jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
nitafungukia mahali na siku sawiaNani alimtageti funguka acha kulialia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nitafungukia mahali na siku sawiaNani alimtageti funguka acha kulialia
Kifo cha jpm kina usiri mkubwa mkuu huenda haya yanayosemwa sasa ni ya kweli.serikal siyo rahis kusema raisi alifanyiwa kitu na kikundi flani inakuwa aibu kubwa hata sabab za kiusalaama zinaweza kudharauliwa! Kuna mambo mengi utayaonaWasalaamu!
Kiukweli kifo cha JPM kimeniumiza sana kisaikolojia.
bado naendelea kutafuta ukweli juu ya kifo chake ndani na nje ya JF.
Kifo chake kinaweza kuwa sio cha kawaida!
So much informed but so much careful to conclude!
RiP Magufuli.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Walinzi walikuwa wapi. Nao waunganishwe na huyo muuaji unayemsema mkurugenzi wa usalama wa taifa alikuwa wapi? Who were in/on the security details wakati kifo cha magufuli kinatokea? Wanawajibishwaje?Mmoja Kati ya wauaji tayari ameshakamatwa tulieni.
Hebu soma thread wahed!Unashangaa nini sasa
Wakati watu wanamfananisha yeye na Mungu na wengine wanasema Mungu anapaswa kumshukuru yeye kwa kazi anayofanya,
Halafu yeye aliyasikia yote hayo ka kaa kimya tu. Ulitegemea nini sasa.
Ndio maana nikasema mtulie, upepo utamsomba Kila mtu aliyehusika hata Kama na yeye ameshakufaWalinzi walikuwa wapi. Nao waunganishwe na huyo muuaji unayemsema mkurugenzi wa usalama wa taifa alikuwa wapi? Who were in/on the security details wakati kifo cha magufuli kinatokea? Wanawajibishwaje?
I am out of here.
Karibu. Katizame Wrath of A Man itakusaidianitafungukia mahali na siku sawia
I dont work through moviesKaribu. Katizame Wrath of A Man itakusaidia
Mpango hayupo kwenye orodha?!Magufuli
Kijazi
Mangula
Ndugai
Polepole
Bashiru
ongezea mkuuMpango hayupo kwenye orodha?!
Asante mkuuSahihi mkuu usemalo
Ahahahaaaa kwa hiyo Mbowe ni mmiliki wa vyombo vya usalama nchini?Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?
Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Kwani Mungu aliwaambia huyo marehemu wenu angeishi muda gani?Wasalaamu!
Kiukweli kifo cha JPM kimeniumiza sana kisaikolojia.
bado naendelea kutafuta ukweli juu ya kifo chake ndani na nje ya JF.
Kifo chake kinaweza kuwa sio cha kawaida!
So much informed but so much careful to conclude!
RiP Magufuli.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Tatizo lenu mnadhani tutaendelea kwa kutumia mawazo ya mtu mmoja aliyepewa dhamana ya kuliongoza taifa.Spare part ya Magufuli ni January Makamba (he is a better version of him) take it from me.
Tofauti zao Magufuli ni determinant 80% akishaamua ata kama hayupo sahihi; January nae akishaamua ni 51% hizo asilimia zingine ni kwenye kumshauri njia sahihi.
Hila kwa hao watu wawili A means A hakuna negotiation; tofauti yao on how to achieve that goal one can compromise on the method the other doesn’t.
Haya yanayoendelea sasa kwenye siasa zetu it was coming; Magu wasn’t stupid. CDM hawajui siasa zaidi ya fujo (kuongelea hayo yanahitaji mjadala wa watu ambao kweli wanazijua siasa) vinginevyo ni kupoteza muda.
Tunarudi pale pale kuna mambo mengine you just have to do it, kama mama alivyoelewa kosa lake ni kubadili team ya ufundi it’s going to bite her; watch this space.
JK anatakiwa kuambia akae mbali na siasa social reforming policies are not easy; people’s thinking as to change.
But as we have learned atuandikii kila mtu kuelewa anymore only those with the perception.
The next best option is Makamba trust me yule jamaa pamoja na ushamba wake he can deduct merit of arguments.
Acha kuandika upumbavu unaumiza vidole vyako hivyo ungetumia kupiga punyeto na utamu ungepata kuliko kuandika gazeti lisilo na content hata kidogoJamani mama samia asipokua makini na Sukuma gang atakwama vibaya.
Yule mtangulizi alijiimarisha sana kikabila.
Kwenye vyombo vya dola aliwapanga vya kutosha.
Kwenye idara zote zenye maslahi aliwapanga na kwenye madaraka.
Sasa wanahofu ya kuona Mbowe anapigania katiba mpya wanahasira na jazba kubwa Kwa makabila ya jamii ya kina Mbowe. Wanachuli ya wazi kwa sababu Mbowe aliweka wazi kuwa wachaga walibaguliwa na mwenda zake.
Wale S. Gang waliopo kila kona na kila idara wanatumika kumdhibiti Mbowe na kikabila.
Katiba mpya ni muhimu sana.
Kenya vurugu zilizopelekea vifo vingi zilitokana na ukabila kwenye jeshi la polisi kuwashambulia wajaluo Mara kwa Mara kwa kuwamiminia risasi kila wanapohisi kuwa maandamano hayo yana wajaluo wengi. Mwishowe polisi wakasiokua Wakikuyu wakabaini kuwa ndugu zao wanauawa kwa chuki tu za wakikuyu dhudi ya wajaluo na makabila mengine.
Wakikuyu ni kabila kubwa kule Kenya ,lililoshika madaraka na kutaifisha Mali nyingi za wakaloni hasa ardhi na kujimilikisha huku makabisa mengine yakiwa kama watumwa na manamba kwenye nchi yao.
Hii hali ilikua inalinyemelea taifa letu kwa karibu sana.
Kuna watu walikua wameshajua kuwa wanakwenda kuimiliki hii nchi kama Mali yao kupitia madaraka. Hawa kwa muda mfupi walijilimbikizia Mali nyingi sana huku wakiwa wakiwa wanafilisi Mali za wale wasio wa makabila yao.
Mbowe alibainisha ukweli wa ukabila uluokua unafanywa kwa mgongo wa uzalendo. Hivyo lile genge lina chuki mbaya sana na Mbowe ndio maana wanatumia vyeo vyao na ukubwa wa lile genge kubambikizia makesi ya Ugaidi.
Wendazake alikua na ulinzi mkubwa sana.
Kumuua Rais sio jambo jepesi.
Ingekua ni jambo jespesi basi Museveni, Kagame, Mugabe wasingezeekea madarakani.
Ule ulinzi wa magufuli endapo Kuna ukweli kuwa aliuawa basi Tanzania hakuna MTU aliye na usalama kabisa mana ilikua ni vigumu mno kupanga njama yoyote ya kumhujumu yule Mwenda zake .
Alikua anafuatilia mpaka stori za mitaani. Hiyo njama ya kumuua ingefanywa na nani bila kubainika ?
Kila MTU alikua anamwogopa mwenzake nani angetoa hilo wazo na akawa salama au akajihakikishaia usalama.
.
Uchaguzi ulimdhoofisha sana na kosa kubwa alilofanya ni kufanya mambo yasiyo ya Haki huku akiwa anajua kuwa Mungu ni Mungu wa haki lakini alikua akiyatamka mdomoni kama kufurahisha watu huku akijua wazi kuwa anaikejeli nafsi yake na Mungu pia. Akajikuata anakosa amani moyoni na presha na matatizo ya moyo aliyokuwa nayo kama binadam yakikua yanamuumiza nafsi yake. Lakini alikua na Ukali unaoambatana na Chuki. Kuna watu alikua hawapendi kabisa ,kikabila na kisiasa. Chuki ikiambatana na ukali na hasira vinaleta magonjwa ya moyo.
Yule mkubwa hakuuawa na MTU yoyote ni maradhi tu na kutumia muda mwingi kuweka chuki moyoni na hasira.
Hata kamapeni zake zilikua sio zile za Pushapu mana alikua mgonjwa sana wakati wa kamapeni hata sura yake ilikua imefifia sana.
Msiwajengee Watu chuki kwa sababu ya kifo cha MTU maarufu.
Duh!!! Hata sijakuelewa nisisema uongo. Sijui hata ulitaka kuzungumzia kitu gani.Sasa anaetoa serikali kwenye dira ni kama sio wapinzani.
Uchaguzi unapoisha serikali inayochaguliwa ina mandate ya kuongoza kwa muda iliyopewa kwa mujibu wa katiba.
Raisi akisema hataki A ni mandate yake; wewe unapoenda kulazimisha makongamano, mikutano; hizo ni incitement politics. Uwezi kufanya ivyo marekani au kokote duniani.
Hayo mambo ndio mnayofanya kuitoa serikali kwenye focus.
Tatizo mama imemchukua muda kuelewa; hila huu mziki bado sasa keshajua kusimamia siasa bado uchumi.
It’s coming, hakutakiwa kubadili mambo na washauri aliowakuta. Ajitenge na JK mapema sana keshapitwa na wakati kwa Tanzania ya kesho.
The country needs social reformist, yaani unasoma shindano la JF 90% ya mada watu awajui ata kuandika academically na ni wahitimu wa chuo.
Yamkini una hoja nzuri lakini mtumizi ya lugha ni kichefuchefuSpare part ya Magufuli ni January Makamba (he is a better version of him) take it from me even if at personal level I detest the dude jamaa mshamba mno kujiona matawi sana but the fact remains his attitude is what Tanzania needs to change things.
Tofauti zao Magufuli ni determinant 80% akishaamua ata kama hayupo sahihi ni ivyo; January nae akishaamua ni 51% ni ivyo hizo asilimia 49% zingine ni kwenye kumshauri njia sahihi ya kufikia agenda. We need people like those who have an agenda to push the nation forward.
Hila similarity za hao watu wawili A means A hakuna negotiation; tofauti yao on how to achieve that goal one can compromise on the method the other doesn’t.
Haya yanayoendelea sasa kwenye siasa zetu it was coming; Magu wasn’t stupid. CDM hawajui siasa zaidi ya fujo (kuongelea hayo yanahitaji mjadala wa watu ambao kweli wanazijua siasa) vinginevyo ni kupoteza muda.
Tunarudi pale pale kuna mambo mengine you just have to do it, kama mama alivyoelewa kuna aina ya siasa fulani sio za kuzichekea kosa lake ni kubadili team ya ufundi ndani ya CCM it’s going to bite her eventually; watch this space.
JK anatakiwa kuambiwa akae mbali na siasa social reforming policies are not easy; people’s thinking as to change Tanzania kuna watu awajazoea utaratibu wa sheria iwe kwenye kulipa kodi au kutodhulumu haki za wengine.
But as we have learned atuandikii kila mtu kuelewa anymore only those with the perception.
The next best option is Makamba trust me yule jamaa pamoja na ushamba wake he can deduct merit of arguments. As yet kuna mambo ya kupuuzi anaamini you wonder what is wrong with this fool.
But is uncomprosing attitude with the right advisory team in terms of social reforming policies he is the right guy; someone needs to tell this fool though nigga please quit with this electronic trams and maniac environmental views which are not suitable for the world.