Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Akili zikiwa ndogo haziwezi kupambanua mambo sawasawa.
Magufuli kifo chake kilianzia kwenye kampeni. Alikuwa na mzigo mkubwa sana wa kujibu mengi mabaya aliyo yatengeneza yeye mwenyewe

Upotevu wa 1.5tril..

Lisu kushambuliwa akitarajia kuokota maiti halafu anakuja kukutana nae kwenye kambeni

Ben saanane kupotezwa

Fedha za dhuluma za watanzania
Watu kutiwa ndani kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi
Maslah aliyokandamiza ya watumishi wa umma

Kwa yote hayo lazima moyo uende kasi na umri wake na tatizo la moyo la siku zote alilokuwa nalo...

Unatarajia nini kama sio kwenda gereji wakati wa kampeni na kulazimisha mapumziko hadi ya siku tano katikati ya kampeni? Fikirisha akili zako vyema
 
Akili zikiwa ndogo haziwezi kupambanua mambo sawasawa.
Magufuli kifo chake kilianzia kwenye kampeni. Alikuwa na mzigo mkubwa sana wa kujibu mengi mabaya aliyo yatengeneza yeye mwenyewe

Upotevu wa 1.5tril..

Lisu kushambuliwa akitarajia kuokota maiti halafu anakuja kukutana nae kwenye kambeni

Ben saanane kupotezwa

Fedha za dhuluma za watanzania
Watu kutiwa ndani kubambikiwa kesi za uhujumu uchumi
Maalah aliyokandamiza ya watumishi wa umma

Kwa yote hayo lazima moyo uende kasi na umri wake na tatizo la moyo la siku zote alilokuwa nalo...

Unatarajia nini kama sio kwenda gereji wakati wa kampeni na kulazimisha mapumziko hadi ya siku tano katikati ya kampeni? Fikirisha akili zako vyema
unatengeneza justification?
 
unatengeneza justification?
Nakutazamisha kama wewe ulivyo na mtazamo kuwa aliuwawa.

Trace back miezi kadhaa kabla ya kifo chake alikuwa na hali gani? Kwanini akatishe kampeni mara kwa mara? Kifo cha mtu ambaye ana special treatment kama magufuli kisingekuja tu ghaflaghafla
 
so that is your scapgoat??
 
Nakutazamisha kama wewe ulivyo na mtazamo kuwa aliuwawa.

Trace back miezi kadhaa kabla ya kifo chake alikuwa na hali gani? Kwanini akatishe kampeni mara kwa mara? Kifo cha mtu ambaye ana special treatment kama magufuli kisingekuja tu ghaflaghafla
Hajawahi katika kampeni hata siku moja kampeni alizohilisha ni zile kama kuna ugeni wa kitaifa ukweli utajurikana sio mda mrefu
 
Hivi hukumbuki kauli kuwa magufuli amelazimika kupelekwa gereji? Au wakati huo ulikuwa bize na assignments za wakufunzi chuo?
 
Hivi hukumbuki kauli kuwa magufuli amelazimika kupelekwa gereji? Au walati huo ulikuwa bize na assignments za wakufunzi chuo?
Leta huo uthibitisho hapa chuma kilikua ngangali mda wote
 
You can guess who and what!
let us do in Tanzanian way!
All the best. By the time you know the truth itll be too late to do anything ni sawa tu na ukweli wa wapi alipo bem saanane ukijulikana hakutakuwa na cha kufanya kwasababu huwenda waliohuska wote hawapo duniani au yule aliye taja swala la karakana ya ibilisi bwana lengai anajua waliko
 
stay on JF we will let you undetstand the bigger picture
 
Back
Top Bottom