Atakayepiga kura ni nani wakat wabunge wetu ni ndio mzeeeeeMimi naaza kuwa na wasiwasi inawezekana akawa anatumiwa na taifa jirani kuleta umwagaji damu katika Tanzania, Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa muda mrefu, inawezekana wanatuonea wivu kwa stability yetu, sasa wanamtumia jamaa alete umwagaji damu katika nchi yetu. Urafiki wake na Kagame unatia mashaka makubwa sana. And he simply does not care. we have to be vigilant with this guy, jicho la tatu linatakiwa ikiwezekana apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye.
Wote wanaohusika na mauaji malipo yao ni hapa hapa duniani ili tuyashuhudie.Baada ya kuona picha hio nimepata hasira..
Hivi binadamu wa kawaida unapataje ujasiri wa kumuua binti kama huyo.
Huu unyama nadhani hata wakoloni hawakufanya..
Shenz sana polisi wa tz.
Hukumu yenu mtaikuta mbinguni
Yule Fidodido wa Kigali ndio mashauri mkuu wa jeshi lapolisi tz, unategemea nini?? I hate tz policeMimi naaza kuwa na wasiwasi inawezekana akawa anatumiwa na taifa jirani kuleta umwagaji damu katika Tanzania, Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa muda mrefu, inawezekana wanatuonea wivu kwa stability yetu, sasa wanamtumia jamaa alete umwagaji damu katika nchi yetu. Urafiki wake na Kagame unatia mashaka makubwa sana. And he simply does not care. we have to be vigilant with this guy, jicho la tatu linatakiwa ikiwezekana apigiwe kura ya kutokuwa na imani naye.
He doesn't know the price of karmaKweli wewe Isis
Karma has your address
R.I.PNO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Unalosema ni la kweli???Anga zipi binti alikuwa kwenye daladala akapigwa risasi akiwa hukohuko kwenye daladala
Sasa mwenye makosa hapo nani
Washtakiwe kwanani ??nahiyo haki atende nani ? Tumzike mdogowetu akapumzike .hatujui Leo nakesho atapigwa nani ?Wahusika washtakiwe na haki itendeke juu ya kitendo hiki cha kinyama, kuna watu wana jifikiria kuwa wao ndio wenye haki peke yao ndani ya nchi hii.
Yeye amejikita kuona CCM inashinda hata kwa damu. Amesahau Madaraka yana mwisho.Sasa Mwigulu unaona raha gani kula mshahara kwa Damu hizi hasa ya binti kama huyu?
Haki haipotei uchelewa tu,tawala huwa hazidumu,technology utunza kumbukumbu.Washtakiwe kwanani ??nahiyo haki atende nani ? Tumzike mdogowetu akapumzike .hatujui Leo nakesho atapigwa nani ?
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Kuna haja gani ya kuua watu? Unalinda Amani unaua watu Kwa manufaa ya Nani?NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!