ya kutafuta ridhiki ya familia mkeo azae na kulea watoto kwa kuwasimamia kwa ukaribu ila ukaona hapana ngoja anisaidie maisha.shuhuda zinazotolewa humu kuhusu wake za watu maofisini usifikiri ni za kutunga,ni kweli wanatoa sana ngono kwa stuff wenzao na hata ukimpiga marufuku asikwambie huyo ni mkeo lazima roho itakuwa inakuuma ni sawa na kutibu headache kwa kukata kichwa chenyewe.
Mke afanye kazi utakayompa endewewe,mfungulie mradi atakaousimamia yeye mwenyewe hakuna ukaribu wa mwanamke na mwanaume utakaowaacha salama.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Speaking from experience...Nimeyaona mengi. Hiyo ya huyo mwanamke ni "guilty conscious".
mkuu yani hilo nalipa lina % kubwa sana ijapokuwa inaweza kuwa ni kweli anahitaji msaada wa haraka katika hayoUtakufa kwa presha mkuu bora asikuambie kabisa. Huenda kuna mengine anakuficha uwezi kujua anakupima upepo ili hali washadukua mali yako.
Labda huna chura mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mke wa jamaa itakuwa mzurii afu takooo hilooo watu wanataka walionjeeeAchana na comments zote, huyu hapa ndo kakueleza ukweli na anawafahamu vizur wanawake
Nasema hivi kwasababu mimi pia ni mwanamke tena mrembo ninafanya kazi taasisi kubwa yenye wanaume wengi. Huyo mkeo lazima ni mtu wa kujichekesha chekesha kwa wanaume, anapenda ofa za wanaume, atention seeker n.k.