Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Mada ni fikirishi kidogo ila ufuasi wa vyama na was mtu unapelekea fikra chanya kwenye mada hii kukosekana.
Kifo cha mh kimekua in ghafla mno na kumekuwepo makosa makubwa huko serikalini na ndiko kuliko pelekea kuvuja kwa taarifa mbaya.
Lakini ukweli ni kwamba mh hayupo tena, na sababu zilizopelekea kutokuwepo kwake zinaweza kua no nyingi sana za kawaida na zisizo kua za kawaida. Lakini zote zitahimiswa kwamba mzee hayupo.
Ajaliwe furaha ya milele.