Je, Polisi washitakiwe kusababisha vifo kizembe vya random shootout? RIP Aqulina Akwilini, Baftaha, She is an Angel!

Inaumiza sana. Ingawa polisi wanapokea order ya Sirro na wakuu wao.
Siamini kama Siro aliwaambia mkaue raia,ninachoweza kujua ni kwamba askari wanapoenda kutuliza ghasia au maandamano watakuwa na silaha za aina ya kuzuia maandamano,kila tukio lina silaha zake ingawaje kunaweza kuwepo nguvu ya ziada zaidi ila kwa mbali sana kujihami kama mambo yatageuka na kuhitaji silaha hizo kutumika,sasa hapo ni weledi wa askari kuona kama je sasa wanaweza kuzitumia au la,sasa hapo inataka IQ kubwa ndio maana nina shaka na akili za baadhi ya askari wetu ku-reason mambo,wamekosea sana ktk hili.
 
Nalaani mauwaji yasiyo na hatia na kwa vile wamedhulumia haki yao wataikuta siku ya hukmu.

Lakini kama hujapata kibali cha maandamano kwa nini ukajitie kwenye mkumbo. Kutumia risasi za mpira zilipendwa weee ukileta ubishi utatangulia tuuu. Pumbaff

Ila sio kwa waliouwawa juzi maana wao hawakuwa sehemu ya watu wasio na kazi ya kufanya.
Kama ndio mimi kwanza angejieleza alietisha maandamano haramu hadi kupelekea mauaji yasio na hatia ndio ningeendelea na Polisi muwaaji.

Kipovu cha nini na huo ni mtizamo wangu binafsi, umeona hauna maaana achana nao sio kipovu

Sent from my SM-G930F using JamiiForums mobile app
 
E
Yani Police wa Tz waajabu sana wanaangaika na serikali ambayo aiwajali kwa lolote toka mwaka juzi mishaara yao awajapandishiwa, vyeo awajapandishwa na makazi duni ila wanaona ni bora waue watanzania wenz tu.
Kati ya kazi ambazo niliomba zinipite mbali ni polisi na jeshi. Baada tu ya kumaliza form six mzee alinifanyia mpango nikamwambia mzee bora nikauze mitumba au karanga ntakuwa na amani kuliko huko. Mimi ni mtu wa reason na logic ntafukuzwa bila hata kumaliza kozi
 
Hakika hili kundi la wanyang'anyiiii ipo siku yake hata zimbambwe ili fika mwishoo na kwetu itafika mwisho haiwezekani wananchi tufanyiwe dhuluma kiasi hiki
 
Mhe. Rais umma wote tunasikitika kwa kifo cha mwanafunzi wa NIT aliyeuwawa na Jeshi la Polisi bila kosa lolote. Wananchi tunajiuliza maswali yafuatayo:-
  • Kwa nini watumie risasi za moto badala ya risasi za baridi kama ilivyozoeleka kwenye matukio kama haya.
  • Kwa nini wasingewakamata Viongozi wa Chadema mfano Mhe. Mbowe badala ya kufyatua risas za moto ovyo ovyo.
  • Kwa nini wasingechunguza kwanza sababu ya maandamano ndipo wachukue hatua.
Mhe. Rais Mambosasa awajibishwe na astaafishwe kwa manufaa ya umma. Ni jambo la kusikitisha sana kama haya yanafanyika Tanzania.
 
RIP mwanafunzi, Polisi kwa hili lazima wawajibike, kushtakiwa kwa aliyerusha risasi hovyo, fidia na kuanza taratibu za kutumia njia mbadala kwenye kutuliza fujo..Mfano...
  • Rubber bullets
  • Maji ya washa washa zaidi
  • Virungu
  • Farasi na Mbwa..
  • Tactics and strategies katika kutuliza fujo...
  • Hili tukio lilikuwa linakuja kwa kweli, wao hata kwenda kudai bill ya maji au umeme lazima askari abebe SMG!
  • Kwenda kudai kodi au wakiambatana na YONO lazima SMG's!
  • Mipirani, hata wakitazama kwenye Luninga tu, wenzetu hawabebi masilaha ya kivita kama sisi, wao ni virungi, washa washa, mbwa na farasi.
  • Mikusanyko kidogo ya raia wakidai haki, Polisi, hasa, wanabeba masilaha ya kivita kama vile wanaenda vitani!
Ni uzuzu na uvivu wa kufikiri, ni dalili ya vyombo vya usalama kukosa mbinu za ku deal na raia, hawajiamini, wakiamini silaha nzito ndio zitawapa heshima na raia kuwa waoga..
 
Kama amefuata maelekezo toka juu unatarajia awajibishwe na aliye juu? Kama hakupata naelekezo toka juu, kweli tumuombe tu mkuu amshughulikie!
 
I as my ID reveals,with no hesitation I declare that From the bottom of my heart I do hate this president for his evils doings,therefore I may categorize this man as Heartless,an evil,no empathy on him and so on of the like
 
Sheria inasema mtuhumiwa yeyote afikishwe mahakamani, period. Hayo unayoleta ni kwa kuwa umeamua tu kuwa mpumbavu, basi.
 
We jamaa huwa mnafiki sana, Ashakufa huyo, na hapo hakuna kesi maana ni risasi moja imempata, wameshikiliwa Askar 6.....wakuwatupia lawama ni chama la ovyo Chadema,,, maandamano yao yamepelekea tumpoteze huyo binti, Bila kuandamana kwao yasingetokea,,

Nawachukia sana waandamanaji leo hii mie sisikii vizuri,, nikiwahi kupigwa jiwe na waandamanaji nikapoteza fahamu, na mpak leo na matatizo.... Sijui kwann Risasi ile isingempata kiongozi yeyote wa lichama la ovyo. Imeenda kumpata mtoto asiyekuwa na hatia..
 
NO WAY ASKARI HAWANA MAKOSA NI LAZIMA WAHAKIKISHE AMANI NA UTULIVU VINAPATIKANA!
Tusijiingize katika anga zao jamani!
Rip Aqulina!
Kweli kabisa polisi walipiga risasi kwenye anga zao huko juu angani ukikatizi tu umelengwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…