beny jr
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 849
- 1,168
Mwenye kiti wako ukiweka dau mezani hata wewe anakuua sio mtu yule nakwambiaHahahaaaa mtu amekufa kwa magonjwa yake ya kudumu muanze kumsingizia Mbowe CCM mnashekesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye kiti wako ukiweka dau mezani hata wewe anakuua sio mtu yule nakwambiaHahahaaaa mtu amekufa kwa magonjwa yake ya kudumu muanze kumsingizia Mbowe CCM mnashekesha sana
Umenikumbusha na Kabudi alivyo kua akinena.
Jingalao naomba usinirudishie machungu ni huyu huyu mwamba wa kaskazin?very soon my dearheart mama D
Hahaha! Kama rais wa nchi aliuawa na Mbowe basi kweli huyo rais alikuwa mshamba!!Hafi kwa Taarifa yako.
This time hachomoki utauaje viongozi wa serikali tena wakubwa [emoji15][emoji15][emoji15][emoji33]
Tutajua tu na tutawatendeaa haki wahusika.ipo thread yangu iliyofutwaJingalao naomba usinirudishie machungu ni huyu huyu mwamba wa kaskazin?
unatengeneza justification?Akili zikiwa ndogo haziwezi kupambanua mambo sawasawa.
Magufuli kifo chake kilianzia kwenye kampeni. Alikuwa na mzigo mkubwa sana wa kujibu mengi mabaya aliyo yatengeneza yeye mwenyewe
Upotevu wa 1.5tril..
Lisu kushambuliwa akitarajia kuokota maiti halafu anakuja kukutana nae kwenye kambeni
Ben saanane kupotezwa
Fedha za dhuluma za watanzania
Watu kutiwa ndani kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi
Maalah aliyokandamiza ya watumishi wa umma
Kwa yote hayo lazima moyo uende kasi na umri wake na tatizo la moyo la siku zote alilokuwa nalo...
Unatarajia nini kama sio kwenda gereji wakati wa kampeni na kulazimisha mapumziko hadi ya siku tano katikati ya kampeni? Fikirisha akili zako vyema
Nakutazamisha kama wewe ulivyo na mtazamo kuwa aliuwawa.unatengeneza justification?
Katika binadamu sijawahi muamini ni mwenyekitiTutajua tu na tutawatendeaa haki wahusika.ipo thread yangu iliyofutwa
so that is your scapgoat??Nakutazamisha kama wewe ulivyo na mtazamo kuwa aliuwawa.
Trace back miezi kadhaa kabla ya kifo chake alikuwa na hali gani? Kwanini akatishe kampeni mara kwa mara? Kifo cha mtu ambaye ana special treatment kama magufuli kisingekuja tu ghaflaghafla
Hajawahi katika kampeni hata siku moja kampeni alizohilisha ni zile kama kuna ugeni wa kitaifa ukweli utajurikana sio mda mrefuNakutazamisha kama wewe ulivyo na mtazamo kuwa aliuwawa.
Trace back miezi kadhaa kabla ya kifo chake alikuwa na hali gani? Kwanini akatishe kampeni mara kwa mara? Kifo cha mtu ambaye ana special treatment kama magufuli kisingekuja tu ghaflaghafla
Scapegoat? Who? what?so that is your scapgoat??
Hivi hukumbuki kauli kuwa magufuli amelazimika kupelekwa gereji? Au wakati huo ulikuwa bize na assignments za wakufunzi chuo?Hajawahi katika kampeni hata siku moja kampeni alizohilisha ni zile kama kuna ugeni wa kitaifa ukweli utajurikana sio mda mrefu
You can guess who and what!Scapegoat? Who? what?
Leta huo uthibitisho hapa chuma kilikua ngangali mda woteHivi hukumbuki kauli kuwa magufuli amelazimika kupelekwa gereji? Au walati huo ulikuwa bize na assignments za wakufunzi chuo?
All the best. By the time you know the truth itll be too late to do anything ni sawa tu na ukweli wa wapi alipo bem saanane ukijulikana hakutakuwa na cha kufanya kwasababu huwenda waliohuska wote hawapo duniani au yule aliye taja swala la karakana ya ibilisi bwana lengai anajua walikoYou can guess who and what!
let us do in Tanzanian way!
Fiti na "pesimeka kwenye moyo?" Utakuwa unatania weweLeta huo uthibitisho hapa chuma kilikua ngangali mda wote
stay on JF we will let you undetstand the bigger pictureAll the best. By the time you know the truth itll be too late to do anything ni sawa tu na ukweli wa wapi alipo bem saanane ukijulikana hakutakuwa na cha kufanya kwasababu huwenda waliohuska wote hawapo duniani au yule aliye taja swala la karakana ya ibilisi bwana lengai anajua waliko