Wewe nakujua si kaka poa wapale Ohio?Siku wakimpiga mama yako risasi ya matako ndio useme ivyo tusijiingize kwenye anga zao, pumbavu sana we mtoto wa kahaba, walishindwa nn kupiga risasi hewani au kuwasindikiza mpk ofisi ya huyo mkurugenzi
Mama yako Yule kahaba alikuwepoWewe hukuwepo!
Mpumbavu wewe!!NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Hakuna amani Inafanyika kwa utaratibu wa kuvunja sheria......maandamano yanatolewa taarifa kwa vyombo husika ili upate rukhsa au UZUIWE!..huwezi kukurupuka ww mwenyewe umeshiba ugali unaenda kuandamana lazima utakutana na mambo yasiyokuridhisha!Kujua kama maandamano yalikokuwa yamepita yalisababisha uporaji, uhalibifu wa mali kuumiza watu wengine
Hayo ndio mambo ya muhimu kuamua maandamano yalikuwa ya amani au la
Mjinga wewe, angekuwa ndugu yako sidhani ungesema hiviNO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Hakuwa kwenye mkutano amepigwa risasi akiwa ndani ya daladala inayotoka mabibo kwenda nyamalahuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Mimi kama mwanamke nina uchungu nae sana!
Laana ni kwa hao wanaowapandisha jazba na wakijua wazi matokeo yake ni nini!
Na ndiyo maana nasisitiza watu kuwa waangalifu kwenye matukio kama haya. Katika nyuzi zangu zote nasisitiza maisha kwanza!
Sasa hao wanao ndio wako mashakani maana mtu huvuna analo lipanda na inaitwa KARMA!
Umeipenda itakufuata mpaka nyumbani mwako!
KARMA HAICHAGUI IT SAVES YOU WHAT YOU DESERVE!
Vichaa mpo wengi. Kasome katiba ya nchi.Wa kulaumiwa ni Chadema....kwani viapo vinapatikana kwa kuleta fujo na maandamano haramu....Chadema ndiyo Chanzo cha kifo cha huyo binti na Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
Siku mama yako akipigwa risasi ya kwenye mitako yake Ile uje pia uandike ivyoChadema walaaniwe kwa Kuwa sehemu ya sababu ya kifo cha binti huyu.....!!Polisi walikuwa katika sehemu yao majukumu yao kulinda amani Baada ya Chadema kuivuruga.
Mkuu hii kyagata ni kama kiagata tarafa flani ya butiamahuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Ficha upumbavu wewe kilaza wa lumumba unaefikiria kwa kutumia papa lako,cdm walimnunua ma...a yko?uchaguzi siku zote mkiona mnazidiwa mnaanza kutumia policeccm wetu kma nyie mnajiamini police na ded wa nini.nyambafu kabisa wewe shubamiiit wahedR.I.P
Poleni wafiwa
Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..
Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.
NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
....Ulivyofanya maandamano bila kufuata katiba/utaratibu Ulitegemea nini kitokee!??Kenge wewe....Jifunzeni na mtakufa mno akili zisipowaingia kichwaniVichaa mpo wengi. Kasome katiba ya nchi.
Pascal nasikitika hapa haya uliyoyaandika? Ulikuwepo kwenye tukio? Kwanini usifanye utafiti? Unajua Kama wabunge wa Chadema waligawa bastola zao vijana waliyowatoa Tarime,Rorya na Serengeti? Je unamfahamu kuwa mnamo siku ya jumatano chadema waliingiza vijana 11 kutoka Serengeti wapiga mishale? Na waliingia saa saba mchana na basi la Falcon kutoka Tarime. Je unafahamu kama Mbowe alikamatwa ofisi za ccm wilaya kinondoni jana jioni na team yake walienda kufanya nini huko tena wakiwa na madumu ya petrol? Polisi a anawapendelea Chadema ndiyo wanafanya Kiburi.Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?.
Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.
Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waungilie, what did they stand to loose?. Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that!.
Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.
Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.
Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM),Aqulina Akwilini Baftaha
Acheni mapenzi ya kijinga kwa CCM, hivi mnanufaika nini watu wakifa? Tulitegemea wanawake mnao pata uchungu wa kujifungua muwe mstali wambele kupinga mambo kama haya lkn ninyi ndio mnazidi kusherekea ujinga huuWewe nakujua si kaka poa wapale Ohio?
Naona jana wewe na ukoo wako hamkupata tenda mkageuzana wenyewe kwa wenyewe!
Pathetic ignore list yangu inakuhusu wewe hanithi wa nchi kavu!!!!
Malaya wa kiume
Rudi memkwa ukasome tena mana inaonekana huko shule ulienda kufuta ubao tu ..mtu mwenye akili timamu hawezi kuuliza swali la kijinga ilihali kuna video ipo na mashuhuda waliona jinsi polisi wanavyofyatua risasi hovyo kuwatawanya watu tena mtu hafyatui hewani anafyatua uelekeo wa watu walipo ,binti wa watu hana hili wala lile yupo kwenye daladala anarudi risasi inapenya inampata..hata mahaba ya chama yazidi vipi lakini kwenye uhai wa watu lazima ukweli usemwe na ukichukulia simple tu subiri limpate mtoto wako au ndugu yako.Wht if waliopiga risasi daladala ni Hao waliokuwa kwenye kundi la waandamanaji?!!....Tunawajua na chama chenu siku hizi viongozi wenu wanatumia Umafia Kutengeneza sababu.....Haya sababu mmepata!Pigeni domo sasa