Mkuu, kama umemsoma vema mtoa mada ni wazi kuwa anajaribu kujenga hoja juu ya jambo lililo nyuma ya pazia. Atarudi kivingine kwa ID hii hii au nyingine.
 
Acha upuuzi na kupandikiza chuki, Rais amefariki kifo ambacho ni mpango wa Mungu, tumuombee huko aendako.

Yale aliyofanya wakati wa utawala wake tunamshukuru, mengine aliyotukosea ikiwa ni sehemu ya mapungufu ya mwanadamu mimi nilishamsamehe.

Nataka ujue kwamba itachukua miongo mingi kumpata mtu kama Magufuli. Sio lazima ukubaliane na maoni yangu.
 
Una akili kubwa sana aisee.

Ulichoandika nimekiwaza sana japo mi niliwaza zaidi kwenye sumu, huku nikiwaza bila majibu kuwa ni nani na kwa njia gani hata sumu imfikie Mheshimiwa mwenye walinzi lukuki.

Umesema vizuri, nisaidie hili, ina maana hicho chombo kingeweza kudukuliwa even from far?

Umesema doctors walitia shaka au waligundua hilo, je haikuwa rahisi kukibadili chap ?

Anyways hakuna mtu anayependa mtu afe kwa vyovyote ila kifo cha huyu Mheshimiwa ni very challenging.
 
Msianze ramli kimsingi alikua na afya mgogoro period. Kwa wenzetu huku ambao wameendelea ni nadra sana mtu kupewa madaraka makubwa ya nchi kama afya yake mgogoro lakini miafrika ndio tulivyo sio ajabu. na kama alipandikizwa hicho kiberti na hao mnaowaita mabeberu wangeshindwa nini ku trace alipo na kama hata ingewezekana kukizima kiberti chao kwa satelite , sisi tusijifanmye wajanja mzungu katuzidi kila kitu tukubali ama tukatae , maana hata huo upasuaji na kuwekea hiko kiberti walifanya wao otherwise angeshakwenda sikunyingi, na kama wangemhitaji kwao its too simple take it from me watu wanatumia DNA kumtrace mtu aliko itakua hicho kimashine cha umeme.
 
Nani alikuambia barakoa inazuia corona mbwa wewe!? Mshipa wa shingo umekukomaaa barakoa barakoa.

Uzuri ni kuwa unakiri kuna corona. Badala ya kumfokea jamaa, ingependeza kama ungesema ni njia ipi inazuia corona. Au unasema hakuna namna tutaepuka corona na itatufikia sote??

Nisaidie mkuu.
 
Sikiliza ww usiejua ukiambiwa beberu......
ujue mengi ni mazungu kupitia makampuni yao bado wana maslahi ya kinyonyaji nchi za Africa ie kwenye madini na raw material mbalimbali...
we call them (economic hitmen)......
akili yako ndogo hata kujua vitu vya wazi kama hivi huwezi......
alafu angalia hiyo paragraph yako ya mwisho inakuchora balaa! stupid
 
Sijawahi kujitutumua. Kama huwa unajitutumua ni wewe
 
Mbona hata wewe mkuu hujacomments chochote zaidi ya kumshambulia mwana jf mwenzie??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…