Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

UNADHANI UNAONGEA NA FALA FULANI.


Jifunze kichaga aina ya maisha na usiwe mropokaji , KWENYE MASWALA AMBAYO yameshajengwa na misingi yake iko kisheria, kidini na kiutamaduni au Mila.


Hukatazwi kutoa maoni YAKO LAKINI jikite KWENYE mazingira ya muhusika wewe ni mponga ndoa mwenzio Yuko KWENYE ndoa mpe ushauri sahihi acha ujinga kama hufahamu kuhusu ndoa Kaa pembeni.

Inaonekana wazi wewe si MTU WA ndoa na haiko KWENYE ndoa unachoongea ni pumba tupu alafu mjinga mwezio ananizuia kukupinga KISA ni maoni YAKO potoshi.


Misingi ya ndoa ni MKE KUWA chini ya mme muite unavyotaka SIJUI mtumwa ama nini LAKINI Mimi sijasema ni mtumwa nimesema Yuko chini ya mme na hiyo ndoa.

Na NDO aina ZOTE kimila, dini na sheria zimemweka chini ya mume mwanamke.

Sasa tuambie ukienda kinyume Cha misingi hiyo unapata wapi msaada.

NDO sio lazima Kwa wote ni Kwa wanaweza msijifanye WAJUAJI ukiona jambo huliwezi unaponda nini.

Toa maoni positive kulingana na situation na mazingira anayokiwa nayo muhusika.


Wapo WATU hawaamini uwepo WA MUNGU LAKINI wanaweza kutoa ushauri positive Kwa WATU wanaomini MUNGU jifunze HATA Kwa kiranga
Mwandiko mchafu nimeshindwa kusoma.
Kama hizo herufi kubwa ulizomix sijui ndio unafoka hata hueleweki.

Huko kwenye ndoa yako na mumeo sijui mnaishije kama hali ni hii..!! 😥😹😹
 
Lamomy yeye hataki ndoa, hataki kuwa chini ya mtu, hivyo anaona kila anachofanya mke ni utumwa, wakati kuna wanawake wanafurahia maisa hayo.
Umedadqvua vizuri, wajibu na utaratibu.
Utumwa bhana weeh 😹😹
Sasa wewe kila siku uambiwe karibu chakula, kwahiyo hata ukirudi usiku wa manane umelewa mkeo akusubiri ili akukaribishe chakula?
Mbona mnawatesa sana hao wake zenu??
 
Sijaolewa ila kero tu za maboy friend ushuhuda tosha…!!
Ndiomana niko single sitaki kutumikishwa wala kufua viboxer mchaniko vya mtu..!!
Ulivyojibu kwa jazba nikajua umeolewa kumbe hujaolewa kwanini umejibu wakati haikuhusu?
 
Utumwa bhana weeh 😹😹
Sasa wewe kila siku uambiwe karibu chakula, kwahiyo hata ukirudi usiku wa manane umelewa mkeo akusubiri ili akukaribishe chakula?
Mbona mnawatesa sana hao wake zenu??
Hata kazi/biashara, kama hutaipenda utaona unachofanya ni utumwa japo kinakupa pesa.

Kama unaona kumfanyia mume yote hayo ni utumwa then ndoa is not meant for you.

Wanaume wanapooa wanajua majukumu yao, mke anatakiwa kula vizuri, kulala vizuri, kuvaa vizuri na huduma nyingine hasa KUWEKWA!! Hakuna mwanaume anayeona kufanya hayo ni utumwa as ni majukumu yake na tuko proud sana kuyatimiza, ukiona mwanaume hataki kutimiza ujue ndoa sio fungu lake.
 
Mwandiko mchafu nimeshindwa kusoma.
Kama hizo herufi kubwa ulizomix sijui ndio unafoka hata hueleweki.

Huko kwenye ndoa yako na mumeo sijui mnaishije kama hali ni hii..!! 😥😹😹
Jitoe fahamu Huwa sibishani na wajinga kama wewe nyau asiye na RANGI. ENDELEA KUCHEZA NA DILDO HUKO NYUMA NINA KIWANDA KIDOGO CHA PAMPAZI ZA WAKUBWA
 
Ndoa haiendeshwi kwa kufuata maoni ya kwenye mitandao,kila jamii zina mila zake,taratibu zake na mazowea yake,huyo ni mkeo na sio mke wa jamii,

Kama unaona kutokukaribishwa chakula ni kosa basi ongea na huyo mkeo ili afanye kile unachokitaka,

Je mwanzo alikua anakukaribisha au hiyo tabia alikuja kua nayo baadae?

Mbali na kutokukaribishwa chakuka,kuna huduma zingine hupati? Au kuna jambo lingine ambalo wewe unaona halipo sawa hua anakufanyia?

Vipi kuhusu wewe kwa upande wako,unamfanyia mkeo vyote anavyovitaka?
 
Jitoe fahamu Huwa sibishani na wajinga kama wewe nyau asiye na RANGI. ENDELEA KUCHEZA NA DILDO HUKO NYUMA NINA KIWANDA KIDOGO CHA PAMPAZI ZA WAKUBWA
Mbona unalia sasa?
Hivi wewe ukiibiwa mumeo si ndio utanjinyonga? 😹😹😹

Kwahiyo mna kiwanda mpaka cha pampazi mnazitumia kwa shughuli gani?
Usitake kusema mumeo anakutumikisha mpaka unavaa pampazi bibiye 🤣😹🖕🏿
 
Kwahiyo mna kiwanda mpaka cha pampazi mnazitumia kwa shughuli gani?
Si ndio hizo shughuli ZAKO unaweka mipira wakati PAMPAZI zipo, nyau kweli wewe, angalia nzi wasikuumbue
 
Hapo kwenye nyumba yako una wake wawili sema Kuna mmoja wa muhimu hujaamua kumzingatia

Ukianza tu kila kitu kitakaa sawa
 
Uzi una comments zinachekesha 😁😁
 
Mwandiko mchafu nimeshindwa kusoma.
Kama hizo herufi kubwa ulizomix sijui ndio unafoka hata hueleweki.

Huko kwenye ndoa yako na mumeo sijui mnaishije kama hali ni hii..!! 😥😹😹
Kama akili zako ni timamu ujumbe wa jamaa utakuwa umekuingia, kinyume chake ni majanga.
 
Kwanza wewe umewahi kumkaribisha yeye mezani akale mtu amekuzalia nalivyofanya inatosha msichana wakazi . Akikukaribisha sio kwamba ni unaanza kumuwazia kama ni wife material huo ni ulimbukeni eti ukaribishwe wewe ni mgeni au upo na wageni acha ujinga .

Uzaliwe na bado uendekezwe ujinga nasio lazima ule home au uletewe na house girl kama hutaki first year to know mtu ache kuwaza hela aje akukaribishe chakula ikute unatunzwa sio unatunza.
 
Back
Top Bottom