Upo sahihi ila umesahau aliyesababisha/ waliosababisha hayo maandamano kuwepo,ukumbuke yalikuwa ni maandamano ya kushinikiza kutolewa hati za viapo ambazo hadi wakati huo zilikuwa hazijatolewa kwa taratibu za kawaida.Uko sahihi kabisa Serikali ishitakiwe na mbowe pia ashitakiwe kwa kuhamasisha maandamano yasiyokuwa na kibali.
Mkuu jitathimini kwa kina utagundua umekosea sana, kwa hiyo amani iliyo vurugwa na chadema itulizwe kwa dhana za kivita?? Mkuu hao chadema walikua wanataka haki zao. Na ni ccm ndio wamebana haki za wananchi.Chadema walaaniwe kwa Kuwa sehemu ya sababu ya kifo cha binti huyu.....!!Polisi walikuwa katika sehemu yao majukumu yao kulinda amani Baada ya Chadema kuivuruga.
Maandamano na mikusanyiko duniani kote haihitaji ruhusa ya yeyote! Kasome katiba ya jmt kisha urudi hapa! Isitoshe, hii fallacy of generosity yako kuwa cdm wanastahili lawama sio sahihi kwani kuna victim mmoja muhimu sana unamuacha ambaye angetimiza majukumu yake inavyopasa kisheria na kiutaratibu haya yote yasingelitokea. Ni bora huyo victim akajitokeza na kuomba radhi kwa madhila aliyoyasababisha kwa umma.Walipewa na nani ruhusa ya kuandamana.....!? Kwendeni zenu msiopenda kuukabili ukweli.eti chadema hawamiliki silaha....
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
R.I.P
Poleni wafiwa
Chadema wanaenda kuwanunua kuwapa chenji ndogo wajaze sehemu wanapita..
Uchunguzi wa polisi ufanyike kwa kifo chake hii ni lazima
Na pia uchunguzi nani anawakusanya wajae kufanya fujo bila kufata sheria na huku wanajitayarisha na mitihani n.k. lazima Chadema wawajibishwe pia.
NA HAWA POLISI NA CCM KWANINI HAWAKUFATA YA JUZI YA NAIROBI, KUWAACHIA TU. WANAJUA CHADEMA WANAPENDA YA KUUANA KUTAFUTA HURUMA.
Ile ni kazi ya laana na ndo maaana wakistaafu huwa wanamaisha ya ajabu sana kuliko watumishi wote,wanatia huruma sana,N.B kuwa polisi hakukuondoi wewe kuwa ni binadamu,polisi tuwe na utu hata jwtz katika medani adui akitupa silaha na kunyoosha mikono juu ukimuua adhabu yako mbele za haki inakusubili kwakuwa umeua asiye na hatiaYani Police wa Tz waajabu sana wanaangaika na serikali ambayo aiwajali kwa lolote toka mwaka juzi mishaara yao awajapandishiwa, vyeo awajapandishwa na makazi duni ila wanaona ni bora waue watanzania wenz tu.
Labda niseme tu kiufupi sina chama, ila kwa yanayotendeka, ni wazi ccm na viongozi wenu wana force mambo. How useme chadema wamevuruga amani ndio chanzo cha polisi kumuua binti asie na hatia kweli?!!!! Mkuu tafakari.Wewe bila shaka ni chadema...na mimi ni CCM na kinachotufanya tunavutana ni utofauti wetu wa kile ninachoamini na wewe unachoamini....Naomba nikuone haupo sahihi na wewe unione vivyo hivyo.
Tatizo Mungu kakunyima vyote elimu na akili +hata haki zako huzijui,kila mtu anahaki ya kujumuika,anahaki ya kuhudhuria mikutano ya kampeni.Baba yako kazi yake ilikuwa ni kumdandia mama yako usiku na mchana badala kutafuta pesa ya kukupeleka shulehuyo denti alikua anatafuta nin huko kwenye mikutano ya siasa wakati wenzie wako kwenye maandalizi ya mitihani?
Huwa najiuliza sana maana ya Ku "LIKE" bandiko la mtu nini ? Je ni kwa unakubaliana naye ktk hilo bandiko au unapenda mwandiko wake ? au ni personality yake ndani au nje ya JF.NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!