Leo umejibu kwa akili zoteSi sawa kabisa huo ni ukosefu wa adabu.
Umeolewa?Sio sawa, ila kama hamko sawa jaribu kuliwekeni hili sawa!
Ukiona mtu mkizinguana kdg hapiki,hafui,hafanyi usafi wowote anakuziria hamuongei week sijui mwezi, anakua hajakomaa bado! Mtu matured no matter what, lazima atafanya sehemu yake kama mke..
Tofauti na hapo mazingira aliyokulia huenda alimuona baba anakaribishwa na dada wa kazi, au umri wa ndoa yenu mmeshaanza kuchokana! Au anaona tu sawa! Yote yanawezekana kaa naye mrekebishe! Umeshindwa ongea na mtu wa karibu acheze kama pele hapo mrekebishe ndoa yenu msonge mbele..
Ndio dadaUmeolewa?
Una muda gani kwenye ndoa?Ndio dada
Miaka mi5Una muda gani kwenye ndoa?
Na hapo zingine zimepelea nimeziacha geleji kwa ukarabati.Leo umejibu kwa akili zote
Wewe ni muongo.Miaka mi5
Tupe experience yako wewe tuokote chochote huenda kikatufanyia kazi😆 kuolewa ni kukubali kuwa chini ya mtu hapo utafua boxer na kukaribisha wame kula😅Wewe ni muongo.
Ngoja wenye ndoa zao waje watoe ushuhuda wewe unachamgamsha genge. Olewa kwanza uone mziki wake, utakuja kufuta yote uliyoandika hapo..!!
IFIKE KIPINDI MNAOJIFANYA WAJUAJI KWENYE MASWALA YA NDOA MUWE MNAKAA KIMYA . WEWE NI MJINGAUkaribishwe chakula hukioni?
Mbona mnapenda kufanya wenzenu watumwa Ebooh!!
Mbona kibumbu husubiri kukaribishwa?
Sijaolewa ila kero tu za maboy friend ushuhuda tosha…!!Tupe experience yako wewe tuokote chochote huenda kikatufanyia kazi😆 kuolewa ni kukubali kuwa chini ya mtu hapo utafua boxer zenye mchuzi na kukaribisha wame kula😅
Mcheki Poor Brain kama umezidi miaka 35 hizo kazi atafanya yeye na mauno feni utayapata.Sijaolewa ila kero tu za maboy friend ushuhuda tosha…!!
Ndiomana niko single sitaki kutumikishwa wala kufua viboxer mchaniko vya mtu..!!
Mjinga mwenyewe na ukome kunitingishia kalio sipigi taarabu hapa..!!IFIKE KIPINDI MNAOJIFANYA WAJUAJI KWENYE MASWALA YA NDOA MUWE MNAKAA KIMYA . WEWE NI MJINGA