Acquilin hakuingia katika anga za Polisi Kada mwenzangu..jazba uoga Wa Polisi ndio sababu ya haya yote. Polisi wangemuwinda Mbowe wamlambe shaba yangeisha ndio adui pale sio huyu mtotoNO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Ujui ulisemalo sina haja ya kuendelea na wewe.Mbona wazungu wakiandamana awafyatuliwi marisasi na askari wao,kwanini kwetu watu weusi tunaona kutoa uai watu kama jambo la kawaida atukubali kutumia utashi na akili hata kidogo kabla ya kufanya maamuzi.Huyo angekuwa mwanao ungejaribu kutafuta njia ya kutuliza watu jazba ili leo na siku nyingine yasitokee tena nchini kwetu!
Siku ya leo kila mtu anayejali Amani na busara atatamka maneno ya Amani ili liliotokea jana lisitokee tena Leo!
Na Mola ni mwaminifu kwani huwa hadanganyiki anajua motives and intentions za Kila mtu, na walahi kila mtu atavuna ayapandayo!
DAMU YA AQULINA HAIKUMAMWAGIKA BURE!
Bahati mbaya ninaowajibu hawaandiki unachokiandika wewe mkuu.....!Wanachofanya ni kuattack bila kujua na wao ni sehemu ya tatizo kama siyo chanzo kabisa!wanachotazama wao ni neno Chadema....Ndiyo maana nadiriki kusema tena bila kutafuna neno Chadema wanafuraha juu ya tukio hili na matukio mengine kama haya yaliyotangulia maana wameshahamishia hoja kwenye Kutafuta matatizo au kusababisha matatizo ili wapate cha kuisema serikali ama kuizushia mambo kama haya.UKWELI:Mkurugenzi,Chadema,ni chanzo cha vurugu hizi ambazo zimegharimu maisha ya mtoto wa watu.....Upuuzi huu unatakiwa ukemewe kwa nguvu lkn siyo kufanya matukio ili kutake advantage ya kile wanachokusudia.nadhani umenielewaJiulize kama NEC wangetoa vile viapo kwa wakati haya yote yasingetokea..
Alafu nguvu kubwa ya nini kwa raia ambao hawakuwa na chochote cha kutishia amani..
Huwezi penda kitu kama huna manufaa nacho,ukiona mtu anaipenda ccm ana maslai nayo.Baadae watakuja (BILA AIBU wala woga) kupitia Chakubanga waseme wanashinda kwa SABABU WANAPENDWAM
Sheria zimewekwa nasi binadamu. Zina mapungufu. Hakuna aliyetishia amani kwa wananchi pale. Bado unaamini walistahili kufa?Ndiyo!sasa kama umevunja sheria na kutishia amani na madhara kwa Wananchi unadhani mtu kama wewe unastahili nini?!!.....Maandamano yana Utaratibu wake,Ukiuvunja Hautaridhika nakwambia
Usijitazame wewe tazama na wengine mkuu....inawezekana ulikuwa na dhamira nzuri kabisa lakini kiusalama haipo rahisi hivyo kama unavyochukuliaSheria zimewekwa nasi binadamu. Zina mapungufu. Hakuna aliyetishia amani kwa wananchi pale. Bado unaamini walistahili kufa?
hapa ndiyo tuongee sasa....kama umetambua kuna mapungufu sehemu basi tujadili nini kifanyike ili haya mambo yasipate nafasi tenaSheria zimewekwa nasi binadamu. Zina mapungufu. Hakuna aliyetishia amani kwa wananchi pale. Bado unaamini walistahili kufa?
Tuunde tume huru ichunguze haya mauaji na mengine yaliyotangulia ..Bahati mbaya ninaowajibu hawaandiki unachokiandika wewe mkuu.....!Wanachofanya ni kuattack bila kujua na wao ni sehemu ya tatizo kama siyo chanzo kabisa!wanachotazama wao ni neno Chadema....Ndiyo maana nadiriki kusema tena bila kutafuna neno Chadema wanafuraha juu ya tukio hili na matukio mengine kama haya yaliyotangulia maana wameshahamishia hoja kwenye Kutafuta matatizo au kusababisha matatizo ili wapate cha kuisema serikali ama kuizushia mambo kama haya.UKWELI:Mkurugenzi,Chadema,ni chanzo cha vurugu hizi ambazo zimegharimu maisha ya mtoto wa watu.....Upuuzi huu unatakiwa ukemewe kwa nguvu lkn siyo kufanya matukio ili kutake advantage ya kile wanachokusudia.nadhani umenielewa
Wanabodi,
Kwanza nitoe pole kwa kifo hiki cha malaika huyu
Jee mnajua Jeshi la Polisi Linaweza kushitakiwa kwa kifo hiki cha uzembe na wahusika kuhukumiwa kama kifo cha Mwangosi, lakini pia serikali ikashitakiwa kwa kesi ya madai na kuhukumiwa kulipa fidia kwa familia ya marehemu?.
Kuna mazingira ambayo polisi wanaweza kumuua raia wa kawaida katika polisi shootout na polisi wasiwe na criminal liability kama tukio hilo linahusisha matumizi halali ya risasi za moto kwa mujibu wa miongozo yao, lakini tukio lile ni kuthibiti riots, hivyo tangu lini jeshi la polisi linatumia risasi za moto kuthibiti riots za watu wasio na silaha zozote badala ya kutumia rubber bullets?!.
Tena kuna ushahidi wa kutosha na usiotia shaka, mara nyingi uvunjifu wa amani unasababishwa na polisi wanaodhibiti maandamano hayo!. Kama polisi wangesimamia na kuwapa ulinzi Chadema katika kufuata viapo vyao ili wakiona vurugu ndipo waungilie, what did they stand to loose?. Kilichotokea ni uzembe tuu wa polisi wetu na hakuna excuse yoyote itakayo weza kutolewa ku justify uzembe huu wa jeshi letu la polisi kupoteza maisha ya an innocent civilian just like that!.
Poleni sana, wazazi, wanafunzi wenzake, ndugu, jamaa, marafiki, wana Kinondoni wote na wote walioguswa na kifo hiki.
Hii ndio gharama ya demokrasia ambayo Watanzania wanalazimishwa kuilipa ili tuu fulani ashinde!.
Mungu yupo na haya anayaona!.
Rip, mwanafunzi wa Mwaka wa kwanza wa Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam (UDSM),Aqulina Akwilini Baftaha
Mkurugenzi ,Uongozi wa chadema wawajibike kwa hiliTuunde tume huru ichunguze haya mauaji na mengine yaliyotangulia ..
Ikibainika pasi na shaka wale wote ama kwa namna moja ama nyingine ndiyo sababu ya mauaji haya wafike mbele ya sheria..
basi kwa mtazamo wako amekufa na kifafa akiwa kwenye gari, kusoma hujui hata picha huoniJamani ni muhimu kuwe na taarifa iliyokamilika kuhusu kuuwawa kwa huyo binti! Tusije tukaanza kuhukumu kwa kutumia tetesi......