Mpaka maandamano yanatokea kulikuwa kumetokea matukio mangapi ya uporaji njiani walikokuwa wamepita.?Unajua kulikuwa na vibaka wangapi,unajua ni nani alikuwa anaandamana kwa dhati,unajua ni yupi alikuwa chadema na yupi hakuwa chadema......!? Haya mambo lazima uangalie kwa kubalance
wanafata maelekezoPolisi wa nchi hii sio wa kucheka nao.
hivi siku hizi maandamano na mikutano inafanyika kwenye daladala? ule utafiti wa watanzania wengi vichaa ni kweli nimeaminiMimi kama mwanamke nina uchungu nae sana!
Laana ni kwa hao wanaowapandisha jazba na wakijua wazi matokeo yake ni nini!
Na ndiyo maana nasisitiza watu kuwa waangalifu kwenye matukio kama haya. Katika nyuzi zangu zote nasisitiza maisha kwanza!
Sasa hao wanao ndio wako mashakani maana mtu huvuna analo lipanda na inaitwa KARMA!
Umeipenda itakufuata mpaka nyumbani mwako!
KARMA HAICHAGUI IT SAVES YOU WHAT YOU DESERVE!
Tumetofautiana baada ya kusema Mtulia ni chanzo......all in all Matumizi ya silaha za Moto hayakubaliki lkn nini unadhani kifanyike!?....Je Chadema wafanye wanavyotaka kufanya!?Je serikali iwape kila wanachotaka?!....Sitafuti chanzo, nalaani matumizi ya silaha za moto yanayoweza kusababisha vifo. Matumizi ya silaha za moto si jambo la kulipa uhalali kirahisi rahisi hasa kwenye mazingira ambayo raia wa kawaida pia wanakuwepo. Haya makosa ya namna hii hayatakiwi yapewe uhalali sababu maandamano mengine(halali na yasiyo halali) huko mbeleni yatafanywa na watu wa aina mbalimbali, sasa silaha za moto zikitumika kuzuia tutazika wangapi?
wahi mapema hospitali ukapimwe akili. hivi siku hizi maandamano yanaganyika kwenye daladala?R.I.P
Poleni wafiwa
Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..
Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.
NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
Binti alikuwa kwenye harakati zake tuKwann hakuwa xhuo akakaa na kusoma kuangaika na wanasiasa waongo.
Mtihan sana mtoto bado mdogo huyu
Mie nliwah kukoswa na vipira vile police walrusha bado kdg vntoe jiko vkanpga shavuni tangu cku hyo ctk mambo ya kijinga
Vijana tusitumiwe kufankisha mafankio ya watu wengne
Pole familia ya marehemu
Pascal ujasimulia vzr kifo kilivotokea vp police wamesababisha
hivi wewe unaakili timamu kweli? umeambiwa alikuwa anapita yupo ndani ya daladala wewe umekaza kwanini alikuwa kwenye maandamano sijui mkutano. nyie ndo wote wauaji tuKwann hakuwa xhuo akakaa na kusoma kuangaika na wanasiasa waongo.
Mtihan sana mtoto bado mdogo huyu
Mie nliwah kukoswa na vipira vile police walrusha bado kdg vntoe jiko vkanpga shavuni tangu cku hyo ctk mambo ya kijinga
Vijana tusitumiwe kufankisha mafankio ya watu wengne
Pole familia ya marehemu
Pascal ujasimulia vzr kifo kilivotokea vp police wamesababisha
funk youWa kulaumiwa ni Chadema....kwani viapo vinapatikana kwa kuleta fujo na maandamano haramu....Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha huyo binti na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
we ni msen** sh**a kabisa unaleta ushetani hapa ulaaniwehuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Usirahisishe vitu kwa mtazamo huoMpaka maandamano yanatokea kulikuwa kumetokea matukio mangapi ya uporaji njiani walikokuwa wamepita.?