Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

Km imekuuma chomoa, ndoa ni utumwa ndiomana wewe mwenyewe huna uhuru wa kumwambia mumeo km umekojoa unajikaza ili usionekane unagawa nje kwa bodaboda..!! Upo nyonyo? 😹😹
Inashangaza MTU kama wewe unasema haupo KWENYE ndoa na unatoa maoni ya KWENYE NDOA haimake sense MTU ukishaamua KUWA KWENYE NDOA. Fata protoko ya ndoa.

HIZo haki sawa zenu mkiwa single huko mnazifosi hadi KWENYE NDOA uoni aibu kuvunja msingi ya ndoa.

Oosa wewe hutaki ndoa
 
😂😂😂 lakini Lamomy vitu vingine vya kawaida tu mbona
Si umkaribishe
Napata picha tangu nalelewa kwetu kumuwekea chakula mtu bila kusema karibu naona kama haimake sense....japo ni kweli chakula anakiona
Labda mgeni ila sio mume.
Sasa kila siku umkaribishe si utachoka mapema kwenye hiyo ndoa? 😹😹
 
Washataka nimewakatalia.
Haya puliza km unaumia
Huna ubavu wa kumkatalia mwanaume serious mwenye lengo la kukuoa. Sema umewakatalia mababazi waliotaka kukumega kisela kwa hongo ya kutaka kukuoa.
 
Inashangaza MTU kama wewe unasema haupo KWENYE ndoa na unatoa maoni ya KWENYE NDOA haimake sense MTU ukishaamua KUWA KWENYE NDOA. Fata protoko ya ndoa.

HIZo haki sawa zenu mkiwa single huko mnazifosi hadi KWENYE NDOA uoni aibu kuvunja msingi ya ndoa.

Oosa wewe hutaki ndoa
Protocol ya ndoa kumkaribisha chakula mumeo kila siku??

Basi upewe tuzo ya mke bora mahi wangu..!!
Na kwichy kwichy nayo unamkaribisha kila siku??
 
Huna ubavu wa kumkatalia mwanaume serious mwenye lengo la kukuoa. Sema umewakatalia mababazi waliotaka kukumega kisela kwa hongo ya kutaka kukuoa.
Kwamba unafikiri mimi mfia status ya ndoa kama wewe??

Wewe ulimegwa na mabazazi wangapi mpaka akafikia wa kukuoa??
 
Ndoa unaipenda sana ndio maana upo so obssessed na maisha ya wanandoa wakati wewe si mwanandoa.
Amini nakuapia dini yangu ingeruhusu kuoa mke wa tano, wewe nisingekuacha uendelee kupauka mitandaoni bila mume.
 
Wee kweli taahira, unalazimisha maoni yako yako sheria..!!

Sina dhiki ya ndoa na wala sijawahi kushtuka kuitamani hiyo taasisi yenu ya kitumwa..!!
 
Fanya maombi sheria ziruhusu mke wa 5, mimi nitakuwa wa kwanza kukusitiri usiendelee kutangatanga mitaani, japo mileage itakuwa inasoma Kigoma ila sio mbaya.
 
Kukaribishwa chakula ni LAZIMA sio hiari, akisĥakuwa mke anakuwa na wajibu huo kila akimaaliza kuandaa chakula. Dada anafanya hivyo endapo mama hayupo.

Hata hivyo, killa nyumba ina utaratibu wake, kuna wanaotenga msosi na kila mtu anakula kwa mda wake, kuna wanaotenga na wote mnakaribishwa mle pamoja, kuna kila mmoja anajipikia japo ni nyumba moja...haya mapaa yanaficha mambo mengi sana
 
UNADHANI UNAONGEA NA FALA FULANI.

Jifunze kichagya aina ya maisha na usiwe mropokaji , KWENYE MASWALA AMBAYO yameshajengwa na misingi yake iko kisheria, kidini na kiutamaduni au Mila.

Hukatazwi kutoa maoni YAKO LAKINI jikite KWENYE mazingira ya muhusika wewe ni mponga ndoa mwenzio Yuko KWENYE ndoa mpe ushauri sahihi acha ujinga kama hufahamu kuhusu ndoa Kaa pembeni.

Inaonekana wazi wewe si MTU WA ndoa na haiko KWENYE ndoa unachoongea ni pumba tupu alafu mjinga mwezio ananizuia kukupinga KISA ni maoni YAKO potoshi.

Misingi ya ndoa ni MKE KUWA chini ya mme muite unavyotaka SIJUI mtumwa ama nini LAKINI Mimi sijasema ni mtumwa nimesema Yuko chini ya mme na hiyo ndoa.

Na NDO aina ZOTE kimila, dini na sheria zimemweka chini ya mume mwanamke.

Sasa tuambie ukienda kinyume Cha misingi hiyo unapata wapi msaada.

NDO sio lazima Kwa wote ni Kwa wanaweza msijifanye WAJUAJI ukiona jambo huliwezi unaponda nini.

Toa maoni positive kulingana na situation na mazingira anayokiwa nayo muhusika.

Wapo WATU hawaamini uwepo WA MUNGU LAKINI wanaweza kutoa ushauri positive Kwa WATU wanaomini MUNGU jifunze HATA Kwa kiranga
 
Kukaribishwa chakula ni LAZIMA sio hiari, akisĥakuwa mke anakuwa na wajibu huo kila akimaaliza kuandaa chakula. Dada anafanya hivyo endapo mama hayupo.

Hata hivyo, killa nyumba ina utaratibu wake, kuna wanaotenga msosi na kila mtu anakula kwa mda wake, kuna wanaotenga na wote mnakaribishwa mle pamoja, kuna kila mmoja anajipikia japo ni nyumba moja...haya mapaa yanaficha mambo mengi sana
YAANI umeongea point icho ndio anatakiwa ajifunze @lamony Kuna wajibu alafu Kuna taratibu.

Ulichoongea hapo juu ni wajibu na chini ni taratibu.

Kwahiyo mtoa MADA alipaswa atuambie je Wana taratibu gani BAADA ya msosi kuiva

Kama tayari taratibu yao waliweka kwamba msosi ukiiva unawekwa mezani na Kila MTU atakula Kwa wakati wake au unaachwa jikoni Kila MTU akapakue basi taratibu ndio itakayoonyesha KUWA mwanamke alishatimiza wajibu Kwa KUTUMIA taratibu hiyo. Kwahiyo BAADA ya mwanamke kumwekeza mume nikiivisha chakula naweka pale kwahiyo kama utakuwa na njaa ukiona chakula pale usidubiri kula tayari hiyo ni onetime karibu. Itafatwa siku ZOTE LAKINI kama hakuna hiyo ni wajibu WA MKE kumkaribisha mume Kila siku
 
Lamomy yeye hataki ndoa, hataki kuwa chini ya mtu, hivyo anaona kila anachofanya mke ni utumwa, wakati kuna wanawake wanafurahia maisa hayo.
Umedadqvua vizuri, wajibu na utaratibu.
 
Fanya maombi sheria ziruhusu mke wa 5, mimi nitakuwa wa kwanza kukusitiri usiendelee kutangatanga mitaani, japo mileage itakuwa inasoma Kigoma ila sio mbaya.
Wewe mwenyewe mumeo umemkimbia ndio unioe mimi UTANIWEZA?
 
Back
Top Bottom