Je, Rais Samia anasalitiwa?

NilIvyokuwa nikufuatilia " Bunge dhaifu'kwa hisani ya Assad" nilmsikia mkuu wao akisema hata mambo yaweje hakuna wa kujitoa (kuvunja mkataba) ,hii nayo imekaaje mkuu?
 
Mkataba ni wa muda gani? kiasi gani na tutalipwa nini kwa Mwezi/mwaka?
 
Tulishasema mapema, kuna watu wanamuwekea bomu boss wao ila kamwe hawatajitaja, wanasiasa wa Tz ni watu hatari sana, nimejifunza mengi toka JK astaafu uongozi, akina Makamba na baadhi ya waliojumuika na Mwendazake waliiponda awamu ya JK na kuisifia ya Mwendazake, leo hii hayupo, wanamponda kama hakuwa sehemu yao, hata huyu asipokemea hiyo sifiasifia inayoendelea atakuja kushituka amekosea step dakika muziki unakwisha
 
NilIvyokuwa nikufuatilia " Bunge dhaifu'kwa hisani ya Assad" nilmsikia mkuu wao akisema hata mambo yaweje hakuna wa kujitoa (kuvunja mkataba) ,hii nayo imekaaje mkuu?
Hakuna mkataba usio na njia za kujitoa ..hakuna ndo maana hata huu wametaja Hadi mahakama ya usuluhishi....ina maana wanajua kutoelewana kupo
 
We hukuona threads mbili za poisonous ??
Kasema wazi kuna kikundi kimepanga kumkwamisha Rais ...na mkataba uliosambazwa sio mkataba halisi

..lakini watu wanapinga hata mkataba uliopitishwa na BUNGE.

..Je, kilichopitishwa na BUNGE ni mkataba feki?

NB:

..na tafadhali usiite " makubaliano. "

..mkikubaliana jambo fulani na mkaweka sahihi huo sio mkataba?
 
Dah, napakumbuka sana. Pale kabla ya kina Mbowe kupanya bar, ndio ma born town tunakwenda kula chips samaki enzi hizo. sekela chicken niliwaonea pale kwa mara ya kwanza. Kijiko hiko unachokikumbuka cha mishkaki ndio wakichomwa kuku hapo.

Dah kumbe wa zamani tupo hapa.

Ndio alikua mgomvi mgomvi kwa ajili ya wapambe aluokua nao.

Kuna siku kuna kijana wa mitaa ya jangwani akamwabia tutoke nje, si akakubali wakatoka pale round about. Mbowe akajidai kukunja ngumi, yule mtoto wa jangwani sijui aliruka vipi kichwa. Maana tunamuona puuu yuko chini anapiga miguu na damu zinamtoka mdomoni, jamaa akakimbizwa na wenzake mbio huku wanasema umeua. Wapambe ikabidi wamuwahi kumoepea Mbowe, maana mob ya jangwani ilikua ya kibabe kweli. Mie naona Mbowe lazima aling'oka jino siku ile. Toka iku hio akawa heshima na adabu.

Tumetoka mbali sana.
 
Weka sasa hiyo Duration hapa tuone.
 

Inaonekana unajua mengi.
 
Nimefurahi umetumia alama ya kuuliza katika kichwa cha habari. Binafsi siamini maneno ya Mbowe, kwa sababu naviona vyombo vya ulinzi na usalama vinamtii pasi chembe ya shaka Rais, Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu. Pili, kuhusu madai ya 'kuvuja mkataba' pia si kweli, kwani hakuna mkataba uliosainiwa! Kwa hiyo hoja hiyo ni sawa na kusema daraja limebomoka kabla ya kujengwa..πŸ™πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…