Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Ulitaka kusemaje ndugu mtoa mada? unaelezea habari za Lissu kupata habari na kuwabarisha watanzania au? kama serikali na wasemaji wake walishindwa kutuambia alipo Rais wetu baadae wanatutangazia kifo utadhani kimetokana na ajali...tuna viongozi wajinga sana.
 
so you admit ni conspiracy? okay so its not real.
lissu yeye alipata formal information kuwa rais ana hali mbaya.. baadae akiwa ameondoka. sio eti kama hacked. ameondoka na nn na nn sababu hapo hakujua.

so badala ya ku stick kutunga empty theories na whitch hunt hapa..
tumuenzi kwa mazuri aliyotenda our late president.
Screenshot (65).png
 
Kwamba lissu aliwahakikishia angemtoa magu kwa box la kura au maandamano
Unadhani alirudi Tanzania kufanya nini na baada ya uchaguzi na kutofanikiwa kwa maandamano alifanya nini?
Akili za kuambiwa...
 
Ukisoma hii makala inafikirisha sana. Lisu kaandika hii makala anasema taarifa za kuumwa na kifo cha Magufuli alipata Kuanzia tarehe 6 march.. Taarifa alizipata kutoka USA.. Baadaye South Africa.

Swala ni kwamba nani alimuambia Lisu na why Lisu..

Soma hapa alichoandika lisu.
www.dailymaverick.co.za
OP-ED: Tanzania’s five years of devastation under the presidency of John Pombe Magufuli
Africa did not mourn the passing of Idi Amin, Bokassa, Mobutu Sese Seko or, more recently, Robert Mugabe. It should not be mourning John Magufuli, a vicious tyrant who, with crude anti-imperialist phrase-mongering, masqueraded as a great African patriot while terrorising his countrymen and women...
www.dailymaverick.co.za www.dailymaverick.co.za

Huyu mtu aliyetoa taarifa kwa Lisu ni nani!
Kifaa cha pacemaker (kwa moyo) kinaweza kudukuliwa.. Au walidukua kifaa.
Je hii ni mission ya wakubwa duniani..
Attachments
Screenshot_20210324_004502_com.android.chrome.jpg
 

Attachments

  • Screenshot_20210324_004518.jpg
    Screenshot_20210324_004518.jpg
    110.4 KB · Views: 18
Jamaa afya yake ni mbovu siku zote. Kipindi cha kampeni alikuwa na mapumziko mengi, pia alikuwa akizungukwa na mashine za kiyoyozi.
Hamna mtu wa kudukua pacemaker yake.
Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa na uwezo wako wa kufikiri,ni vizuri ukajikita kua msomaji tu wa comments za wataalam au watu wenye uwezo wa uelewa wa mambo,

Sio kila thd inakuja hapa coz ya ushabiki,hii ni mada fikirishi inayohitaji utulivu na uelewa na sio tu kucomment kwa mihemko ya chuki ili na wewe uonekane umepinga ili upate kuchekewe na wenzako wenye uwezo mdogo wa kufikiri kama wewe.
 
Back
Top Bottom