Agizachochote
Member
- Sep 29, 2020
- 34
- 464
Ilikuwa lazma afe ili ionekane aliye Karibu mzee amekufa na koronaNimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Engineer John Kijazi nacho kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator?
Msiba ukiisha watuwekee ripoti ya daktari kuonesha chanzo cha kifoMsiba ukiisha watuwekee na picha za magufuli akiwa hospitali.
Na watuambie kwanini walikuwa wanafanya siri.
Nani kasema Pacemaker inakufanya uishi milele? akili gani hizi?Haha hahah haha.
Magufuli alikuwa a walking dead, hakuwa na afya, alikuwa very much short tempered, alikuwa na dalili zote za kufika ukingoni mwa maisha.
Pacemaker haikufanyi uishi milele.
Pia Magufuli hakuwa threat kwa dunia hadi wamuue.
Kama PSU walijua njia rahisi ya adui kumdhuru raisi ni kupitia kudukua pacemaker yake, walichukua tahadhari gani kuiwekea Artificial Intelligene security Ili Kama iki sense kwamba inaingiliwa itoe taarifa?
Waliiwekea backup system gani ili kama ikiwa hacked backup ifa ye kazi?
Iliaminika kuwa huyo kiumbe ASINGEKUFA! Ndiyo maana "vibaraka" wake, walishaanza kufikiria aje kuwa mgombea wa U Rais kinyume cha Katiba yetu, kwenye uchaguzi mkuu wa 2025. Wala walikuwa hawafikirii kuwa chochote chaweza kutokea kabla ya mwaka huo.kifo ni wajibu wa kila mtu hivo hatuna budi kukubali ya kuwa muda alokuwa amepangiwa na Mungu kuishi hapa duniani umeisha. Tuache blaah blaah na conspiracies za ajabu sababu hakuna kitu chochote chenye uhai kitadumu hapa duniani
Mkuu unajua kupika Story sijapata kuona. Yaani pacemaker inayomsadia Mgonjwa wa Moyo kuratibu Umeme wa Moyo ni Mashine kama Simu, Computer, au???Hakuna sehemu nimesema Lissu kamuua Magu!
Conspiracy? YES!
Mabeberu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Hajabu ufipa hawalioni hilo
Sound Africa ndo nini ππππ Wenge baya sanaNitashangaa kama seriki ya CCM chini ya Mh Rais Samia inatamuacha Tundu Lissu salama bila kumwajibisha.Anatakiwa akamatwe atuambie hao waliyompa information ( from America and sound Africa) na Lengo Lao ilikuwa nini? Walijuaje?
Ingekuwa mimi condition ya kurudi Tanzania na kuitwa Mtanzania ni kuwataja hao informa wake.
Kwa hiyo ulijua Magu hatakufa? Mnatafuta sababu ya kumuua Lissu baada ya kushindwa jaribio la kwanza? Tafuteni vyanzo vingine Lissu hausiki na kifo cha mtu wenu mbishi na anayeamini ushirikina kuliko tiba za kisayansi.Hakuna sehemu nimesema Lissu kamuua Magu!
Conspiracy? YES!
Watu waliwekeza sana kwenye uchaguzi wa 2020 na walipoteza fedha zao nyingi.Nitashangaa kama seriki ya CCM chini ya Mh Rais Samia inatamuacha Tundu Lissu salama bila kumwajibisha.Anatakiwa akamatwe atuambie hao waliyompa information ( from America and sound Africa) na Lengo Lao ilikuwa nini? Walijuaje?
Ingekuwa mimi condition ya kurudi Tanzania na kuitwa Mtanzania ni kuwataja hao informa wake.
hata mimi nina wasi wasi Lisu kahusika, alijuaje rais anaumwa? akamatwe mara moja