Je, ni sawa mwanamke kula bila kumkaribisha mume wake kila mara?

Huwezi kumfananisha boyfriend au mzinzi mwenzako na mume. Usirudie tena huu mchezo.
Wote wanaume tena boyfriend anaweza kuwa bora zaidi ya huyo so called mume..!!

Halafu hakuna uzinzi lile tendo mwisho wake kukojoa. Sasa jiulize boyfriend wako hakojoi?
 
Sema matako sio makalio, hujui ndoa MUWE MNAKAA kimya, usijifanye unajua jua vitu AMBAYO humo ndani yake kimatendo. Kama sio ujinga ni upumbavu
Km imekuuma chomoa, ndoa ni utumwa ndiomana wewe mwenyewe huna uhuru wa kumwambia mumeo km umekojoa unajikaza ili usionekane unagawa nje kwa bodaboda..!! Upo nyonyo? 😹😹
 
Wote wanaume tena boyfriend anaweza kuwa bora zaidi ya huyo so called mume..!!

Halafu hakuna uzinzi lile tendo mwisho waje kukojoa. Sasa jiulize boyfriend wako hakojoi?
Jishushe uolewe au kaza shingo baadae uanze kutafuta mchawi.
 
Mleta mada kauliza kama ni sawa ama sio sawa
Imetokea mtu kaweka maoni yake ambayo yanapingana na yako unakasirika

Wagonjwa wa akili mpo wengi kmmk
Mimi si mgonjwa WA AKILI labda wewe
 
Sijaolewa ila kero tu za maboy friend ushuhuda tosha…!!
Ndiomana niko single sitaki kutumikishwa wala kufua viboxer mchaniko vya mtu..!!
Ewaah! Endelea kushuhudia hivyo hivyo things kwa ground ziko vere different dihaπŸ˜…
 
😹😹😹 Vingine hawasubiri kukaribishwa utashangaa anaparamia..!!
Hizi nazo ni akili gani?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini Lamomy vitu vingine vya kawaida tu mbona
Si umkaribishe
Napata picha tangu nalelewa kwetu kumuwekea chakula mtu bila kusema karibu naona kama haimake sense....japo ni kweli chakula anakiona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…