Kama nimekuelewa vzr mkuu kwa huu uzi, unajua majuzi nilileta uzi ambao ulionekana wa kawaida kwa kuwa ulikuwa katika mfumo wa Code (Sauti kutoka chumba cha siri) ili kuufanya uishi na wachache waelewe kisha waeleze wengine, , , kwa bahati mbaya hata wale wachache hawakuwelewa.
Anya way niachane na nayo, Iko hivi kuwa na PSU ndani ya PSU siyo bongo tu, hiyo ilitokea Kwa Moi/Kenya bahati nzr akafanikiwa lkn Mugabe alishindwa mwishoni ingawa mwanzoni alifanikiwa kupenya.
Sasa nije nije kwako, unadhani hao Intelligence wabobezi wenye uwezo wa kufanya uchunguzi huo atatoka wapi? Nje au ndani?
Kama ni nje na unasema huwenda watu wa nje wamefanikisha kumuhujumu Jiwe je watatoa majibu ya kweli?
Na kama ni wa ndani na ndani ya PSU kuna Ka-PSU kadogo unadhani zoezi hilo litafanikiwa bila kutokea hujuma nyingine?
Mimi nadhani SSH kwa usalama wake anakila sababu ya kuijenga upya TISS lkn kusema mara ooh kuna viapo, viapo ni nini si yale maandishi tu mtu anasoma kisha kukabidhi file.