Kifo cha jpm kina usiri mkubwa mkuu huenda haya yanayosemwa sasa ni ya kweli.serikal siyo rahis kusema raisi alifanyiwa kitu na kikundi flani inakuwa aibu kubwa hata sabab za kiusalaama zinaweza kudharauliwa! Kuna mambo mengi utayaona
 
Mmoja Kati ya wauaji tayari ameshakamatwa tulieni.
Walinzi walikuwa wapi. Nao waunganishwe na huyo muuaji unayemsema mkurugenzi wa usalama wa taifa alikuwa wapi? Who were in/on the security details wakati kifo cha magufuli kinatokea? Wanawajibishwaje?

I am out of here.
 
Unashangaa nini sasa

Wakati watu wanamfananisha yeye na Mungu na wengine wanasema Mungu anapaswa kumshukuru yeye kwa kazi anayofanya,

Halafu yeye aliyasikia yote hayo ka kaa kimya tu. Ulitegemea nini sasa.
Hebu soma thread wahed!
 
Walinzi walikuwa wapi. Nao waunganishwe na huyo muuaji unayemsema mkurugenzi wa usalama wa taifa alikuwa wapi? Who were in/on the security details wakati kifo cha magufuli kinatokea? Wanawajibishwaje?

I am out of here.
Ndio maana nikasema mtulie, upepo utamsomba Kila mtu aliyehusika hata Kama na yeye ameshakufa
 
Daktari aweza elezea namna ya kifo cha pacemaker inapokosa nguvu
 
Lisu alikuwa anapewa na nani taarifa za kwamba Magufuli anaumwa na hatapona?

Bila shaka laptop za mbowe zilizokamatwa zimesema mengi kuhusu kundi la kigaidi.
Ahahahaaaa kwa hiyo Mbowe ni mmiliki wa vyombo vya usalama nchini?
 
Kwani Mungu aliwaambia huyo marehemu wenu angeishi muda gani?
 
Tatizo lenu mnadhani tutaendelea kwa kutumia mawazo ya mtu mmoja aliyepewa dhamana ya kuliongoza taifa.

Kinachotuumiza watanzania ni kutokua na dira kama taifa. Yaani hatujui tuanze na lipi ili tuje tumalize na lipi. Ndio maana kila kiongozi anayekuja anakuja na dira yake.

Mimi nafikiri umasikini na ujinga wa watanzania ndio mtaji waa viongozi. Ndio maana hawataki mifumo mipya ya kiutawala. Wanatumia nguvu kupambana na raia wanaoonyesha kuwasanua au kuwafungua akili wenzao.

Hivi kweli mpaka leo hii tunaongelea issue za maji, mashimo ya vyoo, madarasa, madawati, zahanati, barabara?????

Yaani hakuna hata kimoja chenye unafuu????

Mbali ya hayo, hivi sasa tunaanza kupambana na issue za ajira.. hivi mnadhani tutafika kweli kwa mtindo huo.?

Kwa akili zangu za darasa la pili, naona ni bora tukawa na dira ya taifa. Hiyo dira iwe ndio mwongozo wa kila kiongozi atakaye ingia madarakani. Hii kumpima mtu mmoja mmoja kwa maamuzi yake yeye mwenyewe ndiko kunakotuchelewesha
 
Jamani mama samia asipokua makini na Sukuma gang atakwama vibaya.
Yule mtangulizi alijiimarisha sana kikabila.
Kwenye vyombo vya dola aliwapanga vya kutosha.
Kwenye idara zote zenye maslahi aliwapanga na kwenye madaraka.

Sasa wanahofu ya kuona Mbowe anapigania katiba mpya wanahasira na jazba kubwa Kwa makabila ya jamii ya kina Mbowe. Wanachuli ya wazi kwa sababu Mbowe aliweka wazi kuwa wachaga walibaguliwa na mwenda zake.

Wale S. Gang waliopo kila kona na kila idara wanatumika kumdhibiti Mbowe na kikabila.

Katiba mpya ni muhimu sana.
Kenya vurugu zilizopelekea vifo vingi zilitokana na ukabila kwenye jeshi la polisi kuwashambulia wajaluo Mara kwa Mara kwa kuwamiminia risasi kila wanapohisi kuwa maandamano hayo yana wajaluo wengi. Mwishowe polisi wakasiokua Wakikuyu wakabaini kuwa ndugu zao wanauawa kwa chuki tu za wakikuyu dhudi ya wajaluo na makabila mengine.
Wakikuyu ni kabila kubwa kule Kenya ,lililoshika madaraka na kutaifisha Mali nyingi za wakaloni hasa ardhi na kujimilikisha huku makabisa mengine yakiwa kama watumwa na manamba kwenye nchi yao.

Hii hali ilikua inalinyemelea taifa letu kwa karibu sana.
Kuna watu walikua wameshajua kuwa wanakwenda kuimiliki hii nchi kama Mali yao kupitia madaraka. Hawa kwa muda mfupi walijilimbikizia Mali nyingi sana huku wakiwa wakiwa wanafilisi Mali za wale wasio wa makabila yao.
Mbowe alibainisha ukweli wa ukabila uluokua unafanywa kwa mgongo wa uzalendo. Hivyo lile genge lina chuki mbaya sana na Mbowe ndio maana wanatumia vyeo vyao na ukubwa wa lile genge kubambikizia makesi ya Ugaidi.

Wendazake alikua na ulinzi mkubwa sana.
Kumuua Rais sio jambo jepesi.
Ingekua ni jambo jespesi basi Museveni, Kagame, Mugabe wasingezeekea madarakani.

Ule ulinzi wa magufuli endapo Kuna ukweli kuwa aliuawa basi Tanzania hakuna MTU aliye na usalama kabisa mana ilikua ni vigumu mno kupanga njama yoyote ya kumhujumu yule Mwenda zake .

Alikua anafuatilia mpaka stori za mitaani. Hiyo njama ya kumuua ingefanywa na nani bila kubainika ?
Kila MTU alikua anamwogopa mwenzake nani angetoa hilo wazo na akawa salama au akajihakikishaia usalama.
.
Uchaguzi ulimdhoofisha sana na kosa kubwa alilofanya ni kufanya mambo yasiyo ya Haki huku akiwa anajua kuwa Mungu ni Mungu wa haki lakini alikua akiyatamka mdomoni kama kufurahisha watu huku akijua wazi kuwa anaikejeli nafsi yake na Mungu pia. Akajikuata anakosa amani moyoni na presha na matatizo ya moyo aliyokuwa nayo kama binadam yakikua yanamuumiza nafsi yake. Lakini alikua na Ukali unaoambatana na Chuki. Kuna watu alikua hawapendi kabisa ,kikabila na kisiasa. Chuki ikiambatana na ukali na hasira vinaleta magonjwa ya moyo.

Yule mkubwa hakuuawa na MTU yoyote ni maradhi tu na kutumia muda mwingi kuweka chuki moyoni na hasira.
Hata kamapeni zake zilikua sio zile za Pushapu mana alikua mgonjwa sana wakati wa kamapeni hata sura yake ilikua imefifia sana.

Msiwajengee Watu chuki kwa sababu ya kifo cha MTU maarufu.
 
Acha kuandika upumbavu unaumiza vidole vyako hivyo ungetumia kupiga punyeto na utamu ungepata kuliko kuandika gazeti lisilo na content hata kidogo
 
Duh!!! Hata sijakuelewa nisisema uongo. Sijui hata ulitaka kuzungumzia kitu gani.

Mimi nimesema inatakiwa tuwe na dira. Yaani mwongozo. Tujue tunaanza na lipi na tutamaliza na lipi.

Hii ya kusema anakuja huyu anaanza kujenga uchumi, sijui huyu anaanza kusimamia siasa, mara yule ataanza na ndege, yule kule yeye ni shule.....kamwe hatutafika popote.

Labda kama kufanya hivyo ni mipango ya wanaotawala ili wasitutoe hapa tulipo ili tuendelee kuwa wajinga watutawale zaidi
 
Yamkini una hoja nzuri lakini mtumizi ya lugha ni kichefuchefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…