kisukikali
Member
- Jul 7, 2016
- 43
- 60
Nmepigwa ban id yangu ya mwanzo naomba usilete uchoko nikapigwa na hii...huyo dada alikuwa kwenye daladalahuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Ilibidi ujiulize kwanza swali kuwa ni haki kutumia silaha za moto ilihali kuna maandamano ya amani? kisha uulize hayo maswali yakoHivi kulikuwa na ulazima wa kufanya maandamano hayo?yalifanyika muda gani?wakati wa saa za kazi au baada ya ofisi kufungwa?kwa nini wanasiasa hawaleti watoto wao kwenye maandamano?nionavyomimi wote wanapaswa kulaumiwa!
Kwa hiyo dala dala walijua chadema wataandamana na kwa hiyo hawakupita huko?Acheni uhuni mnaumiza sana hisia za watu.Fikiria huyu binti angekuwa anatoka katika familia yako..je hata kama alikuwa kwenye maandamano,alistahili hukumu hii?Hivi kwa akili yako kwenye vurugu kama hilo kuna dala dala litapita?
Malawama-lawama ,polepole ana kazi kuelimisha vichwa panzi.Mmepata wa kumtupia malawama ya uzembe wenu na fujo zenu naona, utasubiri mpaka yesu anarudi na ufikiriacho hakitatokea.
Kwa roho mbaya ya Mwigulu wakati akiwa mbunge tu sio waziri jinsi chadema walivyokuwa wanapata misukosuko hadi kufikia kusema ana ushahidi wakutoa hata mbinguni kuwa Lwakatare gaidi, na akawa anatembea na kijana mmoja amemwagiwa tindikali usoni, ,Leo yeye ndio waziri,, na hapo Dar Huyo Makonda alivyo na roho mbaya ukijumlisha na tukio la jana,Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?.
Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.
Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waungilie, what did they stand to loose?. Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that!.
Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.
Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.
Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM),Aqulina Akwilini Baftaha
Ingekuwa ni Mdogo wako ungeandika hivyo,inasemekana marehemu alikuwa abiria ndani ya daladala,je kosa lake ni kuwa ndani ya daladala,au hakupaswa asafiri,au ulifikiri na yeye alikuwa anandamana?.Hata kama unatetea chama chako unapaswa ujue all in all uzembe aukustahili kuwa chanzo cha kukatisha ndoto zake,hata kama angekuwa ni mwanachama wa chama cha upinzani,sina chama lakini kuna mambo yanatokea unajiuliza maswali mengi ya yasiyo na majibuNO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Serikali inafahamu njia sahihi na halali za kukabiliana na kuzuia uvunjwaji wa sheria na maandamano yasiyo halali. Wazitumie hizo njia. Matumizi ya risasi za moto yaepukwe. Hatutaki kuzika watu wasio na hatia kwa sababu chadema wanasumbua. Njia sahihi zitumike.Tumetofautiana baada ya kusema Mtulia ni chanzo......all in all Matumizi ya silaha za Moto hayakubaliki lkn nini unadhani kifanyike!?....Je Chadema wafanye wanavyotaka kufanya!?Je serikali iwape kila wanachotaka?!....
Unalaana ya kufa wewe mse... wa headSasa huyo binti kaingiaje katika anga zao?
I wish angekuwa dada yako ndipo ungeelewa vizuri.
Halafu yakipata matatizo yakuuliwa na majambazi eti yanataka tuwaonee huruma,, pumbavBaada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
Wht if waliopiga risasi daladala ni Hao waliokuwa kwenye kundi la waandamanaji?!!....Tunawajua na chama chenu siku hizi viongozi wenu wanatumia Umafia Kutengeneza sababu.....Haya sababu mmepata!Pigeni domo sasaWewe kiazi mbatata kweli sasa ulitaka Chadema wabaki nyumbani kwao wakiwa hawana hizo fomu ili kesho wakasindikize wenzao,cha ajabu ni kuwa hujui hata kuwa ni kosa kwa polisi kutumia silaha za moto kwenye maandamano ya kawaida ilihali virungu vipo na mabomu ya machozi,acha unafiki.