Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 971
- 1,165
kimaono umesema ndugu..! pitia vizuru shauri lako utaona kwamba unafaa kabisa kuwa shahidi namba moja .Hakuna sehemu nimesema Lissu kamuua Magu!
Conspiracy? YES!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kimaono umesema ndugu..! pitia vizuru shauri lako utaona kwamba unafaa kabisa kuwa shahidi namba moja .Hakuna sehemu nimesema Lissu kamuua Magu!
Conspiracy? YES!
Mkuu, kama umemsoma vema mtoa mada ni wazi kuwa anajaribu kujenga hoja juu ya jambo lililo nyuma ya pazia. Atarudi kivingine kwa ID hii hii au nyingine.hiyo makala niliisoma vizuri.
lakini kuna point moja umeruka sehem. kifaa hicho mawimbi yakeni mafupi mno kiasi kwamba mtu lazima awe so close kuweza ku access hiko kifaa.
but in real sense. the way rais alifichwa. ilikuwa ni ngumu sana. kama PM na mawaziri hawakujua.. nani angemsogelea rais zaid ya walinzi wake na madkatari wa usalama?
plus tanzania hatufikia uwezo wa hacking kiasi hiko. bado tuna safari ndefu.
all in all our late president aliondoka kwa tatizo la moyo. hizi theory sijui ilikuwa hivi ilkkuwa vile hazimrudushia uhai.
wanausalama walishatoa sababu. Apumzike kwa amani
Sasa kama mabeberu wameweza kupita na prezdaa nini watashindwa kufanya?Mabeberu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Hajabu ufipa hawalioni hilo
Nani alikuambia barakoa inazuia corona mbwa wewe!? Mshipa wa shingo umekukomaaa barakoa barakoa.
Hebu eleza vizuri hiyo nguvu iliyo wekezwa ili kumuondoa mzee jiwe kwa njia ya kura.Hakuna sehemu nimesema Lissu kamuua Magu!
Conspiracy? YES!
Sikiliza ww usiejua ukiambiwa beberu......Hao mabeberu ambao hamuwataji tumawajua ni akina nani?? Binafsi nimechoka kusikia neno hilo bila kuwafahamu ni akina nani.
Ninakuomba sasa kama unavoweze kusema “malaria ni mbaya na husababishwa na mbu” niambie mmoja wa hawa mabeberu!
Je ndio hawa wakopeshaji, wahisani wa maendeleo, wasaidia bajeti? Watoa misaada ya kujenga barabara na miundombinu??
Really,very interesting story,and it should not be ignored...[emoji848]![]()
Fungulia tv yako uone kama nchi inafurahia . Ni dhahiri mnachokiona kinawachanganya.Covid19 imemsambaratisha meko..
Hii ndio iliingia ikavuruga na hiyo pacemaker yake..
Nchi nzima ina furaha.
Sijawahi kujitutumua. Kama huwa unajitutumua ni weweNani kasema Pacemaker inakufanya uishi milele? akili gani hizi?
wewe huna hiyo Pacemaker je utaishi milele?
Hayo maswali uliyoweka hapo ndio ulitakiwa ujiulize au uulize kabla ya kupinga jambo hilo toka mwanzo ili ueleweshwe na wataalamu,
Halafu tambua kua Hackers hawazuiliki kwenye kila kitu,kumbuka kua Russia wali hack uchaguzi wa US,huo ni mfano mmoja tu nimekupa,
Naona umeamua kujitutumua baada ya kukwambia ukweli.
Nini kimewafanya kuflip picha yake namna hiiInafikirisha zaidi baada ya kusoma makala iliyoandikwa na Tundu Lissu kupitia gazeti la Afrika ya Kusini liitwalo Maverick akidai alidokezwa kuhusu hali ya Rais Magufuli na chanzo cha ''uhakika'' kutoka Marekani tarehe 6 Machi.
Ukitaka kusoma makala hiyo gonga hapa;
Link>>> OP-ED: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli
Msiba ukiisha watuwekee ripoti ya daktari kuonesha chanzo cha kifo
Mbona hata wewe mkuu hujacomments chochote zaidi ya kumshambulia mwana jf mwenzie??Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa na uwezo wako wa kufikiri,ni vizuri ukajikita kua msomaji tu wa comments za wataalam au watu wenye uwezo wa uelewa wa mambo,
Sio kila thd inakuja hapa coz ya ushabiki,hii ni mada fikirishi inayohitaji utulivu na uelewa na sio tu kucomment kwa mihemko ya chuki ili na wewe uonekane umepinga ili upate kuchekewe na wenzako wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe.