Mwandiko mchafu nimeshindwa kusoma.UNADHANI UNAONGEA NA FALA FULANI.
Jifunze kichaga aina ya maisha na usiwe mropokaji , KWENYE MASWALA AMBAYO yameshajengwa na misingi yake iko kisheria, kidini na kiutamaduni au Mila.
Hukatazwi kutoa maoni YAKO LAKINI jikite KWENYE mazingira ya muhusika wewe ni mponga ndoa mwenzio Yuko KWENYE ndoa mpe ushauri sahihi acha ujinga kama hufahamu kuhusu ndoa Kaa pembeni.
Inaonekana wazi wewe si MTU WA ndoa na haiko KWENYE ndoa unachoongea ni pumba tupu alafu mjinga mwezio ananizuia kukupinga KISA ni maoni YAKO potoshi.
Misingi ya ndoa ni MKE KUWA chini ya mme muite unavyotaka SIJUI mtumwa ama nini LAKINI Mimi sijasema ni mtumwa nimesema Yuko chini ya mme na hiyo ndoa.
Na NDO aina ZOTE kimila, dini na sheria zimemweka chini ya mume mwanamke.
Sasa tuambie ukienda kinyume Cha misingi hiyo unapata wapi msaada.
NDO sio lazima Kwa wote ni Kwa wanaweza msijifanye WAJUAJI ukiona jambo huliwezi unaponda nini.
Toa maoni positive kulingana na situation na mazingira anayokiwa nayo muhusika.
Wapo WATU hawaamini uwepo WA MUNGU LAKINI wanaweza kutoa ushauri positive Kwa WATU wanaomini MUNGU jifunze HATA Kwa kiranga
Utumwa bhana weeh πΉπΉLamomy yeye hataki ndoa, hataki kuwa chini ya mtu, hivyo anaona kila anachofanya mke ni utumwa, wakati kuna wanawake wanafurahia maisa hayo.
Umedadqvua vizuri, wajibu na utaratibu.
Hahahahahaha niliwaza kama wewe, chakula kipo mezani unakaribishwa nini sasa, ila kibumbu anakifakamia bila hata ruhusa wakati mwingineπUkaribishwe chakula hukioni?
Mbona mnapenda kufanya wenzenu watumwa Ebooh!!
Mbona kibumbu husubiri kukaribishwa?
Utumwa mamboleo tu..!! πΉπΉHahahahahaha niliwaza kama wewe, chakula kipo mezani unakaribishwa nini sasa, ila kibumbu anakifakamia bila hata ruhusa wakati mwingineπ
Kabisa.IFIKE KIPINDI MNAOJIFANYA WAJUAJI KWENYE MASWALA YA NDOA MUWE MNAKAA KIMYA . WEWE NI MJINGA
Ulivyojibu kwa jazba nikajua umeolewa kumbe hujaolewa kwanini umejibu wakati haikuhusu?Sijaolewa ila kero tu za maboy friend ushuhuda toshaβ¦!!
Ndiomana niko single sitaki kutumikishwa wala kufua viboxer mchaniko vya mtu..!!
Hata kazi/biashara, kama hutaipenda utaona unachofanya ni utumwa japo kinakupa pesa.Utumwa bhana weeh πΉπΉ
Sasa wewe kila siku uambiwe karibu chakula, kwahiyo hata ukirudi usiku wa manane umelewa mkeo akusubiri ili akukaribishe chakula?
Mbona mnawatesa sana hao wake zenu??
Jitoe fahamu Huwa sibishani na wajinga kama wewe nyau asiye na RANGI. ENDELEA KUCHEZA NA DILDO HUKO NYUMA NINA KIWANDA KIDOGO CHA PAMPAZI ZA WAKUBWAMwandiko mchafu nimeshindwa kusoma.
Kama hizo herufi kubwa ulizomix sijui ndio unafoka hata hueleweki.
Huko kwenye ndoa yako na mumeo sijui mnaishije kama hali ni hii..!! π₯πΉπΉ
Mbona unalia sasa?Jitoe fahamu Huwa sibishani na wajinga kama wewe nyau asiye na RANGI. ENDELEA KUCHEZA NA DILDO HUKO NYUMA NINA KIWANDA KIDOGO CHA PAMPAZI ZA WAKUBWA
Si ndio hizo shughuli ZAKO unaweka mipira wakati PAMPAZI zipo, nyau kweli wewe, angalia nzi wasikuumbueKwahiyo mna kiwanda mpaka cha pampazi mnazitumia kwa shughuli gani?
Wewe mwenyewe mumeo umemkimbia ndio unioe mimi UTANIWEZA?
Kama akili zako ni timamu ujumbe wa jamaa utakuwa umekuingia, kinyume chake ni majanga.Mwandiko mchafu nimeshindwa kusoma.
Kama hizo herufi kubwa ulizomix sijui ndio unafoka hata hueleweki.
Huko kwenye ndoa yako na mumeo sijui mnaishije kama hali ni hii..!! π₯πΉπΉ