Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Hio makala inasema lisu alipata taarifa toka vyanzo vya marekani
 
Mimi kwa sehemu nakubaliana na wewe katika yafuatayo:
1. Wale wanaCCM waliokuwa wamebeba agenda ya kutoa hoja bungeni ya kumwongezea muda huyu ndugu yetu ilikuwa ni ya hatari kubwa kwa maisha ya huyu ndugu kwa watu wa ndani na nje ya Chama,pia kwa watu wa ndani na nje ya nchi. Ndani ya chama walijua kabisa hakuna wa kumzuia huyu ndugu kwa chochote atakachoamua. Kumbuka ndani ya chama kuna waliokuwa wanajiandaa kumpokea mwaka 2025. Sasa huu mpango wa kumuongozea muda jamaa walijua utapita tu maana hata Ndugai aliahidi kuwaunga mkono. Eti atake asitake ataendelea. Walifikiri wanampenda kumbe wanahatarisha maisha yake.
2. Siri za afya yake na kwamba kumbe anaishi kwa msaada wa betri zilivujishwa na watu wake wa ndani kabisa. Hawakupenda aina yake ya uongozi maana haikutabirika. Hakuna aliyekuwa na uhakika wa kibarua chake. Hivyo wakati wote walimtafuta mwenye uwezo wa "kuchomoa betri" hiyo.
3. Hiyo tarehe 6/3/2021 alipoenda hospitali umma haukutangaziwa. Watu wake wa ndani tu ndio waliojua. Hiyo siri ilivujaje? Ndiyo maana huwa tunashauri kiongozi usipende sana kutengeneza maadui, watakumaliza. Hivi nani mwenye uhakika kwamba Lissu hana ndugu zake au watu wake ndani ya mfumo wa serikali (system)?
 
Ni wapi wametulazimisha tufanye wanavyotaka?
wapi lini na nani alisema tufanye wanavyotaka?

Kila mtu ana deal na njia yake ya kuzima moto. wapo watakao tumia maji? watakao tumia mchanga,wengine majani?
mimi sina shida na njia tutakazo tumia. but are they effective?

I dont care wanatuonaje, wanatuchukuliaje, kila.mtu ana different view.

Naona umetolea mfano south africa. umeangalia latest charts za maambukizi na vifo?
za mwanzoni na sasa?

Ni vema uje na facts na data tuka discuss kitalaam kuliko mihemko na hasira. havitosaidia
 
So you admit ni conspiracy? okay so its not real.

Lissu yeye alipata formal information kuwa rais ana hali mbaya.. baadae akiwa ameondoka. sio eti kama hacked. ameondoka na nn na nn sababu hapo hakujua.

So badala ya ku stick kutunga empty theories na whitch hunt hapa..
tumuenzi kwa mazuri aliyotenda our late president.
Kwanini tusimuenzi kwa kujifunza mabaya aliyoyafanya ili tusiyafanye? kwanini mnapenda kuyakumbuke mazuri tu? hata mabaya tuyazingatie ili mazuri tufanye na mabaya yake tusiyarithi hata chembe.
 
ni wapi wametulazimisha tufanye wanavyotaka?
wapi lini na nani alisema tufanye wanavyotaka?

kila mtu ana deal na njia yake ya kuzima moto. wapo watakao tumia maji? watakao tumia mchanga,wengine majani?
mimi sina shida na njia tutakazo tumia. but are they effective?

i dont care wanatuonaje, wanatuchukuliaje, kila.mtu ana different view.

naona umetolea mfano south africa. umeangalia latest charts za maambukizi na vifo?
za mwanzoni na sasa?

ni vema uje na facts na data tuka discuss kitalaam kuliko mihemko na hasira. havitosaidia

You are asking me where and who is forcing us to implement their scientific ways to combat corona, like seriously binamu, hili ndo swali la kuniuliza?

Unaniambia nije na data, I’m sorry I’m too busy at work now , mtu akitaka statistics they will find them on google , it’s free.

Msijifanye njia zenu ndo sahihi kuliko za wengine, kila mtu apambane na hali yake maisha yaendelee tusipangiane cha kufanya, kuvaa mask kutovaa that’s a personal choice
 
Conspiracy theories thrive where there is a void of open information.
Watu wana speculate!

Tunaambiwa tuvae barakoa , watu hawasikii, halafu watu wengi wanakufa tunafikiri kuna mkono wa mtu!
Ujinga mtupu!
"Never assume conspiracy when stupidity is an adequate explanation."

Bado ndugu zetu Watanzania ni wapumbavu sana sababu ya elimu duni wanayopewa na CCM
 
You are asking me where and who is forcing us to implement their scientific ways to combat corona, like seriously binamu, hili ndo swali la kuniuliza?

Unaniambia nije na data, I’m sorry I’m too busy at work now , mtu akitaka statistics they will find them on google , it’s free.

Msijifanye njia zenu ndo sahihi kuliko za wengine, kila mtu apambane na hali yake maisha yaendelee tusipangiane cha kufanya, kuvaa mask kutovaa that’s a personal choice
unachokosea binamu ni kumesma "mna mna mna"
pls unijumuishe kwenye kundi lolote.. maana sipo upande wa mtu yoyote au chama chochote. juat a concerned citizen.

and yes, instead of running around why usiwe was who is forcing us?
maana umetumia "force" means tunalazimishwa.
by who?

i mean kuna jumuia au taasis inasema tz itawekea sanctions kama isipofuata taratib za kupambana na covid?
kuna taasisi ,jumuia au shirika linasema tz inawekewa vikwazo vya kiuchumi? vikwanzo vya kielimu, kibiashara.. in nyanja zote kama hatutofuata taratibu zao?

lakin pia natana nikuulize swali. yes sisi tuna approach yetu ya ku deal na huu ugonjwa. yes but is it working? is it effective?
 
Huu ni uchonganishi tu, kifo kikifika husemwa mengi sio KWA rais tu bali hata KWA watu wakawaida,
Umeandika sawa so wamanisha hata prof dactari wake unafikili halikua hajui, na je unafikili rais ni mtu mdogo kwamba atibiwe sehem za mchezo mchezo,mpaka kuwatwika lawama wasaidizi wake,? Na je ni rais pekee kufa akiwa madarakani,
Tangu mwanadam atokapo tumboni mwa mama yake,kifo chake,aina ya kifo ilishaandikwa that's tunasema mungu ni fundi,hachana na Mambo haya hoja hapa kumuomba mungu roho ya marehem kupumzika panapo stahili
 
Achanen na mambo ya kipuuzi,hivi alikua na maujiza gani amefanya majitu mmekua mizombie,mijitu yote mmekua kama miendwazamu msioweza hata kufikiri.Yaani mnawafanya maraisi wengine hawakufanya kitu kwa sbb tu mlinufaika na utawala wake.Kaulo ya ms president kwamba yeye ndio rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania alikua anawapa taarifa mizombie ya marehem,mpk ss hamuamini kama amekufa wala kutakua na mwingine.Mlikua mifuasi mipumbavu sana msioweza hata kutumia common sense ni kuabudu tu.Rubbish kabisa
Umeua, pata soda kwa mangi nitalipa
 
Ona mjinga mwingine hapa. Watu walikufa tangu corona iingia Tanzania ni wachache? Viongozi na watu muhimu waliokufa ni wachache? Huoni imepiga mpka ikulu na kumuua rais? Nyie mlisomea shule gani zinatoa watu wajinga na wapumbavu namna hii? Ona unavyosema ujinga ule ule wa Marehemu eti kifi kilikuwepo na kitakuwepo! Sasa kama kifo kipo ndiyo tuwe wazembe na watu wafe tu kwa coroina? Ujinga mwingine bwana!
 
Hakuna sehemu nimesema Lissu kamuua Magu!

Conspiracy? YES!
Kafa kwa magonjwa acheni kutengeneza uongo
Eti imehujumiwa mbona mnakuwa na fikra potofu kiasi hiki au mnataka muanze kujichotea pesa mnasema mnachunguza
Chunguzeni shambulio la Lissu Azory Ben Saanane ndipo turudi kwenye hili (ambalo ni kupoteza muda- natural death - Cause: sickness period)
 
Sina hakika kama kuna KIFO cha Mwafrika/Mtanzania ambacho hua hakina SABABU; ni vile tu wewe umesoma but ungekua bado upo kule USUKUMAN (nasema usukumani kwasababu ya jina lako ) lazima KIFO hiki kingehusishwa na UCHAWI. Sometimes tukubali pia kuna kitu inaitwa natural death, muda wa kua na mpendwa wetu duniani ndio huo umefika mwisho, kuendelea kuchunguza sana bado hakumrudishi duniani, he is gone. Tusonge mbele na maisha, kazi na maendeleo ya nchi yetu
 
MUNGU aliemchukua Mwajuma Ndala Ndefu Na Babu Yangu Kule Kijijini, Ndie Huyo Huyo Alie Muita Magufuli Baada Ya Siku Sake Za Kuishi Duniani Kuisha. Haina Jinsi Ni Kukubaliana Na Kazi ya mungu Ili Maisha Yaendelee.

INNA LILAH WAINNA ILLAIHI RAJIUN!!
 
Yule Marehemu ni mbishi, hakutaka ku-keep social distancing, kaidharau na kuibeza mno Corona kwamba ni vimafua mafua tu hivyo, kagoma kuvaa barakoa kapata COVID -19 imeenda kuvuruga mfumo wa hiyo pace maker yake!! mauti nayo ikapata pa kupenyea.

CCM msitake kupata dhambi nyingine kubwa, mliyomfanyia Lissu yanatosha - Mwacheni mwana kondoo wa bwana aishi kwani amewashinda ninyi mliotaka awe kaburini muda huu - sasa jiulizeni ni nani katangulia kuingia?

Mungu huwa hadhihakiwi milele.
 
Back
Top Bottom