Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?
Kila nafsi itaonja mauti, hayo mengine ni hadithi tu, uongo njoo utamu kolea. ameondoka kwavile siku yake imefika, kama wengine wanavyo ondoka.
أَيْنَمَا تَكُونُوا يُدْرِككُّمُ الْمَوْتُ وَلَوْ كُنتُمْ فِي بُرُوجٍ مُّشَيَّدَةٍ ۗ وَإِن تُصِبْهُمْ حَسَنَةٌ يَقُولُوا هَـٰذِهِ مِنْ عِندِ اللَّهِ ۖ وَإِن تُصِبْهُمْ سَيِّئَةٌ يَقُولُوا هَـٰذِهِ مِنْ عِندِكَ ۚ قُلْ كُلٌّ مِّنْ عِندِ اللَّهِ ۖ فَمَالِ هَـٰؤُلَاءِ الْقَوْمِ لَا يَكَادُونَ يَفْقَهُونَ حَدِيثًا

[ AN-NISAAI - 78 ]
Popote mlipo mauti yatakufikieni, na hata mkiwa katika ngome zilizo na nguvu. Na likiwafikilia jema wanasema: Hili limetoka kwa Mwenyezi Mungu. Na likiwafikilia ovu wanasema: Hili limetoka kwako wewe. Sema: Yote yanatokana na Mwenyezi Mungu. Basi wana nini watu hawa hata hawakaribii kufahamu maneno?
 
Mwenye kiti wako ukiweka dau mezani hata wewe anakuua sio mtu yule nakwambia
Haki nmecheka [emoji23][emoji23][emoji23] mwambie huyo mkuu naona hamjui mwenyekiti Wafadhili wakipanda dau anatekeleza agizo bila kusita.
 
Kumbe Mwendazake alikuwa anasukuma damu kwa msaada wa teknolojia ya mabeberu!
Maskini akipata...!
 
Vyombo vya dola ndivyo pekee vinaweza kutoa jawabu hilo.

Lakini kwa mazingira ya kawaida na kwa imani kubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida hali iliyopelekea yeye kuwa mtetezi wa wanyonge jambo ambalo wenye kupenda kutumikisha na kuwaibia wananchi kamwe hawakulipenda.

JPM si tu alijitengenezea maadui wa ndani lakini pia aliwakwaza wakubwa huko Duniani kwa misimamo yake Thabiti hasa ya kuisimamia vyema rasilimali za Taifa pasi na kuyumbishwa.

Kwa muktadha huenda Magufuli aliuawa?!
 
Aliuwawa na nani?
Yeye kama binadamu, hakustahili kufa!?
Au unataka kutuambia uliona faili la Bwana Mungu kuwa yeye hakutakiwa kufa siku ile!!??
Kwamba mnaanza kutengeneza zengwe la "kuwapoteza" watu!!??
 
Vyombo vya dola ndivyo pekee vinaweza kutoa jawabu hilo.

Lakini kwa mazingira ya kawaida na kwa imani kubwa kutoka kwa wananchi wa kawaida hali iliyopelekea yeye kuwa mtetezi wa wanyonge jambo ambalo wenye kupenda kutumikisha na kuwaibia wananchi kamwe hawakulipenda.

JPM si tu alijitengenezea maadui wa ndani lakini pia aliwakwaza wakubwa huko Duniani kwa misimamo yake Thabiti hasa ya kuisimamia vyema rasilimali za Taifa pasi na kuyumbishwa.

Kwa muktadha huenda Magufuli aliuawa?!
Of what use knowing the cause of his death? Where are Ben, Azory, and many others who disappeared mysteriously? As a human being, he is destined to die
 
Back
Top Bottom