Kwa JFK ilikuwa ni ngumu kusema kifo cha risasi sio conspiracy

Lakini kwa mazingira ya mfululizo wa vifo pale ikulu ilionesha wazi kwamba yule mdudu kaingia mjengoni

Mdudu yule hakuna kingine ,Maalim alikutana na magu baada ya kama siku kadhaa maalim na crew yake wakaanza kuugua kovid19,kijazi ni mtu wa karibu sana na jpm.
 
Kwa evolution na speed ya technology kwa sasa, ni rahisi sana kufanya hilo tukio mno.

Technology is evolving faster than we are.

Technology is making it easier and easier for fewer and fewer people to do greater and greater damage
Possible. Upande mwingine, mbona hawakumfanyia hujuma hiyo miaka yake mitano ya kwanza, hasa kwenye ile the most-contested mikataba ya madini!??? Kwa nini wangoje hadi JPM ameweka mambo sawa, almost everything kiko smooth & straight ndipo wamdungue!??? Hivi haikuwa rahisi kwao kumzuia asitimize malengo yake, badala ya kusubiri afanye ndipo wamwondoe!???
 
Possibilities zote zinawezekana kwa sababu si Wachina wote wanaipenda Tanzania. Hata US kuna friends wa China na China kuna friends wa US. But the likeliest answer is corona ambayo imesababisha heart complications.
Yeah kwamba ni kweli alikiwa na matatizo ya moyo lakini tatizo hilo pekee pengine lilikuwa weak kumtoa uhai, alikuwa na uwezo wa kufika hata 2030 akiwa yuko fit. Kama ambavyo alivyoweza kuishi hiyo miaka ya nyuma akiwa na tatizo hilo

So inawezekana corona ilikuja kuongezea nguvu ikamuondoa ila kwasababu alikuwa yuko kinyume na mataifa mengine kimsimamo kwenye corona wakaamua waseme kafa kwa moyo ili kumtunzia heshima
 
kweli kabisa
 

Now we are talking. The PSU needs reforms.

Kwanza, kipindi kama hiki cha vita ya uchumi , Corona and ku dispute Vaccines na kuwataka mabeberu ku invest kwenye madini ndani ya TZ badala ya kusafirisha,

kwa Intelligence makini ... JPM angetakiwa awe ni very hard to meet and see. But JPM wetu aliachiwa azurure kama mtoto wa kambo aliyekosa uangalizi wa wazazi.

Wapo busy na mabunduki, no one is giving a damn about guns now days.

Only technology can stop the truth. We have lost our truth.

Ishu lingine la msingi, what did PSU do technologically kwa kujua the president is holding a device which can be reprogrammed at distance?

Did they even know that the device can be recommended at a certain distance ? ... I don’t know [emoji2368]

Technology is making it easier and easier for fewer and fewer people to do greater and greater damage
 

Uwezo wako wa kung’amua mambo ni mdogo.

Pole.
 
Kwamba Tanzania haijawahi kuwa rafiki na China, we wa wapi? Wale ni jamaa zetu was kufa na kuzikana[emoji41]
Kumbuka kuwa jpm huyu huyu ndie aliwafukuzawachina ktk ile bandari ya bagamoyo waliopewa na jmk kukodishiwa miaka 30
 
Mdudu yule hakuna kingine ,Maalim alikutana na magu baada ya kama siku kadhaa maalim na crew yake wakaanza kuugua kovid19,kijazi ni mtu wa karibu sana na jpm.
Ujue nchi hii conspiracy hazijawahi kuisha, maalim seif alijitangaza kabisa kwamba anaumwa korona na akasisitiza watu wachukue taadhari mapema.

Lakink hiyo bado haikutosha, maalim alipofariki watu naskia wakaenda kuzoa mchanga kwenye kaburi lake wakisema wanaenda kuloga endapo kama kuna mtu alimsababishia kifo naye atakufa

Baada ya kifo cha magufuli wameanza kusambaza zile conspiracy kwamba kile kifo cha maalim ndio sababu magufuli kafariki.

Hii ndio tanzania Japo kuwa marehemu alikiri wazi kua ana korona lakini watu bado wanapinga kua alifanyiwa njama akauliwa
 
Kweli kabisa
 

Scientifically uwezekano huo haupo. Nimeeleza vema .
 
Hii make sense tangu tarehe 17 march 2021 tulipopata taarifa.

Ila ndugu mleta mada vipi upande wa pili makamanda wanasemaje?
 
labda covid imekuwa kama daraja la kutekeleza maana hata mwizi akitaka kuiba kwako ni lazima akusome kwanza na atafute chance ya kupenya
 

Nimeshauri,

1. Mnyororo wa PSU ndogo ujulikane. Na hili ni rahisi kuubaini kama watu wataamua. Tunaanza na yule aliyekuwa anapokea taarifa, very friendly na bila madhara na kumuhakikishia usalama wake anawekwa mtu kati tujue vyanzo vyake.

2. Baada ya kuwabaini... inafanyika elimination na clearance

3. Special Intelligence Task wanawekwa for that purpose.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…