Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,503
- Thread starter
- #21
Ufipa ni kina nani?Mabeberu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Hajabu ufipa hawalioni hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufipa ni kina nani?Mabeberu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Hajabu ufipa hawalioni hilo
Corona ipo na inaua! Jikinge!Kama hamtakuwa wakweli kuhusu Corona mtawapoteza wengi
Hicho kifaa aliwekewa na hao hao mabeberuMabeberu ni hatari kwa ustawi wa taifa letu
Hajabu ufipa hawalioni hilo
so you admit ni conspiracy? okay so its not real.
lissu yeye alipata formal information kuwa rais ana hali mbaya.. baadae akiwa ameondoka. sio eti kama hacked. ameondoka na nn na nn sababu hapo hakujua.
so badala ya ku stick kutunga empty theories na whitch hunt hapa..
tumuenzi kwa mazuri aliyotenda our late president.
Nani alikuambia barakoa inazuia corona mbwa wewe!? Mshipa wa shingo umekukomaaa barakoa barakoa.Jitu limekufa kwa korona bado mnapamba pamba huku Samia na viongoz wengine wakitamba bila barakoa ili baadae mje na story zingine ikiwaondoa.
Watanzania imekuaje tumekua wajinga hivi??
Tanzania hakuna kolona nasema uongo ndugu?Nani alikuambia barakoa inazuia corona mbwa wewe!? Mshipa wa shingo umekukomaaa barakoa barakoa.
Unadhani alirudi Tanzania kufanya nini na baada ya uchaguzi na kutofanikiwa kwa maandamano alifanya nini?Kwamba lissu aliwahakikishia angemtoa magu kwa box la kura au maandamano
Kuna uwezekano Lissu hakujua kinachoendelea bali aliambiwa tu kilichotokea ili kuhabarisha Watanzania na dunia!hata mimi nina wasi wasi Lisu kahusika, alijuaje rais anaumwa? akamatwe mara moja
Kama ni hivyo basi sote tupigie mbinja na kuimba "Lissu hoyeeeee!"Unadhani alirudi Tanzania kufanya nini na baada ya uchaguzi na kutofanikiwa kwa maandamano alifanya nini?
Akili za kuambiwa...
Hizi ni kauli za wasio na akiliKila nafsi itaonja mauti, hayo mengine ni hadithi tu, uongo njoo utamu kolea.
Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa na uwezo wako wa kufikiri,ni vizuri ukajikita kua msomaji tu wa comments za wataalam au watu wenye uwezo wa uelewa wa mambo,Jamaa afya yake ni mbovu siku zote. Kipindi cha kampeni alikuwa na mapumziko mengi, pia alikuwa akizungukwa na mashine za kiyoyozi.
Hamna mtu wa kudukua pacemaker yake.